The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako husomi Bali unaleta ubishi tu hapo ulisoma na ukaelewa kweli?Sichoki kukufumbua akili yako:
aircraft zinatumia special type of navigation system ambayo Iko based on the curvature of the surface of the earth.
Sasa Ili iweze ku-maintain altitude, planes lazima i-adjust pitch angle na thrust.
Hii unafanya na computers ambazo zina-integrate sensors Ili kuweza ku-measure aircraft’s attitude (roll, pitch, and yaw), airspeed, altitude, and attitude rate into an algorithm ambayo Ina controls plane's climb rate na altitude.
View attachment 2933821
So plane ita-adjust angle yake, thrust na speed Ili ku-maintain the desired altitude.
Hii technology ndo inaitwa “autopilot” na inatumika na pilots around the world.
Ushauri soma soma soma.... Acha kusikiliza hadithi za vijiweni just reason yourself don't allow someone to reason for you!!!
Zaidi epuka kuamini Kila conspiracy, hata Mimi hii flat earth conspiracy nimeifatilia lakn ni wazi Ina hoja za kitoto sana ambazo zimeshajibiwa na sayansi, lakn flat earth Haina hoja yake inayojitegemea Ili ki support hoja zake.
Zingatia:
1. To roll the plane to the right or left, the ailerons are raised on one wing and lowered on the other. The wing with the lowered aileron rises while the wing with the raised aileron drops.
2. Pitch makes a plane descend or climb. The pilot adjusts the elevators on the tail to make a plane descend or climb. Lowering the elevators caused the airplane's nose to drop, sending the plane into a down. Raising the elevators causes the airplane to climb.
3. Yaw is the turning of a plane. When the rudder is turned to one side, the airplane moves left or right. The airplane's nose is pointed in the same direction as the direction of the rudder. The rudder and the ailerons are used together to make a turn
TUMIA AKILI............
Wao research zao ni kwa macho🤣Wewe unaumwa😀😀!! Sema wapi ni nadharia?
Lakin hata ikifika wakat wa kutumia macho alafu ikawaprove wrong wanaanza tena kusema ni illusion😀😀.Wao research zao ni kwa macho🤣
Tatizo wanafunga akili zao na conspiracy theories. Mtu hawezi kuelezea vitu karibu 10 ambavyo kimsingi vinaelezeka lkn Bado anakaza fuvu.Wao research zao ni kwa macho🤣
Kama hii ukiwaambia wachukue ndege wapige experiment hawataki, wasema kwa akili za kawaida tu, sasa za kawaida zipi 🤣. Mimi waje na experiment zao ntawasikiliza, ila waanze kuja na hizo tafiti, kitu nachojiuliza mimi kwanini hawataki tafiti hawa flat earthers hateeb10 emu toa majibu mkuu kwanini hamtaki tafiti?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3]jiheshimu we jamaaSafi,. Kipindi Mpira unashuka chini Air resistance ipo kwenye downward direction ili kukamilisha kanuni yake ya Ku oppose motion of the object ambayo ilikua inaenda juu.
Tusiende mbali,..hoja iliyopo ni kwamba:-Ndo maana nilisema hata nikikueleza vp Bado utakataa tu😀
we hapo hujaelewa nn? Ndege inamaintain level yake Ili isitoke nje ya atmosphere Kwa kutumia altimeter, wewe unataka ndege Ifanye hivo Kwa kufata curve huku ikitanguliza kichwa chako chini??😀😀
Hata ndege ikiwa inatua uwanjan huwa haitangulizi uso. Na ndo maana nikakupa hii demo..
View attachment 2934133
Sasa we kaza fuvu Sina Cha zaidi kukuelewesha zaidi..
Ndege hazifuati curvature Kwa kuwa haipo,...ingekua zinafuata curvature,basi kwenye elimu ya Piloting kusingekua na assumption ya kwamba dunia ni "Flat"Horizontally Gani unaongelea ww? Nimekwambia zina maintain altitude kwahy automatically zinafata curvature ya dunia. Sijui huwa unaangalia ndege inavyopita mpka Inapotea kweli?
Okay,. unakubali kwamba Ndege ziki maintain altitude yake zitashindwa kutua nchi ambazo zipo below the imaginary curve?Me sijamaanisha zinasafiri horizontally bila kufuata curve, Bali zina maintain altitude yake. Kama zingekuwa zinasafiri horizontally bila kufanya adjustment basi zingetoka nje ya atmosphere yetu.
Shida yako unataka ndege uione imetanguliza kichwa chake chini kufuata curve kitu ambacho ndege haipo hivyo. Na nimeshakuelezea airplane aerodynamics lakn we huelewi.
Tafiti zinafanyika na ndiyo zinawapa watu ujasiri wa Ku question uongo ulioenea kwenye vichwa vya watu.Kama hii ukiwaambia wachukue ndege wapige experiment hawataki, wasema kwa akili za kawaida tu, sasa za kawaida zipi 🤣. Mimi waje na experiment zao ntawasikiliza, ila waanze kuja na hizo tafiti, kitu nachojiuliza mimi kwanini hawataki tafiti hawa flat earthers hateeb10 emu toa majibu mkuu kwanini hamtaki tafiti?
Naomba Refence nikajifunze mkuuTafiti zinafanyika na ndiyo zinawapa watu ujasiri wa Ku question uongo ulioenea kwenye vichwa vya watu.
Akikupa tafiti zinazoeleweka nafuta account ya JFNaomba Refence nikajifunze mkuu
Hatojibu hapoAkikupa tafiti zinazoeleweka nafuta account ya JF
Unajua maana ya altitude kwanza?Okay,. unakubali kwamba Ndege ziki maintain altitude yake zitashindwa kutua nchi ambazo zipo below the imaginary curve?
By maintaining it's altitude,.Ndege haitoweza kamwe kutua Madagascar ikiwa inatokea kwenye Nchi zilizo North mfano Canada,.👉🏼🌍
Ukija hapa anthony_art utuambie....ikiwa Ndege inatokea Canada kisha ika maintain altitude itaweza kutua nchi zilizo Kusini mwa Tufe linalozunguka kama Madagascar???!
Kwahy unamajibu yako?😀😄 Na umeshindwa kujibu hoja zaidi ya saba😀😀.Ndege hazifuati curvature Kwa kuwa haipo,...ingekua zinafuata curvature,basi kwenye elimu ya Piloting kusingekua na assumption ya kwamba dunia ni "Flat"
Nchi zote zinaishi juu ya uso wa Dunia,..hata hili unashindwa kuelewa?,.tena unaweza ukatafiti na kuthibitisha mwenyewe..
Why do you fail to grasp this simple logic?🙌🏼
Kama Dunia ingekuwa flat ndege zisingekuwa zinatumia altimeter kuadjust altitude, sidhan kama unajua maana ya altitudeOkay,. unakubali kwamba Ndege ziki maintain altitude yake zitashindwa kutua nchi ambazo zipo below the imaginary curve?
By maintaining it's altitude,.Ndege haitoweza kamwe kutua Madagascar ikiwa inatokea kwenye Nchi zilizo North mfano Canada,.👉🏼🌍
Ukija hapa anthony_art utuambie....ikiwa Ndege inatokea Canada kisha ika maintain altitude itaweza kutua nchi zilizo Kusini mwa Tufe linalozunguka kama Madagascar???!