Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kwann isifae? Ni sawa na upige picha unashake kichwa Ile picha haitaonekana vzr Kwa sabab ya deflection
Sasa Kwa mfano assume haya maelezo yako ndiyo picha umepewa unaambiwa ndiyo ushahidi wa Coriolis effects....itakutosha kuamini?
 
Hapa pafanyie kazi hateeb10 najua unataka nitaje east,north, south na west lakn hiyo ni map projection na ndio maana Kuna latitude na longitude halafu pia Kuna eastings na northings kama unajua mambo ya GIS utanielewa.
Hapana,.... kiuhalisia Dunia ina sides na wewe unasema Tufe haliwezi kuwa na sides.

So,..huoni una contradict uhalisia unaposema Tufe halina sides?
 
Kwahiyo ni sahihi au sio sahihi,.... kusema at that point where ships starts to descend towards the curve ndiyo mwanzo wa curvature?

Swali langu rahisi halitaki maelezo mengi,.....just sahihi/ sio sahihi.
Kwa namna Fulani upo sahihi ila Kuna vitu Bado huweki sawa.

Ni kweli unaweza kusema at that point(ship ilipo) ship inaanza ku descend Kwa kurefer point ulipoyopo (observer) kwahy kutakuwa na point mbili apart (distance).
 
Hujanielewa nadhani,... namaanisha chini yaani upande wa pili wa Dunia Tufe ambapo kimsingi ni sawa na kusema chini ya miguu yetu(Opposite side of the Tufe).... Umeliona hili Tufe 👉🏼🌍? Liangalie vizuri nadhani utanielewa namaanisha nini.
Kusema chini ya miguu yetu unakosea

Saivi Kuna face ya Dunia inaface mwanga wa Jua ambayo inaweza kuwa opposite na sisi tulipo
 
Sasa Kwa mfano assume haya maelezo yako ndiyo picha umepewa unaambiwa ndiyo ushahidi wa Coriolis effects....itakutosha kuamini?
Kuna ushahidi zaidi ya huo, nimekwambia ocean current, wind patterns na trajectory motion
 
Hapana,.... kiuhalisia Dunia ina sides na wewe unasema Tufe haliwezi kuwa na sides.

So,..huoni una contradict uhalisia unaposema Tufe halina sides?
Kwanza naomba ukiri ya kuwa
1. Ulishawahi kukubali kuwa the earth is not a perfect sphere
2. Gravity is not a force
 
Kusema chini ya miguu yetu unakosea

Saivi Kuna face ya Dunia inaface mwanga wa Jua ambayo inaweza kuwa opposite na sisi tulipo
Sawa ngoja niliweke swali vizuri...➡️ Kwamba, ukizingatia Dunia ni Tufe na inazunguka Je, hakuna time ambayo Jua linakua chini ya miguu yetu?

Yaani ipo hivi, wakati Jua lipo juu ya utosi (mchana) maana yake lipo juu ya vichwa vyetu,....so hiyo inamaanisha kuna time Jua huwa linakua lipo chini ya miguu yetu(Usiku) in reference to the other side of Dunia Tufe.
 
Sawa ngoja niliweke swali vizuri...➡️ Kwamba, ukizingatia Dunia ni Tufe na inazunguka Je, hakuna time ambayo Jua linakua chini ya miguu yetu?

Yaani ipo hivi, wakati Jua lipo juu ya utosi (mchana) maana yake lipo juu ya vichwa vyetu,....so hiyo inamaanisha kuna time Jua huwa linakua lipo chini ya miguu yetu in reference to the other side of Dunia Tufe.
Basi ngoja nikuelewe ivo ivo?
Ndio ni kweli, kama tu utaamini Jua linamove. Ila Jua halimove kwahy kusema Kuna muda Jua linakuwa juu ya vichwa vyetu alafu baadae linakuwa chini ya miguu yetu hiyo statement imekaa kama Jua ndio linamove
 
Kwanza naomba ukiri ya kuwa
1. Ulishawahi kukubali kuwa the earth is not a perfect sphere
2. Gravity is not a force
1. Yes, nakubali earth is not a perfect sphere kwasababu msimamo ni kwamba kuna maswali logically ambayo Mtu ukijiuliza unaona kabisa haiwezekani Dunia kuwa perfect sphere,...kama hivi 👉🏼 🌍 flattened earth ndiyo inaingia akilini Kwa kuwa hata logic inakubali.

