Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Latitude, LongitudeHapana,.... kiuhalisia Dunia ina sides na wewe unasema Tufe haliwezi kuwa na sides.
So,..huoni una contradict uhalisia unaposema Tufe halina sides?
Pande nane za Dunia, Hivi vyote ni vitu vya kubuni ili kurahisisha shughuli zako wewe binadamu.
Ni kama ambavyo wewe ulisema tuweke point A na B kwenye mpira ( Kubuni )
Japo najua kwakua nmetumia neno "buni" tayari imeshakuchanganya