Nime base kwamba Sisimizi ana move kwa mstari gani?
Narudia ukisema round object haina mwisho,..basi hiyo statement unaweza pia ukaiweka kwenye object nyingine yoyote na ikaleta maana.
Kwa mfano kitu Gani hicho?? The point sio uwezekano wa kurudi ulipokuwa tu, Bali je umefikia mwisho wa kitu(segment).
Mfano chukulia umbo la mstatiri alafu na duara. Unaweza kuzunguka umbo la mstatiri na ukarudi point uliyokuwapo ikiwa utaelekea katika mstari mnyoofu (kama tu jinsi hata kwenye duara unavyoweza), lakin katika mzunguko wako(katika mstatiri) utakuwa unafikia mwisho wa line segment Moja itabidi upinde kwenye ncha(at some degree angle) uende line segment nyingne na utafanya hivyo Kwa Kila line segment mpaka utakaporudi kwenye point ya awali
Unlike kwenye duara, unaweza kuzunguka duara na kurudi kwenye point uliyokuwa awali pia, but tofauti ni kwamba hakuna mwisho wa line segment Moja Ili uende nyingne, utazunguka Moja Kwa Moja mpaka utafikia point uliyokuwa awali bila kubend kwenye ncha. Kutakuwa na uniform change of direction over time.
Sphere Ina boundary au limits, lakini its surface is continuous with no limit or end. Unaweza kusema sphere Ina mwisho only in terms of boundary, Kwafano kutoka ncha ya kaskazini mpka ncha ya kusini hiyo ni boundary au limit kwenye sphere, lkn ukiongelea surface yake Haina limit unaweza kuzunguka hata mara 1000000+ without any abrupt change in direction.
And NOTE; kwenye sphere ambayo ni perfect Kila point ni curve, tofauti na mstatiri au umbo lingine.
Saivi nikikuuliza mstatiri una ncha ngapi/pembeni ngapi obviously utanambia NNE👍, lakini nikikuuliza sphere au duara Lina pembe/ncha/mikunjo mingapi sidhani kama utakuwa na jibu😁.
And lastly, kwenye mstatiri(au pembe tatu n.k) naweza kukwambia nenda kwenye ncha Ile na ukaenda na ukaikuta hiyo ncha hata baada ya kufika kwenye hiyo point, lakin kwenye duara nikikwambia uende kwenye curve Ile ukifika utaona curve ipo mbele tena utazunguka maisha yako yote 🤣