2. Ndiyo nishawahi kusema gravity sio force (hata Einstein asha confirm kuhusu hili)........ Gravity atleast ukijaribu kuihusianisha na magnetism Inakua inaingia akilini tofauti na kusema kwamba gravity ndiyo inasababisha vitu kuanguka,....na kuichomekea sehemu isipohusika.
 
. Yes, nakubali earth is not a perfect sphere kwasababu msimamo ni kwamba kuna maswali logically ambayo Mtu ukijiuliza unaona kabisa haiwezekani Dunia kuwa perfect sphere,...kama hivi 👉🏼 🌍 flattened earth ndiyo inaingia akilini Kwa kuwa hata logic inakubali.
Good,
Mfano: "Love is not quantifiable."
Hii statement haimaanishi love doesn't exist, but is not quantifiable. Si ndivyo?
 
Ndiyo nishawahi kusema gravity sio force (hata Einstein asha confirm kuhusu hili)........ Gravity atleast ukijaribu kuihusianisha na magnetism Inakua inaingia akilini tofauti na kusema kwamba gravity ndiyo inasababisha vitu kuanguka,....na kuichomekea sehemu isipohusika.
Kwahy gravity ipo, kwako ww inawork vipi?
 
Basi ngoja nikuelewe ivo ivo?
Ndio ni kweli, kama tu utaamini Jua linamove. Ila Jua halimove kwahy kusema Kuna muda Jua linakuwa juu ya vichwa vyetu alafu baadae linakuwa chini ya miguu yetu hiyo statement imekaa kama Jua ndio linamove
Hapana,...hapo nime assume Jua lipo stationary kama unavyotaka kisha Dunia inazunguka,...So kwa mantiki hiyo kuna muda Jua linakua juu ya utosi wetu (mchana) then kadri Dunia inavyozunguka kuna muda Jua linakua chini ya miguu yetu (usiku)

Vipi ukitafakari hapo..
 
Good,
Mfano: "Love is not quantifiable."
Hii statement haimaanishi love doesn't exist, but is not quantifiable. Si ndivyo?
Yaan kama ambavyo kwenye Statement ya Earth is not a perfect sphere haimaanishi Dunia haipo, ila sio perfect sphere, yaan inadeviate from sphere.

Sijui unanielewa? Yaani ni sawa useme binadamu ni viumbe visivyokamili, haimaanishi binadamu sio viumbe, ila ni viumbe ila visivyokamili.

Nikirejea kwenye Statement ya EARTH IS NOT A PERFECT SPHERE haimaanishi Dunia sio sphere, lakin ni sphere isiyokamilika. Kwa kitaalamu wanaita oblate sphere.

An oblate sphere refers to a sphere that is slightly flattened at the poles and bulging at the equator,

hateeb10
 
Hapana,...hapo nime assume Jua lipo stationary kama unavyotaka kisha Dunia inazunguka,...So kwa mantiki hiyo kuna muda Jua linakua juu ya utosi wetu (mchana) then kadri Dunia inavyozunguka kuna muda Jua linakua chini ya miguu yetu (usiku)

Vipi ukitafakari hapo..
Mbona hamna shida hapo? Au mm sijaelewa? Jaribu hata kuchukua mpira weka kitu chochote (sample A) juu ya mpira uki assume ni wewe, alafu chukua kitu kingne (sample B) ambacho uta assume ni Jua then rotate mpira uone kama hakuna time sample B(Jua) itakuwa juu ya sample A(wewe) na Kuna time sample B(Jua) kitakuwa chini ya sample A(yaani upande wa pili wa mpira kutoka ulipo wewe kama usemavyo.
 
Hapana,...hapo nime assume Jua lipo stationary kama unavyotaka kisha Dunia inazunguka,...So kwa mantiki hiyo kuna muda Jua linakua juu ya utosi wetu (mchana) then kadri Dunia inavyozunguka kuna muda Jua linakua chini ya miguu yetu (usiku)

Vipi ukitafakari hapo..
Mbona hamna shida hapo? Au mm sijaelewa? Jaribu hata kuchukua mpira weka kitu chochote (sample A) juu ya mpira uki assume ni wewe, alafu chukua kitu kingne (sample B) ambacho uta assume ni Jua then rotate mpira uone kama hakuna time sample B(Jua) itakuwa juu ya sample A(wewe) na Kuna time sample B(Jua) kitakuwa chini ya sample A(yaani upande wa pili wa mpira kutoka ulipo wewe kama usemavyo
 
Back
Top Bottom