NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,483
- 3,492
vizuri kama ulivyofundishwa au kwakutaka kufundishwa?Bado hujatoka maelezo vzr, Jua kuwa dogo kuliko Dunia haiifanyi hicho kitu kutokea elezea vizuri hapo tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vizuri kama ulivyofundishwa au kwakutaka kufundishwa?Bado hujatoka maelezo vzr, Jua kuwa dogo kuliko Dunia haiifanyi hicho kitu kutokea elezea vizuri hapo tafadhali.
Hapa hapa Jukwaani.!Wapi nimeuliza maswali ya Dunia mviringo? Jibu swali.
upo mtupu hata kwenye hiyo Sayansi ya BingBang, hiyo energy inaelezewa hadi inapotokea au ilipotokea. si kwamba ni unknowing energy. na Mungu hajahusishwa. kila inapokosa chanzo Sayansi inaforce kua lazima kuna chanzo ambacho ni hiki. Kama ingeamini kuna Nguvu za Mungu tafiti zisingekuwepo maana hivyo vitabu vya Mungu vinathibitisha yeye Hatafitiki.We jamaa uchinjwe Xmass😀😀, yaani Ujinga ni kuamini Sayansi inapinga uwepo wa Mungu.
Wakati uhalisia ni kwamba sayansi inafocus na natural world, observation, experimentation, na evidence bila kujali kama hivo vitu vimeumbwa ama la!!
Wakati Vitabu vya Imani kama biblia na Quran vinaelezea uwepo wa nguvu iliyojuu kushinda vyote na iliyoumba vyote vilivyo katika ulimwengu.
Sasa mfano science inaongelea formation ya Dunia inatokana Bing Bang, we unaona hapo imepinga uwepo wa MUNGU? Singularity ilihitaji uwepo wa energy fulani Ili kuwezesha hiyo Bing Bang je kama ndio jinsi alivyoamua kuiumba Dunia hivyo?
Mfano mwingine ni Evolution na chimbuko la binadamu. Science imefanya tafiti zake Kwa kutumia data na mbinu za kisayansi Kwa kuangali mfanano wa DNA structure na mambo mengine.
Sayansi ilibaini Kuna uwezekano mkubwa kuwa binadamu na chimpanzee wanatokana na ancestor mmoja[Hominids Ancestor](common ancestor), na Wala sio kwamba tunatokana na chimpanzee. Sasa hapo imepinga wapi Uwepo wa MUNGU? Je kama Adam na Eva ndo hao Hominids?
🤔🤔Ndege zina fly horizontally over the flattened earth kwasababu Dunia ni flat.
Sio kunifundisha au nilivyofundishwa, elezea ueleweke. Sasa kusema tu Jua ni dogo kuliko Dunia ndo inafanya hiki kitokee unaona umeeleweka? Tatizo lako unataka nionekane kama natafta ushindi Bali mm nataka uelezee ni kivipi kwenye umbo duara.vizuri kama ulivyofundishwa au kwakutaka kufundishwa?
Hilo swali kuhusiana na Jua ni la Dunia duara kumbe?Hapa hapa Jukwaani.!
Nataka unielezee wewe kwani huwezi?Kwa Flat hilo jibu linaelezewa katika Mawio na Machweo, kasome halafu njoo ueleweshe kama hautaelewa.
Wewe umeumbwa??kuna natural things gani ambavyo havijaumbwa na vipo hapa duniani?
Unaona hata hujui hiyo Theory!! Wapi sayansi inasema chimpanzee alibadirika akawa binadamu?hao machimpanzee tumesoma walivyokua wanabadilika hadi kua binadamu, vipi muendelezo wake, umeishia wapi? na hadi wazungu wametokana na hiyo theory?
kwani wewe hiyo picha unaielewaje?Sio kunifundisha au nilivyofundishwa, elezea ueleweke. Sasa kusema tu Jua ni dogo kuliko Dunia ndo inafanya hiki kitokee unaona umeeleweka? Tatizo lako unataka nionekane kama natafta ushindi Bali mm nataka uelezee ni kivipi kwenye umbo duara.
View attachment 3179447
Naielewa kuwa Jua linaonekana half na half nyingine ikiwa behind the horizon kutokana na Dunia kuwa duara. Haya maelezo ni kutokana na nilivyosoma na kifundishwa na actually inamake sense.kwani wewe hiyo picha unaielewaje?
Hata Mungu mwenyewe atakuwa anakushangaa!! Kabla ya kuwepo Kwa saa, watu walikuwa hawana system ya kujua saa Bali majira. Ila saa imeleta system ya namba mfano saa 2:45 huwezi kuijua Kwa kuangali Jua na hii imesaidia sana mfano unampango wa kuamka saa 9:15 usiku utaangalia GIZA? Ila ukiwa na saa ni Rahisi tu kujua.Sayansi ni Shetani maana inapingana na Uumbaji kwa sehemu kubwa.
1. Mungu aliumba Jua lizunguke tujue masaa, Sayansi Ikatengeneza saa kwahesabu za Jua ili tusiamini Kilichoumbwa na Tukiamini kilichotengenezwa.
Unastaajabisha sana!!! Kwahy Ili vitu vielee lazima Newton ausike? Au kabla ya Newton kuwepo vitu vilikuwa havifall down? Ni kivipi SAFINA iliaibisha Sayansi au inasupport sayansi?Na shika hili, UJENZI WA SAFINA YA NUHU, umeaibisha Sayansi Uliyoisooma Darasani katika nyanja nyingi. Je Nuhu aliongozwa na Newton au na Mungu kuifanya safina ielee?
Tumeumbiwa maarifa na Mungu, Sayansi kupitia Shetani Ilichofanya ni kuyaandika tuu na watu kujipa sifa wao ndio wagunduzi.
Naielewa kuwa Jua linaonekana half na half nyingine ikiwa behind the horizon kutokana na Dunia kuwa duara. Haya maelezo ni kutokana na nilivyosoma na kifundishwa na actually inamake sense.
So, nachotaka mnipe Elimu nyingine mliyonayo kwenye flat Earth. Nazani nimeeleweka unaweza kujibu swali sasa.
Ina maana umekubali kutumia vitu vya shetani ?Sayansi ni Shetani
Ndio nini hiki?
Humo kuna explanations nyingi sana ikiwemo illusionary effect inayokufanya uone as Jua linaibuka na kuzama kitu ambacho kinasababishwa na REFRACTION,.(Kasome zaidi,. naamini utaelewa).Ndio nini hiki?
Kwann usiexplain hapa? How refraction inafanya Jua lionekane half? Na Kwa madai ya flat earth mnasema Jua huwa linaenda mbali na ndio maana tunaona limepotea na kunakuwa usiku, sawa; lakini swali la kujiuliza tu kama ni kweli Jua linaenda mbali kwann lisipungue SIZE as we know kitu kikiwa mbali zaidi size yake inapungua lakini upande wa Jua halipungui size Bali linaonekana kinazama kama lilivyo Naomba maelezo hapa kusoma nimeshasoma.Humo kuna explanations nyingi sana ikiwemo illusionary effect inayokufanya uone as Jua linaibuka na kuzama kitu ambacho kinasababishwa na REFRACTION,.(Kasome zaidi,. naamini utaelewa).