hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Kujua umbo la Dunia sio lazima shirika au Taifa fulani likuambie....Waliopeleka vyombo anga la mbali sio NASA peke yao mkuu
Yapo mataifa kama Russia ambayo yanapingana kwa kila kitu na USA wasinge kubali kuendeleza uongo huu
Mimi mara zote kabla sijaingia kwenye huu mjada napenda kujua kwanza wewe unadhani kwanini NASA idanganye dunia? Kwanini itumie nguvu kubwa nmna hiyo kudanganya dunia?
Ni wakati gani dunia iligundulika ni duara? Na nani aligundua hivyo?
Tukijua sasa kwanini NASA wanadanga ndio tutakuja kuangalia uwezekano wa round au flat
In the first place,....wewe unaionaje Dunia? NI Tufe?
Linazunguka?
Ukiwa tu unategemea shirika au Taifa fulani likuambie,...that means umeiziba nafasi ya milango yako ya fahamu kutafsiri kile ambacho unaona, unahisi na kusikia kitu ambacho sio kizuri kabisa au naweza kusema ni misuse of resources.