The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Mkunjo, 👉 bend, fold, au wrinkle while mpindo(curvature) refer to 'arc like'Kwani ni nini maana ya mkunjo?
How??Sasa uki move kwenye mstari mnyoofu huwezi ukarudi point uliyotokea,.
Point ya direction imeshakuwa corrected hapo juu shida nn??Ili urudi point uliyotokea ni lazima u badilishe direction,.. Kama ulikua unatoka Kask- Kus, basi ili urudi Kaskazini itabidi ubadilishe direction now itakua Kus-Kas.
Sijui hujamuelewa nn tena?????So, kauli kwamba unaweza kurudi Point ya awali bila kubadilisha muelekeo si ya kweli.
Nime base kwamba Sisimizi ana move kwa mstari gani?
Kwa mfano kitu Gani hicho?? The point sio uwezekano wa kurudi ulipokuwa tu, Bali je umefikia mwisho wa kitu(segment).Narudia ukisema round object haina mwisho,..basi hiyo statement unaweza pia ukaiweka kwenye object nyingine yoyote na ikaleta maana.
Umeamua uendelee kudanganya?without any abrupt change in direction.
hateeb10 hii ngumu kumeza kwako???Ndiyo kwenye uhalisia cornered path inaweza kuwa fupi kuliko direct one.......sasa hapa kuliko kukutafunia unaweza ukaenda kujifunza zaidi kisha utaleta majibu au tafakari mwenyewe hujawahi kukutana na scenario ambayo kunyoosha moja kwa moja ni mbali kuliko kupita njia ya mzunguko?,.
kama ukishindwa sema nikufafanulie,.
hateeb10 hii ngumu kumeza kwako???Ndiyo kwenye uhalisia cornered path inaweza kuwa fupi kuliko direct one.......sasa hapa kuliko kukutafunia unaweza ukaenda kujifunza zaidi kisha utaleta majibu au tafakari mwenyewe hujawahi kukutana na scenario ambayo kunyoosha moja kwa moja ni mbali kuliko kupita njia ya mzunguko?,.
kama ukishindwa sema nikufafanulie,.
Lugha ni tatizowithout any abrupt change in direction.
Kwanini & how?Lugha ni tatizo
Hiyo statement kwamba "Sphere Ina boundary au limits, lakini its surface is continuous with no limit or end.." unaweza ukaitumia kwa object nyingine yoyote na ikaleta maana,. rejea nilikupa mfano wa ubao flat jinsi unavyoweza kuzunguka kwenye ubao infinitely,..Sphere Ina boundary au limits, lakini its surface is continuous with no limit or end. Unaweza kusema sphere Ina mwisho only in terms of boundary, Kwafano kutoka ncha ya kaskazini mpka ncha ya kusini hiyo ni boundary au limit kwenye sphere, lkn ukiongelea surface yake Haina limit unaweza kuzunguka hata mara 1000000+ without any abrupt change in direction.
Mpaka utulieee!!!!!!Nikitulia nitakuelewesha,.. relax
"Abrupt change in direction "Kwanini & how?
Tatizo unakaza kichwa!! Relax!!! Surface yake ni continuous, no abrupt change in Direction and no "ncha" au pembe.Hiyo statement kwamba "Sphere Ina boundary au limits, lakini its surface is continuous with no limit or end.." unaweza ukaitumia kwa object nyingine yoyote na ikaleta maana,. rejea nilikupa mfano wa ubao flat jinsi unavyoweza kuzunguka kwenye ubao infinitely,..
Hapana!! Mwisho wa kitu unaweza kuwa surface ya kitu n.k, Mimi nimeongelea surface ya sphere Haina mwisho. Period.Tunapozungumzia mwisho wa kitu hatumaanishi surface ya object,..bali tunamaanisha the maximum physical space occupied by it.,
Wewe umeshanielewa lkn unatafta loopholes na huwezi kuzipata🤣🤣, mfano nimekuuliza unaweza kunambia sphere Ina mikunjo/ncha au pembe ngapi??? Lkn mstatiri unaweza sivyo??? Mimi nimeongelea surface kwasabab mada husika inahusu surface of the earth, unapotembea unatembea juu ya uso wa Dunia, either Dunia iwe sphere au bapa, utatembea juu ya uso wake.Hiyo statement kwamba "Sphere Ina boundary au limits, lakini its surface is continuous with no limit or end.." unaweza ukaitumia kwa object nyingine yoyote na ikaleta maana,. rejea nilikupa mfano wa ubao flat jinsi unavyoweza kuzunguka kwenye ubao infinitely,..
Tunapozungumzia mwisho wa kitu hatumaanishi surface ya object,..bali tunamaanisha the maximum physical space occupied by it.,
Kwahiyo umekubali kwamba hata umbo la round lina mwisho? in terms of space occupied by it?Wewe umeshanielewa lkn unatafta loopholes na huwezi kuzipata🤣🤣, mfano nimekuuliza unaweza kunambia sphere Ina mikunjo/ncha au pembe ngapi??? Lkn mstatiri unaweza sivyo??? Mimi nimeongelea surface kwasabab mada husika inahusu surface of the earth, unapotembea unatembea juu ya uso wa Dunia, either Dunia iwe sphere au bapa, utatembea juu ya uso wake.
Unaposema kuwa hata bapa(ubao) pia surface yake ni continuous yes, upo sawa. Lakini sio SMOOTH CONTINOUS, there is abrupt change in direction, Kuna mwisho wa Kila segment Moja kwenda nyingine tofauti na tufe ambapo Change of direction is uniformly over time.
Ninaposema mwisho wa kitu simaanishi surface ya kitu,.. bali namaanisha maximum space occupied by it. usichanganye.Tatizo unakaza kichwa!! Relax!!! Surface yake ni continuous, no abrupt change in Direction and no "ncha" au pembe.
Hapana!! Mwisho wa kitu unaweza kuwa surface ya kitu n.k, Mimi nimeongelea surface ya sphere Haina mwisho. Period.
Yes, sio kukubali ndio ilivyo. Lakn surface yake(na ndio mada ilipo) Haina ukomo.Kwahiyo umekubali kwamba hata umbo la round lina mwisho? in terms of space occupied by it?
Kwa maana ya boundary, Naweza kutumia mfano niliotumia awali, ncha ya kaskazini mpka ncha ya kusini ni boundary ya earth kama sphere. Au radius/diameter ya Dunia pia ni boundary.Na kama umekubali,..unaweza ukatuambia mwisho wa round-earth ni wapi,. kama mnavyodai mwisho wa flat earth?
Kama mwisho wa kitu kama unavyomaanisha sawa.Ninaposema mwisho wa kitu simaanishi surface ya kitu,.. bali namaanisha maximum space occupied by it. usichanganye.
Yes, na ndio maana tunaweza kucalculate it's volume. Kwa sabab sio infinity body. It has a finite space which it can occupy.Je, Round-earth ina mwisho(maximum space occupied by it)?
Mada haipo kwenye surface,.. mada ilikua inazungumzia mwisho wa object husika kwa ujumla wake... ukizungumzia surface basi hata ubao flat tutasema hauna mwisho cause unaweza ukauzunguka continously...Yes, sio kukubali ndio ilivyo. Lakn surface yake(na ndio mada ilipo) Haina ukomo.