Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
HahahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ tuseme upo sawa,

kwahy tukirudi kwenye kauli yako ambayo ulitaka uikatae πŸ‘‡πŸ˜€πŸ˜€ na saivi umekubali.

Kwahy unakubaliana namm vitu vyenye uzito vinatutwa chini?
Havivutwi chini,..bali vinaanguka chini kuvutwa na kuanguka ni vitu viwili tofauti.

Ngoja nikuulize swali,. Ukishika object yenye chuma ukaelekeza sehemu yenye sumaku,.. Utahisi kuvutwa si Ndiyo?

Au ukivaa kiatu chenye soli ya chuma, Ukinyanyua mguu mmoja then uweke sumaku chini yake, Utahisi kuvutwa si ndiyo?

Huko ndio kuvutwa sasa,..
 
Then,. tuambie wewe kwenye uhalisia ukinyanyua mguu mmoja juu unahisi mguu kuvutwa chini na kitu chochote, as compared na hiyo scenario ya kuvaa kiatu chenye soli ya chuma, then chini kuwe na sumaku? The celebrity
 
Force ya gravity inategemea uzito wa kitu, mass Kubwa nguvu Kubwa ya uvuto and vice versa.

Sasa wewe hauhisi huo mvuto kama wa sumaku Kwa sabab uzito wako ni mdogo kulinganisha na uzito wa Dunia.

Unlike sumaku, hapo unaongelea sumaku ambayo inakaribiana ukubwa na hiyo chuma hapo nguvu ya uvuto lazima iwe Kubwa.

Imagine Dunia iwe sumaku, halafu ww uwe chuma unadhani utavutwa Kwa Kasi kiasi hicho mpk uhisi??
 
Nilisema uzito wa mzigo uliobeba ndiyo unakuvutia chini,.. sasa najichanganya wapi hapo
Sasa hicho kitu kinawezaje kukuvuta ww? Na umesema uzito no internal force, na hapa unaonesha jinsi ilivyoathiri external environment???πŸ˜€πŸ˜€
 
Hujajibu swali,..
 
Sasa hicho kitu kinawezaje kukuvuta ww? Na umesema uzito no internal force, na hapa unaonesha jinsi ilivyoathiri external environment???πŸ˜€πŸ˜€
Sasa hujui kama internal force inaweza kuathiri external environment,.

Au hawajakufundisha kuhusu hilo?
 
Hujajibu swali,..
πŸ‘‡πŸ‘‡
Sasa wewe hauhisi huo mvuto kama wa sumaku Kwa sabab uzito wako ni mdogo kulinganisha na uzito wa Dunia.
Unataka jibu la aina Gani tena?? Na maelezo ni haya hapaπŸ‘‡πŸ‘‡

Force ya gravity inategemea uzito wa kitu, mass Kubwa nguvu Kubwa ya uvuto and vice versa.

Imagine Dunia iwe sumaku, halafu ww uwe chuma unadhani utavutwa Kwa Kasi kiasi hicho mpk uhisi??
 
Sasa hujui kama internal force inaweza kuathiri external environment,.

Au hawajakufundisha kuhusu hilo?
Mammamamaaaa!! Ndo maana nikakuuliza ni nini maana ya internal force??? Hujajibu.

Alafu nipe mifano ya internal force na jinsi inavyoathiri mazingira ya nje Kwa maana motion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…