Dunia ni tufe kama ilivyo sayari zote kila sayari ina anga lake lililo izunguka (atmosphere). Ambalo sayari ikiwa inazunguka na kujizunguka inazunguka na kuzunguka na anga lake.
Kwa dunia ndiyo hivyo atmoshphere imezunguka dunia ikiwa inazunguka jua na kujizungusha kwenye muhimili wake inaenda nalo sambamba
Halafu mbona hujanijibu kama dunia hailei imejishikiliwa na nini?
tatizo lako unaendelea kuongelea vitu ulivyo karirishwa shuleni zamani ....
Wewe mwenyewe ni mtumwa wa fikira unawezaje kuwaponda wazungu, umejitahidi kutetea hoja yako lakini uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana unachanganya lugha hata isipotakiiwa moja kwa moja inaonyesha umbumbumbu wako.
1.Kama Dunia haizunguki ipo tambarare ni nn kinasababisha majira kutofautiana ktk msimu wa Mwaka?
2.Umewahi kusafiri na ndege kutoka mashariki kwenda kasikazini labda Tanzania- Misiri Ethiopia au popote ukautumia mda huo kujifunza?
3.Kwanini usiku na mchana unatokea kwenye Dunia tambarale inakuwaje?
4.Kama Dunia tambarale Mwezi una unajificha wapi kipindi unacho kuwa hauonekani?
kusafiri na ndege it only proves that the earth is flat kwasababu kama wewe ni msomi unatambua kua dunia ina two movements ....the question is ndege inwezaje kuset speed yake iendane na speed ya dunia au kama unamda Tafuta kitu inaitwa gyroscope airplane experiment,,,,,najua unauwezo mdogo wakufikiria ndo maana huwezi kufatilia vitu kiundani zaidi......do ur research kusafiri na ndege ina prove dunia ni flat na haitembei wala kuzunguka ....
Huna facts wewee.... etii mwisho wa upeo wa macho kama ni ivoo meli si ingepotea yote kwa wakati mmoja kwann kama inaondoka inaanza potea chini ndo ifate juu na kama inakuja inaanza kuonekana juu kwanza kabla haijaonekana yote..... akili ndogo tuu inahitajika hapa.......... nijibu na kuhusu day n nyt Au hilo swali hukuliona!! Afuu tusidanganyane apa etii ukitumia darubini unaiona hahhahaha unaona the same kama imeshaanza potea ndo ivoo ivo utakoova kwenye darubini alaf acha kukremisha sio nahodha pekee wenye darubini unaeza angalia pia ukiwa ufukweni na darubini yako jaribu kwa vitendo broo
tatizo hata uwezi kusoma hili swali nlilijibu vizuri tu,,,,, kama hujui mirage ni nini huwezi kuelewa haya mambo embu rudia kusoma ulicho andika alafu soma maelezo yangu nliojibu kuhusu circum navigation ...fanya utafiti unadhani me nlilala nkaoteshwa kwamba dunia ni flat ....
Ni uelewa wako mdogo lakini kuna mambo madogo ungewza kufikiri na kupata majibu
1. Kama Dunia ni tambarale Jua linazama wapi ?
2.Mwezi hujificha wapi wakati Dunia ni tambarale.
Mkuu Jua huzunguka katika mfumo wake (milk away galaxies) na sayari huzunguka Jua pia sayari ya Dunia huzunguka Jua na tunapata msimu wa Mwaka na Dunia hujizungusha yenyewe kwa masaa 24 tunapata siku,
Mwezi ndio huzunguka Dunia
acha kukurupuka wewe unamwambia mwenzako anauelewa mdogo kumbe we ndo hujui lolote kabisa ..kama ungekua na maarifa usingeuliza maswali ya kipuuzi ivo wakati yapo kwenye maelezo ..
Mkuu watu wengine akili zao sijui zikoje ama wanafikiri Dunia ni Tanzania tu?
