Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hapana,.... kiuhalisia Dunia ina sides na wewe unasema Tufe haliwezi kuwa na sides.

So,..huoni una contradict uhalisia unaposema Tufe halina sides?
Latitude, Longitude

Pande nane za Dunia, Hivi vyote ni vitu vya kubuni ili kurahisisha shughuli zako wewe binadamu.

Ni kama ambavyo wewe ulisema tuweke point A na B kwenye mpira ( Kubuni )

Japo najua kwakua nmetumia neno "buni" tayari imeshakuchanganya
 
Wewe ungekaa pembeni tu maana umekuja kumuabisha mwenzako hateeb10 humu.

Kwahy wewe unaamini Kuna Gravity sio,?
Gravity ni jina lililopewa kwa ile nguvu (kani) inayovuta vitu kuelekea kwenye kitovu cha dunia.

Newton anatuambia kwamba hapa ulimwenguni (All over the universe) kila kitu kinavuta kila kitu kingine kwa Force ambayo inabadilika nguvu yake kwa uwiano kati ya zao la uzito wa hivyo vitu viwili vinavyovutana na umbali wa utengano wa hivyo vitu bila kujali vina umbo gani.

Newton alipogundua huo uhusiano kati ya Force, uzito wa magimba yanayovutana angani na umbali wa utengano wao hakusema hayo magimba ni lazima yawe ya umbo fulani.

Umbo la gimba halijalishi katika huo uhusiano wa mvutano.

Ko mimi kukubali kwamba DUNIA NI DUARA TAMBARARE (SIO TUFE) hakuhusiani na mimi kukubali uwepo wa nguvu ya mvutano inayovuta vitu kuelekea katikati ya kitovu cha gimba husika.

Hata mraba una kitovu cha mraba, mstatili una kitovu cha mstatili, duara pia vivyo hivyo.

Ko kukubali uwepo wa GRAVITY hakuhusiani na mimi kukubali kwamba dunia ni FLAT CIRCULAR DISC (theoretically, sio perfect circular but it is circular).
 
Mbona hamna shida hapo? Au mm sijaelewa? Jaribu hata kuchukua mpira weka kitu chochote (sample A) juu ya mpira uki assume ni wewe, alafu chukua kitu kingne (sample B) ambacho uta assume ni Jua then rotate mpira uone kama hakuna time sample B(Jua) itakuwa juu ya sample A(wewe) na Kuna time sample B(Jua) kitakuwa chini ya sample A(yaani upande wa pili wa mpira kutoka ulipo wewe kama usemavyo.
So Kwa maana hiyo,..unasema ni kweli kuna time Jua linakua lipo chini ya miguu yetu relatively.?
 
Yaan kama ambavyo kwenye Statement ya Earth is not a perfect sphere haimaanishi Dunia haipo, ila sio perfect sphere, yaan inadeviate from sphere.

Sijui unanielewa? Yaani ni sawa useme binadamu ni viumbe visivyokamili, haimaanishi binadamu sio viumbe, ila ni viumbe ila visivyokamili.

Nikirejea kwenye Statement ya EARTH IS NOT A PERFECT SPHERE haimaanishi Dunia sio sphere, lakin ni sphere isiyokamilika. Kwa kitaalamu wanaita oblate sphere.

An oblate sphere refers to a sphere that is slightly flattened at the poles and bulging at the equator,

hateeb10
Ninaposema nakubaliana na hoja kwamba Dunia sio perfect sphere,...Kwa upande wangu huwa nakubaliana na hoja husika kwasababu atleast inakaribiana na vile ambavyo logic inakubali (kwamba Dunia ni flattened plane),... nasema hivyo kwasababu ukisema Dunia ni Tufe basi utapaswa utuambie jinsi water bodies zinavyoweza kubakia flat (level) licha ya Dunia kuwa tufe linalozunguka.

NB: Hiyo nadharia kwamba Dunia ni slightly flattened at the poles pia haina ukweli,.... kwasababu ukiitazama Dunia utagundua Dunia sio slightly flattened bali ni massively flattened!
 
Kama huwez kujibu mzee unakaa pembeni, hapa hakuna taarab
Wakati mwingine mtu anaweza akawa anashikilia msimamo asiojua hata uhakika wake kiasi kwamba unabaki kumuangalia tu na kumuombea kwa Mungu amuamshe kutoka usingizini.
 
