Nilichokisema mimi hakiharibu context ya hoja, ni kweli ukibeba vitu viwili vyenye uzito tofauti chenye uzito mkubwa kitakuelemea zaidi na kushuka chini compared na chenye uzito uzito mdogo.Msimamo sio kukosea kitu alafu ung'ang'anie, Kwa mfano ww ulikataa hujasema uzito unavuta chini, nilipokuonesha uliposema umeparuka hujajibu Kwa uoga.
Mimi ndio nilieandika na huna mamlaka ya kusema nilichosema si sahihi wakatm ndo nimesema.Wewe unaona ulikosea?
Mimi ndiyo nakufahamisha kwamba hukukosea,. ulikua sahihi Uzito ndiyo umebatizwa jina na kuitwa gravity,...
no uzito = no gravity.
Mbona umerekebisha????? Kuelemeza from kuvutia ππNilichokisema mimi hakiharibu context ya hoja, ni kweli ukibeba vitu viwili vyenye uzito tofauti chenye uzito mkubwa kitakuelemeza zaidi na kushuka chini compared na chenye uzito uzito mdogo.
Statement uliyotoa wewe ni mzizi wa hoja hii,..that's what makes the difference.
Naona unazunguka tu, je mpaka hapa k a haya maelezo tupo pamoja???hateeb10
Mpaka Sasa napaswa nijipongeze sana, nimekuelimisha sana.ππ
Nimekutoa kwenye upumbavu wa density uliokuwa unasema mpaka Sasa upo kwenye point ya weight na ume admit kuwa weight Ina ACT downward (hii nzuri sana).
Na umesema sababu ya weight ya kitu ku act in downward direction ni "NATURAL LAW" which is correct π―,
ila tu unadai hiyo natural law sio FORCE, hapa sasa ndo Kunaugumu, science inakupa uwanja ww utuambie ni nini?
Einstein pia alikuja na hoja yake yenye mashiko zaidi akidai "GRAVITY is not a force" zingatia "GRAVITY is not a force"
Tofauti kidogo na madai yako unasema hakuna gravity, ila Einstein anasema gravity ipo ila sio force kama Newton alivyoelezea.
Kwann Einstein alisema GRAVITY sio Force? Nakuja kukupa elimu.
Nimeamka kudeal na vitu vidogo vidogo kwanza kabla ya kuanza kukuambia Dunia ni duara na inazunguka maana hutonielewa kama huelew vitu vidogo.
Niliposema ku destroy namaanisha kadri ninavyopunguza particles za kwenye object husika na uzito wa hiyo object utapungua,.. na ndiyo maana nikakuambia uzito ni internal force and not external.Kwanza kabisa, mass is always conserved( neither created nor destroyed) but it can be transformed to energy. so unaposema udestroy kitu(mass) unakosea.
Pili, nilikupa mfano wa sumaku, je ukiondoa chuma kisiwepo usumaku wa sumaku utakuwa haupo?
Tatu, kujibu swali lako; huwezi kuvuta kitu ambacho hakipo, kitu kisipokiwepo hakuna nguvu itakayotumika kuvuta, kwahy ukivuta "non existing thing" hakuna nguvu itakayokuwepo, ila haipotezi maana ya kwamba unavuta....
Hapana hatupo pamoja,.Naona unazunguka tu, je mpaka hapa k a haya maelezo tupo pamoja???
Hahh mamlaka ninayo,.. nipo hapa kukuelimisha, sasa ukienda wrong kwanini nisikuweke sawa?Mimi ndio nilieandika na huna mamlaka ya kusema nilichosema si sahihi wakatm ndo nimesema.
Na nilichosahihisha ni kauli ya weight=gravity basiiiii
Hiyo kauli ya no uzito=no gravity ipo sahihi maana mm nimesema no gravity =no uzito,,
Bado Niko pale pale na mfano wa sumaku japo unauruka hahahaπ.Niliposema ku destroy namaanisha kadri ninavyopunguza particles za kwenye object husika na uzito wa hiyo object utapungua,.. na ndiyo maana nikakuambia uzito ni internal force and not external.
Sijakalilishwa Mimi, unajua maana ya internal force kwanza???Wewe umekaririshwa kwamba uzito ni external force,............ hizo formula zimewekwa ili kuifanya nadharia ya gravity ionekane legit while kiuhalisia hai play part kwenye hilo uzito wa kitu na wala haivuti vitu chini.
Nilichokirekebisha mimi hakiharibu context,...wewe uliyesema kwamba gravity ni jina lingine la uzito umemaliza na kuua mjadala wa gravity.Mbona umerekebisha????? Kuelemeza from kuvutia ππ
Hatupo pamoja wapi kwenye hayo maelezo yanguHapana hatupo pamoja,.
Kuelemea na kuvutia Kwa chini ni maneno sawa???Nilichokirekebisha mimi hakiharibu context,...wewe uliyesema kwamba gravity ni jina lingine la uzito umemaliza na kuua mjadala wa gravity.
Pinga kauli, nimerekebisha kauli yangu Pinga kauli yangu ya Sasa Kwa hoja Ili kuonesha kauli yangu ya awali ilikuwa sahihiHahh mamlaka ninayo,.. nipo hapa kukuelimisha, sasa ukienda wrong kwanini nisikuweke sawa?
Kwanza unajichanganya hata nikijibu swali lako utashindwa kupata kile ulichokusudia,... Labda nikukumbushe kwamba 1kg ni kubwa kuliko 200g.........rekebisha then uliza tena.Bado Niko pale pale na mfano wa sumaku japo unauruka hahahaπ.
Nilikwambia ukichukua chuma Cha 1kg ukaweka karibu na sumaku, halafu then hicho chuma ukakipungizia uzito mpk 200g je ni chuma Gani kitavutwa Kwa nguvu zaidi?? Chenye 1kg au 200g???
Unapopunguza particles kwenye hicho kitu unapunguza pia nguvu ya uvuto kwasabab gravity inavuta izo particles za hicho kitu, more particles uvuto zaidi few particles uvuto mdogo.
ππππ Ndo ilivyo hivyo hivyo usipaniki!!Kwanza unajichanganya hata nikijibu swali lako utashindwa kupata kile ulichokusudia,... Labda nikukumbushe kwamba 1kg ni kubwa kuliko 200g.........rekebisha then uliza tena.
Ndiyo., kwani kitu kikikuelemea kitakuvutia wapi,.. Juu?Kuelemea na kuvutia Kwa chini ni maneno sawa???
Haya,. Kg 1 Itavutwa zaidi cause uchuma wake ni mwingi compared na 200g.ππππ Ndo ilivyo hivyo hivyo usipaniki!!
Hahahaπππππ tuseme upo sawa,Ndiyo., kwani kitu kikikuelemea kitakuvutia wapi,.. Juu?
Kwahy unakubaliana namm vitu vyenye uzito vinatutwa chini?Kwani mimi nimesema inavuta chini?,.
Ndivyo hivyo hivyo hata gravity unafanya chenye uzito mkubwa kitavutwa sanaπHaya,. Kg 1 Itavutwa zaidi cause uchuma wake ni mwingi compared na 200g.