Mtu anakurupuka analeta hoja eti Dunia tambarale lakini muulize
watanzania ni maskini wa kutafakari na kudadisi mambo,,,,,,,,,na wanafurahi kwelikweli kukaa gizani,,,,,,, shallow minds always runaway from tought thoughts.....
mbona meli hapa kisiju ukiinalia kwa mbali ni kama inapandisha mlima?
tatizo lugha inakufunga ,,,,,unaona kama inapanda mlima ....kwahiyo unachotaka kusema bahari inamilima na mabonde,,,,,,,haha water finds its own level ,,,
Hapa umemaliza kila kitu kwa maelezo na mfano mdogo na unaoeleweka kabisa!
Ume-crash "kitabu" chote alichokiandika hapo juu kionekane hamna kitu.
tatizo lenu mnajifunga fikra wenyewe ...mnajaribu kutumia knowledge yenu ya primary na secondary ,,,alaf nadhani mtakua wavivu wa kusoma pia maana nmeelezea mambo mengi hapo na ni facts sio kwamba nmetunga mimi ....im just spreading the word thats all
Huku ni kubishana na FACTS. Na whenever there is facts, then science is absolutely related and embended within.
Waafrika kila siku tunalishwa sumu za kimapokeo, sio kwenye dini wala theories na tunavimeza kila mtu kwa mtazamo na upembuzi separately!
Swali la kujiuliza tu ni kwamba kwa nini tuendekeze huu upuuzi wa kupokea, kumeza kisha kubishana?? Je, sisi Waafrika hivi ni kweli bado tu hatuja advance to the extent dat we capable of collecting and organizing facts that will defend our own thoughts?? cant we become perculate and blag for our own creativities??
Tumevishwa ufinyu wa fikra kimatendo na kwa kutafakari.
Afrika bara la weusi. Afrika bara la wajinga.
mjinga ni wewe mwenyewe usitumie imagination zako kujudge kwamba waafrika wote ni wajinga mjinga ni wewe ulie ukubali ujinga,,,,kwa hujui maana ya ujinga unajua ujinga nni au unongeaongea tu ,,,badilisha kauli zako
Achana na uzushi labla kama kuna maslahi yako humo.
Nasa, Russia,China, India (Project on progress) etc wote wanatoka duniani na kwenda nje ya Dunia. Hata hao founders wa upuuzi huu wakipandishwa kwenye apollo wakipelekwa nje kidogokidogo ya Dunia Wakiiona dunia ilivyo watabisha waseme wanaonyeshwa video.
mkuu hii dunia unaweza kujikuta unafuata mawazo ya watu
Nio maana nimekwambia unahitaji practical VAN ALLEN BELT huo ni ujanja ujanja usio na mbele wala nyuma. With what device did you use to prove that myth.
wewe ujielewi please read my thread again ican answer stupid questions .....im dealing with people who can think deep if u can understand this kuna thread nyingi sana hapa jf ,,,
Albert Pike,
33rd Degree Mason and head of the Southern Masonic Jurisdiction of the Scottish Rite of Freemasonry.
Muandishi wa kitabu Kinaitwa Morals and Dogma. Kitabu hadimu na chenye siri nyingi jinsi dunia inavyochezeshwa na watu wachache. Kinachopatikana google is not the true copy
Hiki kinachojadiliwa himu ni branch tu ya haya mambo ya kupumbaza dunia. FLAT EARTH Movement
yani wewe ndo mbumbu kabisa kwahiyo albert pike ndo unamwamini 100% kwamba yeye ni nani hasa wapo phylosophers wengi
Hua sipendi matusi lakini vitu vingine vinaua kabisa tolerance, hii ni karne ya 21 hatuna muda wa kukaa kuendelea kubishana na vila.za!
Hii article nimeona kwa kurukaruka sana, in short nimetumia sekunde kama 30 tu kuiangalia nikapotezea maana umeandika kitu probably saa nzima ila ni upuuzi mtupu.
Twende sasa kwenye common sense, nitajaribu kutokutumia chochote cha kisayansi pamoja na kua wewe unapinga sayansi ila unakuja kusema evidence yako ni picha iliyochukuliwa na kamera (iliyotokana na sayansi), huna hata idea kamera imetengenezwaje na kwa nini haijaonyesha dunia ikipinda kwenye hizo picha, sababu ninayo ila tusiende huko hutoelewa kwa akili yako.
