Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Maelezo nimetoa through observational research...

Toka nje hapo muulize hata kilaza yoyote kwamba,...Je.,Una weight ya ngapi?

Uone kama atahusisha masuala ya gravity,...hiyo ni Kwasababu gravity kuihusisha na uzito wa object ina apply kwenye makaratasi tu.
Yaani we jamaa unaumwa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.

Sasa namm observational research yangu haisemi hivyo usemavyo.

Kumbe sikukosea kusema ww ni embicile ignoramus.
 
We jamaa bishi sana, nimekuuliza ukipima weight na ukapima mass numeric value zitakuwa the same?

Au hujui weight na mass zinavyopimwa?
Najua jinsi inavyopimwa Kwa njia uliyoikariri,..lakini hapa nitakuwekea jinsi inavyopimwa Kwa njia ambayo hauhitaji kuhusisha gravity kama unavyotamani.

Mass/weight = Density*Volume
 
Yaani we jamaa unaumwa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.

Sasa namm observational research yangu haisemi hivyo usemavyo.

Kumbe sikukosea kusema ww ni embicile ignoramus.
Yes hujakosea kabisa upo sahihi,...🤝🏼
 
Najua jinsi inavyopimwa Kwa njia uliyoikariri,..lakini hapa nitakuwekea jinsi inavyopimwa Kwa njia ambayo hauhitaji kuhusisha gravity kama unavyotamani.

Mass/weight = Density*Volume
We kweli kilaza😁
Kwahy ukitaka kupima weight au mass ndo unaingiza kwenye hiyo formula?
 
Yap ipo hivyo..
Ndo maana nasema we unashindana,
Haya ulisema weight na mass ni kitu kimoja then kwenye formula umeweka mass/weight unaona kiasi Gani ubalazimisha mambo?

Aya Sasa Mimi nataka kujua weight yangu nambie ni ngapi?
 
Sawa nipo sahihi, elezea swali ulilouliza la winter season
Kuhusu winter season zinazoangusha barafu Kali...nimesema kwamba ni ushahidi tosha wa kwamba Dunia ipo stationary.

Kwasababu there's no way Dunia constantly inazunguka kisha ukanda mmoja wenyewe kuna season haijawahi ku experience constantly milele na milele.

Labda useme,.. inawezekana vipi hiyo? Ila nashauri utumie fikra zako tafadhali.
 
Ndo maana nasema we unashindana,
Haya ulisema weight na mass ni kitu kimoja then kwenye formula umeweka mass/weight unaona kiasi Gani ubalazimisha mambo?

Aya Sasa Mimi nataka kujua weight yangu nambie ni ngapi?
Hahh sijalazimisha mambo,..Tatizo ningekuwekea Mass peke yake hapo ungeuliza na Formula ya weight ni ipi?

Wakati nishasema ni kitu kimoja.
 
Kuhusu winter season zinazoangusha barafu Kali...nimesema kwamba ni ushahidi tosha wa kwamba Dunia ipo stationary.

Kwasababu there's no way Dunia constantly inazunguka kisha ukanda mmoja wenyewe kuna season haijawahi ku experience constantly milele na milele.

Labda useme,.. inawezekana vipi hiyo? Ila nashauri utumie fikra zako tafadhali.

Shida yako husomi na kuelewa.

Hivi ukiangalia hii demonstration hapa chini angalia hiyo mishale unadhani ni eneo gani linapata direct sun?

Kumbuka pia Dunia inarotate. Lakin always haitabadiri kitu kuwa at the equator ndo Pana pata direct sun.

Alafu uelezee na ww kwenye flat yako

equator~2.png
 
Hahh sijalazimisha mambo,..Tatizo ningekuwekea Mass peke yake hapo ungeuliza na Formula ya weight ni ipi?

Wakati nishasema ni kitu kimoja.
We si umeandika formula? Na ulisema mass na weight ni kitu kimoja? Sasa mass/weight si sawa sawa na 1.

Alafu hunanipa jibu nikitaka kujua weight yangu nafanyaje kwenye hiyo formula yako au nambie ni ngapi?
 
Shida yako husomi na kuelewa.

Hivi ukiangalia hii demonstration hapa chini angalia hiyo mishale unadhani ni eneo gani linapata direct sun?

Kumbuka pia Dunia inarotate. Lakin always haitabadiri kitu kuwa at the equator ndo Pana pata direct sun.

Alafu uelezee na ww kwenye flat yako

View attachment 2933054
Sawa naomba niulize swali,.. kwanini huwa mnatumia arguments ya change of seasons kama ushahidi wa dunia Tufe linalozunguka?

Wakati kuna maeneo haya experience seasons zote?
 
Sababu ndo hiyo niliyokupa na zingatia earth tilt ambayo ni 23.5°.

file-20211217-23072-g37bxk.jpg
 
We si umeandika formula? Na ulisema mass na weight ni kitu kimoja? Sasa mass/weight si sawa sawa na 1.

Alafu hunanipa jibu nikitaka kujua weight yangu nafanyaje kwenye hiyo formula yako au nambie ni ngapi?
Hivi kwa nikiweka hivi......Kuongea/Kuzungumza.

Utasema hayo maneno ni tofauti?

Formula hiyo huwezi ukaitumia kujua uzito wako Kwa kuwa ipo complex utatakiwa ujue density ya mwili wako,.kitu ambacho ni kigumu...Mimi nimekupa formula kama ulivyoiomba.
 
Back
Top Bottom