Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kwani ni nini maana ya mkunjo?
Mkunjo, 👉 bend, fold, au wrinkle while mpindo(curvature) refer to 'arc like'

Sasa ndio nimegundua shida yako!! Ndo maana huwa unauliza point ambapo Kuna curve kwenye Dunia/sphere.

Mfano👇👇 huwezi kusema mkunjo(bend) huu ni curve.
|
|
_____|

Huwezi kulinganisha na hiki👉⤵️
 
Sasa uki move kwenye mstari mnyoofu huwezi ukarudi point uliyotokea,.
How??
Ili urudi point uliyotokea ni lazima u badilishe direction,.. Kama ulikua unatoka Kask- Kus, basi ili urudi Kaskazini itabidi ubadilishe direction now itakua Kus-Kas.
Point ya direction imeshakuwa corrected hapo juu shida nn??
So, kauli kwamba unaweza kurudi Point ya awali bila kubadilisha muelekeo si ya kweli.
Sijui hujamuelewa nn tena?????
 
Nime base kwamba Sisimizi ana move kwa mstari gani?

Narudia ukisema round object haina mwisho,..basi hiyo statement unaweza pia ukaiweka kwenye object nyingine yoyote na ikaleta maana.
Kwa mfano kitu Gani hicho?? The point sio uwezekano wa kurudi ulipokuwa tu, Bali je umefikia mwisho wa kitu(segment).

Mfano chukulia umbo la mstatiri alafu na duara. Unaweza kuzunguka umbo la mstatiri na ukarudi point uliyokuwapo ikiwa utaelekea katika mstari mnyoofu (kama tu jinsi hata kwenye duara unavyoweza), lakin katika mzunguko wako(katika mstatiri) utakuwa unafikia mwisho wa line segment Moja itabidi upinde kwenye ncha(at some degree angle) uende line segment nyingne na utafanya hivyo Kwa Kila line segment mpaka utakaporudi kwenye point ya awali

Unlike kwenye duara, unaweza kuzunguka duara na kurudi kwenye point uliyokuwa awali pia, but tofauti ni kwamba hakuna mwisho wa line segment Moja Ili uende nyingne, utazunguka Moja Kwa Moja mpaka utafikia point uliyokuwa awali bila kubend kwenye ncha. Kutakuwa na uniform change of direction over time.

Sphere Ina boundary au limits, lakini its surface is continuous with no limit or end. Unaweza kusema sphere Ina mwisho only in terms of boundary, Kwafano kutoka ncha ya kaskazini mpka ncha ya kusini hiyo ni boundary au limit kwenye sphere, lkn ukiongelea surface yake Haina limit unaweza kuzunguka hata mara 1000000+ without any abrupt change in direction.

And NOTE; kwenye sphere ambayo ni perfect Kila point ni curve, tofauti na mstatiri au umbo lingine.
Saivi nikikuuliza mstatiri una ncha ngapi/pembeni ngapi obviously utanambia NNE👍, lakini nikikuuliza sphere au duara Lina pembe/ncha/mikunjo mingapi sidhani kama utakuwa na jibu😁.

And lastly, kwenye mstatiri(au pembe tatu n.k) naweza kukwambia nenda kwenye ncha Ile na ukaenda na ukaikuta hiyo ncha hata baada ya kufika kwenye hiyo point, lakin kwenye duara nikikwambia uende kwenye curve Ile ukifika utaona curve ipo mbele tena utazunguka maisha yako yote 🤣
 
Ndiyo kwenye uhalisia cornered path inaweza kuwa fupi kuliko direct one.......sasa hapa kuliko kukutafunia unaweza ukaenda kujifunza zaidi kisha utaleta majibu au tafakari mwenyewe hujawahi kukutana na scenario ambayo kunyoosha moja kwa moja ni mbali kuliko kupita njia ya mzunguko?,.

kama ukishindwa sema nikufafanulie,.
hateeb10 hii ngumu kumeza kwako???
 
Ndiyo kwenye uhalisia cornered path inaweza kuwa fupi kuliko direct one.......sasa hapa kuliko kukutafunia unaweza ukaenda kujifunza zaidi kisha utaleta majibu au tafakari mwenyewe hujawahi kukutana na scenario ambayo kunyoosha moja kwa moja ni mbali kuliko kupita njia ya mzunguko?,.

kama ukishindwa sema nikufafanulie,.
hateeb10 hii ngumu kumeza kwako???
 
Sphere Ina boundary au limits, lakini its surface is continuous with no limit or end. Unaweza kusema sphere Ina mwisho only in terms of boundary, Kwafano kutoka ncha ya kaskazini mpka ncha ya kusini hiyo ni boundary au limit kwenye sphere, lkn ukiongelea surface yake Haina limit unaweza kuzunguka hata mara 1000000+ without any abrupt change in direction.
Hiyo statement kwamba "Sphere Ina boundary au limits, lakini its surface is continuous with no limit or end.." unaweza ukaitumia kwa object nyingine yoyote na ikaleta maana,. rejea nilikupa mfano wa ubao flat jinsi unavyoweza kuzunguka kwenye ubao infinitely,..