Sijui hata huo mfano wako unamaana Gani, ila kama wewe unakataa kuwa sunrise na sunset sio uthibitisho tosha kwako basi tuambie ni nini kinafanya sunset na sunrise kutokea?
Vitu vingine havihitaji hata nguvu kuvielewa ndugu zangu, Jua linatembea na tunaliona linavyotembea kwa macho yetu ya nyama, linatoka huko mnakokuita mashariki linazamia huko mnakokuita magharibi na dunia iko imetulia, jua linaizunguka dunia yetu nzuri kabisa tulivu!
 
Nimekuuliza swali kwenye mchoro wako hujajibu, kama huwez usiniquote tena
 
Kwahiyo ukisema navuta bangi ndio umeniprove wrong kuwa hivyo nlivyovitaja si uthibitisho ?

Okay nipatie wewe uthibitisho kuwa Jua inazunguka Dunia.
😂😂😂 Jua linatembea kila siku kutoka nukta moja hadi nyingine na dunia imetulia hapa katikati tunaiona kabisa iko tulivu, unataka uthibitisho gani mwingine kuwa Jua linatembea kuizunguka dunia yetu nzuri tulivu?
 
Gravity ni jina lililopewa kwa ile nguvu (kani) inayovuta vitu kuelekea kwenye kitovu cha dunia.

Newton anatuambia kwamba hapa ulimwenguni (All over the universe) kila kitu kinavuta kila kitu kingine kwa Force ambayo inabadilika nguvu yake kwa uwiano kati ya zao la uzito wa hivyo vitu viwili vinavyovutana na umbali wa utengano wa hivyo vitu bila kujali vina umbo gani.

Newton alipogundua huo uhusiano kati ya Force, uzito wa magimba yanayovutana angani na umbali wa utengano wao hakusema hayo magimba ni lazima yawe ya umbo fulani.

Umbo la gimba halijalishi katika huo uhusiano wa mvutano.

Ko mimi kukubali kwamba DUNIA NI DUARA TAMBARARE (SIO TUFE) hakuhusiani na mimi kukubali uwepo wa nguvu ya mvutano inayovuta vitu kuelekea katikati ya kitovu cha gimba husika.

Hata mraba una kitovu cha mraba, mstatili una kitovu cha mstatili, duara pia vivyo hivyo.

Ko kukubali uwepo wa GRAVITY hakuhusiani na mimi kukubali kwamba dunia ni FLAT CIRCULAR DISC (theoretically, sio perfect circular but it is circular).
Concept ya gravity haifanyi vizuri kwenye flat Earth kwa sababu gravity in pull kuelekea centre of mass, hiyo inamaanisha direction ya pull itatofautiana kati ya walio centre na walio pembeni kitu ambacho hakitokei duniani.
Pili kwakua vector lines ni diagonal kwenye edges za sahani kuelekea kati, overtime shape ya sahani itacollapse kuwa tufe.

Hiyo ndo sababu wanaoamini flat earth wanaamini pia gravity haipo, na sababu ya vitu kushuka chini inatokana na either sahani kutembea kulekea juu hivyo kila ukitaka kuruka ile sahani inakufuata na pia kwa sababu ya static charges (hii sijaielewa bado)
 
Kama ambavyo uliona Yale majengo kama yanamove basi na Jua ndio ivyo hivyo
katika video yako nikikuambia hayo majengo yanaweza kuwakilisha namna tunavyouona Mwezi ukiizunguka Dunia nitakua nimekosea? Kwanini?
 
Kwahy ulipaswa unambie kuwa Yale majengo yanamove kulingana na ulichokiona, maana ww unaamini kitu unavyokiona ndio kilivyo sio?
NDIO..!! kwasababu macho yangu Hayadanganyi... Au una mfano wa kipi tukionacho kilivyo sivyo kilivyo?

KUMBUKA KUNIJIBU..!
Kwakuangalia angani wakati Mwezi ukitembea na wakati Jua ikitembea, Kuna utofauti gani wa mitembeo hiyo hadi tuamini Kimoja Hakitembei?

Na Kwanini Hauamini kua mwezi ndio Umesimama na Jua ndilo linalotembea?

Kwa nadharia hiyo je Ungefundishwa Mwezi Umesimama na Jua linatembea, leo hii ungepinga kwa hoja zipi?
 
Back
Top Bottom