Akili ya kawaida kabisa, hapa tutaona kama wewe kweli unafikiria au ovyo. Unapochukua maji na kuyaachia yaanguke chini yanajaribu kujiweka kwenye shape gani? Jibu ni jepesi tu, sphere (round) sababu ni ndogo, kila kitu kinajaribu kujivuta pamoja kutengeneza shape yenye area ndogo kuliko zote, huwezi achia maji yaanguke yakatengeneza shape ya box hata siku moja.
Sasa kutokana na nilichokisema, mwezi angani ukiwa full hua unauona kama box au sphere? obvious ni sphere, sababu ni ndogo, upo angani particles zake zimejivuta pamoja kutengeneza shape yenye area ndogo kuliko zote ambayo ni sphere, kama huamini mwezi nao ni sphere basi nenda mirembe ukatibiwe akili au tafuta daktari wa macho. Dunia nayo ipo angani vilevile, unadhani ina nini special cha kuifanya isijaribu kuobey hiyo rule ya kujivuta pamoja kutengeneza sphere alafu iende kujiweka kua flat??
Darubini zipo madukani zinauzwa, chukua moja jaribu kuangalia night sky, itafute venus au mars, zote zipo katika shape ya sphere, unaziona kwa macho yako mawili. Dunia ina nini special yenyewe tu ndiyo iwe flat?
Hujaona watu wanazunguka dunia nzima kwa meli kwa kufuata njia moja tu (forward)?? Ina maana walifika mwishoni kwenye hizo barafu zako alafu wakapita uvunguni kurudi mwanzoni au? Hehe hata aliyevuta bangi hili hawezi kutoliona lipo wazi kabisa.
Nimejaribu kukujibu kwa logic ya kawaida kabisa, kama hadi hiyo hujaielewa basi sina muda wa kubishana na watu wanaopoteza muda kusoma ujinga kwenye internet alafu wanajifanya wanasanyansi huku internet yenyewe wanayotumia imetengenezwa na haohao wanaowabishia. Akili ndogo kujaribu kuendesha akili kubwa. Hehehe siamini umeandika kitabu kizima ukisupport ujinga.
bado upo gizani sana first unajitengenezea scenereo mwenyewe kwa imagination zako alafu unaziita logic umeandika mambo mengi nkadhani itakua ni kitu cha maana kumbe ni walewale wavivu wa kufikiri,,,,,fanya research me sio kichaa tu nkakurupuka kuandika mambo yote hayo ,,,,,bado akili yako ni ndogo kuelewa ili jambo vyema
Mkuu uko sahihi ila hakuna kitu kama juu, chini au pembeni ya dunia. Sema tu hiyo picha ramani ya UN imechorwa kwa kuiangalia dunia kutoka Canada na Urusi zilipo kisha ikafanywa kuwa tambarare.
acha kutudanganya wewe nani kakwambia,,,,kwanini ssa imechorwa kutokea canada na sio marekani au uk ,,,,acha fikra mgando na usidanganye watu
Iko hivi, mtoa post ka base ktk theory ya wenye evidence hzo za dunia tambarare, so kumkosoa yeye wala haiwafanyi kuwa mnajua sana, karibia maswali yoooote mliyomuuliza yamejibiwa tena kwa vielelezo vya mahesabu, picha video na mpaka sababu za watu kudanganywa dunia ni duara, na wengi wasioamini hilo mwisho wa siku hukimbia chocho coz utetezi wao unabase darasani so akipewa kitu ambacho hakufundishwa ili asionekane alifundishwa uongo inabidi abishe. Ukitaka kwenda sawa nakupata uelewa wa je ni tambarare au flat inabidi kwanza mtoke ktk nadharia za darasani na tujikite ktk tafakuri za akili zstu ktk machache tunayoweza kuyadadisi, ktk kuthibitisha na kwa yale ya darasani tusiwabishie wataalam ila tuwahoji tukikosa jibu basi tuamini walitudanganya.
Kwanza kw vile humu cc wote tuna elimu ya dunia duara tuliyofundishwa darasani tusikubali kuwa wavivu wakuwa wanafunzi tena wakufundishwa dunia ni tambarare... Then tutashindanisha hoja na wakuaminiwa tutamjuakila mtu na uelewa wake...
