hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Nje ya Dunia ni wapi huko?Kwa hiyo unakubali kwamba hakuna mvutano wa kuyavuta maji kwenda nje ya dunia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya Dunia ni wapi huko?Kwa hiyo unakubali kwamba hakuna mvutano wa kuyavuta maji kwenda nje ya dunia?
Yaani we jamaa unaumwa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.Maelezo nimetoa through observational research...
Toka nje hapo muulize hata kilaza yoyote kwamba,...Je.,Una weight ya ngapi?
Uone kama atahusisha masuala ya gravity,...hiyo ni Kwasababu gravity kuihusisha na uzito wa object ina apply kwenye makaratasi tu.
Najua jinsi inavyopimwa Kwa njia uliyoikariri,..lakini hapa nitakuwekea jinsi inavyopimwa Kwa njia ambayo hauhitaji kuhusisha gravity kama unavyotamani.We jamaa bishi sana, nimekuuliza ukipima weight na ukapima mass numeric value zitakuwa the same?
Au hujui weight na mass zinavyopimwa?
qurantalkblog.com
Yes hujakosea kabisa upo sahihi,...🤝🏼Yaani we jamaa unaumwa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.
Sasa namm observational research yangu haisemi hivyo usemavyo.
Kumbe sikukosea kusema ww ni embicile ignoramus.
We kweli kilaza😁Najua jinsi inavyopimwa Kwa njia uliyoikariri,..lakini hapa nitakuwekea jinsi inavyopimwa Kwa njia ambayo hauhitaji kuhusisha gravity kama unavyotamani.
Mass/weight = Density*Volume
Sawa nipo sahihi, elezea swali ulilouliza la winter seasonYes hujakosea kabisa upo sahihi,...🤝🏼
Yap ipo hivyo..We kweli kilaza😁
Kwahy ukitaka kupima weight au mass ndo unaingiza kwenye hiyo formula?
Ndo maana nasema we unashindana,Yap ipo hivyo..
Kuhusu winter season zinazoangusha barafu Kali...nimesema kwamba ni ushahidi tosha wa kwamba Dunia ipo stationary.Sawa nipo sahihi, elezea swali ulilouliza la winter season
Hahh sijalazimisha mambo,..Tatizo ningekuwekea Mass peke yake hapo ungeuliza na Formula ya weight ni ipi?Ndo maana nasema we unashindana,
Haya ulisema weight na mass ni kitu kimoja then kwenye formula umeweka mass/weight unaona kiasi Gani ubalazimisha mambo?
Aya Sasa Mimi nataka kujua weight yangu nambie ni ngapi?
Kuhusu winter season zinazoangusha barafu Kali...nimesema kwamba ni ushahidi tosha wa kwamba Dunia ipo stationary.
Kwasababu there's no way Dunia constantly inazunguka kisha ukanda mmoja wenyewe kuna season haijawahi ku experience constantly milele na milele.
Labda useme,.. inawezekana vipi hiyo? Ila nashauri utumie fikra zako tafadhali.
We si umeandika formula? Na ulisema mass na weight ni kitu kimoja? Sasa mass/weight si sawa sawa na 1.Hahh sijalazimisha mambo,..Tatizo ningekuwekea Mass peke yake hapo ungeuliza na Formula ya weight ni ipi?
Wakati nishasema ni kitu kimoja.
Sawa naomba niulize swali,.. kwanini huwa mnatumia arguments ya change of seasons kama ushahidi wa dunia Tufe linalozunguka?Shida yako husomi na kuelewa.
Hivi ukiangalia hii demonstration hapa chini angalia hiyo mishale unadhani ni eneo gani linapata direct sun?
Kumbuka pia Dunia inarotate. Lakin always haitabadiri kitu kuwa at the equator ndo Pana pata direct sun.
Alafu uelezee na ww kwenye flat yako
View attachment 2933054
Sababu ndo hiyo niliyokupa na zingatia earth tilt ambayo ni 23.5°.Sawa naomba niulize swali,.. kwanini huwa mnatumia arguments ya change of seasons kama ushahidi wa dunia Tufe linalozunguka?
Wakati kuna maeneo haya experience seasons zote?
Hivi kwa nikiweka hivi......Kuongea/Kuzungumza.We si umeandika formula? Na ulisema mass na weight ni kitu kimoja? Sasa mass/weight si sawa sawa na 1.
Alafu hunanipa jibu nikitaka kujua weight yangu nafanyaje kwenye hiyo formula yako au nambie ni ngapi?
Jawabu lako halitoshii
Haya ni sawa ndo maana nimekwambia Sasa utapataje jibu wakati ukivigawanya jibu ni 1.Hivi kwa nikiweka hivi......Kuongea/Kuzungumza.
Utasema hayo maneno ni tofauti?
Kwahy hatuwezi kupima weight ya kitu?Formula hiyo huwezi ukaitumia kujua uzito wako Kwa kuwa ipo complex utatakiwa ujue density ya mwili wako,.kitu ambacho ni kigumu...Mimi nimekupa formula kama ulivyoiomba.
Halijatosha kivipi?Jawabu lako halitoshii