hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Narudia,. natural laws zinafanya kazi hata kama Dunia nzima hatutokaa na kuunda formular yoyote,..Nimeziundia formula wapi??
Unabishana na vitu ambavyo vimeshakuwa tested na vikaleta majibu sawia?
Nimekwambia gravity ni name given to a natural phenomenal. Kwahy wewe unaweza kuita jina lako lakin haitabadirisha kitu.