So kama haujawahi kupata elimu ya dunia duara na uthibitisho wake huna haja yakumpinga mtoa post coz mwenzako atakuwa ana elimu zote za duara na tambarare kwa kiwango chake,,
www.flatearthsociety.org
www.theflatearthsociety.org
Humo majibu ya maswali yooote yaliyoulizwa na wasioamini dunia ni tambarare mengi yamejibiwa with evidence and calculation... Kama haujui kidhungu kuwa mpole.
bora uwaelimishe wenye mawazo mgando
Leo nikwambie!!! macho ni maongo kuliko unavyojua
kwa taarifa yako hamna kifaa chochote duniani chenye vision kama ya macho yako ..kwa kifupi macho yako ndio kipimo cha vifaaa vingine vyote ,,kamwe usije kuyadharau macho yako kwa lusema yanakudanganya ...
Hatubishani ila tunaeleweshana, kati yetu hakuna anayeja sana.
Binafsi sitampinga yeyote zaidi ya kuidadis hoja yake. Sawa kwa wanaposema duni ni tambarare unaelewa utambarare wenyewe ni upi na upo wapi? Hata hao wenye hoja ya dunia tambarare picha za hyo dunia bado huwa na hali ya utufe isipokuwa wanaponga kwa hoja zao kuwa sisi hatupo juu ya dunia mviringo kusema kuna muda nchi nyngne watu wake huwa kichwa chn miguu juu yani tupo juu ya li mpira kuuuubwa.
Wanadai maisha yetu sisi ardhini wote tupo ktk utambarare na htupo juu ya mduara ila ndani ya mduara katika hali ya utambarare mfano unapolikata chungw ktkt sisi tuwe juu ya utambarare unaoonekana chungwani, tukiwa tumezungukwa n nguvu mbalimbali zilizomo ndani yake yani tupo katik syari yenye doom, kama hema la duara hv.
Mwisho wa sik iwe tmbarre iwe duara hakuna tutakachozawadiwa zaidi ya kurutubisha bongo zetu.
siku utakayotambua kwamba dunia ni tamvb
Hujanishawishi bado sababu
1. Mmarekani akitaka kwenda Russia au Japan anapita zake pacific ambayo iko uwani kwetu huko. Ingekuwa tambarare ingebidi apite Afrika au hapo Mashariki ya kati.
2. Russia na Marekani ni majirani kiasi kwamba unaweza kuvuka na feri tu kutoka russia kwenda hapo Alaska
3. Dunia kuwa na barafu kwenye poles wakati Sayari zingine hakuna barafu hiyo inatrgemea na tabia ya Atmosphere yake. Dunia yenyewe hii atmosphere yake ina tabaka baridi sana kama barafu na tabaka nyingine ya joto kali la luyeyusha hata chuma lakini zimetenganishwa kwa km chache tu.
4. Dunia ni duara ndo maana huko angani kuna ma-satelaiti kibao kuanzia za mawasiliano, navigation, za kijeshi na kadhalika na zote zinaizunguka dunia muda wote.
Kwa ufupi hizo sababu ilizoeleza zote ni CONSPIRACY THEORIES na kama umechagua kuwa brainwashed na kuziamini shauri yako. Changanya mambo ya darasani na Logic pamoja na common sense.
embu usome uzi wote uelewe vizuri kwanza maana maswali yako yamejibiwa humo
Maelezo yako mazuri, nami nimetoka google sasa hivi kujiridhisha juu ya umbali wa usa na russia, nimeridhika zaidi kuwa dunia ni duara, russia na usa ni majirani, kikiwa jamna ukungu pande mbili mnaonana, hii ni baada ya kuzama google na pia kusoma baadhi ya ushuhuda wa wakazi.