Tunapozungumzia mwisho wa kitu hatumaanishi surface ya object,..bali tunamaanisha the maximum physical space occupied by it.,
 
Tatizo unakaza kichwa!! Relax!!! Surface yake ni continuous, no abrupt change in Direction and no "ncha" au pembe.
Tunapozungumzia mwisho wa kitu hatumaanishi surface ya object,..bali tunamaanisha the maximum physical space occupied by it.,
Hapana!! Mwisho wa kitu unaweza kuwa surface ya kitu n.k, Mimi nimeongelea surface ya sphere Haina mwisho. Period.
 
Wewe umeshanielewa lkn unatafta loopholes na huwezi kuzipata🤣🤣, mfano nimekuuliza unaweza kunambia sphere Ina mikunjo/ncha au pembe ngapi??? Lkn mstatiri unaweza sivyo??? Mimi nimeongelea surface kwasabab mada husika inahusu surface of the earth, unapotembea unatembea juu ya uso wa Dunia, either Dunia iwe sphere au bapa, utatembea juu ya uso wake.

Unaposema kuwa hata bapa(ubao) pia surface yake ni continuous yes, upo sawa. Lakini sio SMOOTH CONTINOUS, there is abrupt change in direction, Kuna mwisho wa Kila segment Moja kwenda nyingine tofauti na tufe ambapo Change of direction is uniformly over time.
 
Kwahiyo umekubali kwamba hata umbo la round lina mwisho? in terms of space occupied by it?

Na kama umekubali,..unaweza ukatuambia mwisho wa round-earth ni wapi,. kama mnavyodai mwisho wa flat earth?
 
Tatizo unakaza kichwa!! Relax!!! Surface yake ni continuous, no abrupt change in Direction and no "ncha" au pembe.

Hapana!! Mwisho wa kitu unaweza kuwa surface ya kitu n.k, Mimi nimeongelea surface ya sphere Haina mwisho. Period.
Ninaposema mwisho wa kitu simaanishi surface ya kitu,.. bali namaanisha maximum space occupied by it. usichanganye.

Je, Round-earth ina mwisho(maximum space occupied by it)?
 
Kwahiyo umekubali kwamba hata umbo la round lina mwisho? in terms of space occupied by it?
Yes, sio kukubali ndio ilivyo. Lakn surface yake(na ndio mada ilipo) Haina ukomo.

Je, nawewe umekubali surface ya sphere Haina mwisho/ukomo ni continuous???
Na kama umekubali,..unaweza ukatuambia mwisho wa round-earth ni wapi,. kama mnavyodai mwisho wa flat earth?
Kwa maana ya boundary, Naweza kutumia mfano niliotumia awali, ncha ya kaskazini mpka ncha ya kusini ni boundary ya earth kama sphere. Au radius/diameter ya Dunia pia ni boundary.

And note that, Kila point kwenye uso wa Dunia sphere unaweza kutumia kama reference ya end point kuonesha boundary ya Dunia. Mfano, ukichukua point yoyote kwenye uso wa Dunia then ukachora mstari mnyoofu kupitia center ya Dunia hiyo, mpk point nyingine kwenye uso wa Dunia hiyo unaweza kuwa boundary ambayo ni sawa na diameter ya Dunia.

So hata hapo ulipo saivi ni boundary/ukomo wa Dunia kitendo Cha wewe kuruka juu maana yake unaiacha earth surface una escape from it lkn una remain kwenye atmosphere yake 😎.
 
Ninaposema mwisho wa kitu simaanishi surface ya kitu,.. bali namaanisha maximum space occupied by it. usichanganye.
Kama mwisho wa kitu kama unavyomaanisha sawa.
Je, Round-earth ina mwisho(maximum space occupied by it)?
Yes, na ndio maana tunaweza kucalculate it's volume. Kwa sabab sio infinity body. It has a finite space which it can occupy.
 
hateeb10
Na tunaposema kuwa Dunia bapa(flat) inamwisho(ambapo tunakutaka utuambie mwisho wake) tunamaanisha ukienda kwa Kwa mwendo ule ule ulianza nao ( yaani same direction and straight) utafikia point ambayo hutoweza kuendelea ikiwa utataka uendelee na aina Ile ile ya mwendo(same direction and straight).

Tofauti na sphere, ukitembea kwenye sphere mwendo utakaoanzanao ni ule ambao continuously utakuwa unachange direction over time kwahy ukiendelea na aina ya mwendo wa awali hutofikia mwisho tofaut na bapa.
 
Yes, sio kukubali ndio ilivyo. Lakn surface yake(na ndio mada ilipo) Haina ukomo.
Mada haipo kwenye surface,.. mada ilikua inazungumzia mwisho wa object husika kwa ujumla wake... ukizungumzia surface basi hata ubao flat tutasema hauna mwisho cause unaweza ukauzunguka continously...

Lakini pia tunasema kuna curvature ila wewe tokea uzaliwe hujawahi kushuhudia curvature zaidi ya kwenye picha....

Hoja ya msingi ni kwamba objects zote flat & Round zina mwisho,..so unapodai uonyeshwe mwisho wa flat earth, usisahau pia kuonyesha mwisho wa round-earth.
 
Back
Top Bottom