hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Sasa Kwa mfano assume haya maelezo yako ndiyo picha umepewa unaambiwa ndiyo ushahidi wa Coriolis effects....itakutosha kuamini?Kwann isifae? Ni sawa na upige picha unashake kichwa Ile picha haitaonekana vzr Kwa sabab ya deflection