Huu uzi umenizamisha deep zaidi, mpaka nimejua kwa nini mwezi una shape tofauti na pia kuhusu kupwa na kujaa kwa bahari, nimejifunza mengi sana.
nawaskitikia sana wale mnaoona fanya research google tu na kusoma website moja na kuridhika,,,,,fatilieni mambo msijiridhishe kwa kukwepa kufatilia deep zaidi
Mkuu usipoteze mda , we nenda airpot kata ticket panda ndege , ukiruka juu utajionea mwenyewe kwamba dunia siyo tambarale.. ukitua naamini utafuta huu Uzi mara moja .. Unahitaji kupanda ndege tu , easy
hujawai kupanda ndege i bet ,,,maana kama umepanda ndege amna ata mara moja utaona curveture ata kama ukiwa umbali gani ,,,acha kuongea vitu usivo vijua
Mkuu dunia ni duara acha kujifikirisha uongo ,, dunia siyo tambarare , kuanzia misingi na principles za umeme, za kihisabati , geography zote zinakubali u duara wa dunia .. kwa macho halisi ukipanda juu kilometers kadhaa utaiona dunia kwa macho yako mwenyewe ...
kwahiyo wewe unaamini kila ulichofundishwa darasani.....wewe tatizo lako utaki kufikiria kwa kina hata sisis tunatambua kwamba tulifundishwa kama wewe kuanzia shule ya msingi.,.,.,.,.fatilia mambo kwa kina huu sio ubishani ni elimu
Ndugu yangu hivi unajua kwamba unaweza kusafiri toka Dar mpaka Sydney halafu ukaenda San Fransisco kisha ukafika New York na ukaendelea mpaka Accra na kurudi tena Dar? Hapo bado dunia itakuwa tambarare kweli?
acha uongo na kupotosha watu route zote za ndege duniani zinafahamika na hakujna route ya kuizunguka dunia na pia hakuna ndege inayo kwenda from dar to sydney direct hakuna kabisa na haiwezekani
Ili iwepo barafu inabidi yawepo maji, sasa sayari nyingi hazina maji (kimiminika).
Kuna mwezi wa sayari ya jupiter if not mistaken ardhi yake ni barafu tupu lakini sio ya h20.
Kwa hiyo hoja yako sio ya msingi hapa kuwa kwanini sayari nyingine hazina barafu, jibu ni kwamba hazina kwakuwa hazina liquid na wala atmosphere ya hizo sayari siyo kama ya kwetu.
acha kufanya gues work tupe facts ,,,hiyo unayofanya hapo ni guesing ,,,.,.,.,.fanya research
Route za ndege commercial airliners what about private jets?
Halafu unasisitiza eti ndege haizipiti North.
Kama huja ya kutopita north ni kwamba kuna boundary kwa mchoro wako hata ikinyoosha Eastward itakutana na boundary au ikielekea West ward itakutana na boundary.
Lakini haiwezekani ndege ikitaka toka USA kwenda china irudi tena kupita afrika ndo ielekee china itanyoosha huko huko west itafka china. Same applied iktaka toka china kuja africa hairudi kupita usa itaendelea west ije afrika.
Kwa mchoro wako na mfano wa routes za ndege hakuna maelezo uliyotoa kwanini ndege hazizuiwi kuelekea westward na eastward to whatever distance kama kweli dunia ni flat
sasa nimekuelewa kumbe tatizo lako ni ufikiriaji wako 2 route za ndege zipo fixed hata kama una private jet lazima ndege yako ijulikane kama ipo hewani wewe huwezi kufikiri hili kwa sababu unadhani angani ni kama sokoni ndege zinajipitia tu,,,fanya utafiti usibishe tu ilimradi kurefusha uzi
Umefanya research gani zaidi ya kusoma documents zilizo andikwa na watu.
Wanasayansi daily wanaenda kwenyw space station kufanya research mbalimbali hadi tumbili wamepelekwa wanafanya majaribio mbalimbali juu ya matokeo yatakuwaje iwapo kitu kitafanyika ambapo gravity ni ndogo.
Kama huamini wamarekani basi uwe unatazama hata channel za wengine mfano NHK ya wajapan ni channel ambayo iko kwa kingereza na kuna muda wanaongelea mambo yao ya space na sayansi.
Eti umefanya research umefanya research gani wewe zaidi ya kusoma docs za hao earth flat society wanaosema kwenye kingo ya dunia kuna ukuta wa barafu mrefu una ft 15 nasa wanaulinda mtu asiuvukue akaanguka.
Yani wanachekesha kweli
siwezi kukuolazimisha uelewe ukweli kwasababu naona ufikiriaji wako umefikia mwisho kwa kweli,,,,,,