Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Can you take water and conform it into a ball that spins.......?
Yes you can, but the water plus the ball will be pulled down by gravity to the ground. The water cannot stick on the ball.

Im sure that you're comparing effect of water on a ball with how the water stick onto a ball. But you don't have any idea about GRAVITY(maybe!!🤔). The size(mass) of the ball is very very very very very very<<<<<<<<<< small comparing to the size(mass) of the Earth, So the force of gravity that can pull the water onto the ball is very small and thus negligible.
Though there is SURFACE TENSION but it's not strong enough to make water stick on a ball.

So, Answering your question, yes you can put the water onto a ball but it will never stick on it unless you're not here on the earth.
 
hateeb10 NkumbiSon

Haya ni maelezo ya Flat Earth Conspiracy:

The sun is not dipping below the horizon, it is just getting smaller"

"It gets too far away to see, so the light doesn't reach you, then it becomes night"

"It's the law of perspective"

"It's an optical illusion"

Okay, lakini ni kweli Jua huwa linapungua size na kuwa Small?? Tutumie akili yetu vizuri.
Na kama ulishawahi kuobserve sunset or sunrise mida kama ya saa 12 hivi pale ambapo Jua Bado halijachomoza kabisa(kuonekana) unaweza kuona illumination ya mwanga wa Jua kwenye mawingu yaliyo juu yetu.

Swali la kujiuliza kama kweli Jua linakuwa mbali kiasi kwamba mwanga hautufikii je kwann Hilo Hilo Jua liweze kumulika(illuminate) mawingu??

istockphoto-641913462-612x612.jpg

Picha: cloudscape in the morning

Chini ni picha jinsi hii observation imeelezewa Kwa Dunia duara. Je Kwa Dunia flat unaweza vipi kuelezea hapa?

main-qimg-7f86ad8a70b89b6b97bcdecabc94dcba.png
 
hateeb10 NkumbiSon

Na kitu kingine Cha kujiongez tu how come 50% ya Dunia inapata Jua mara Moja(once) yaan mwanga wa Jua unaowezo wa kuifikia 50% ya Dunia nzima.

Sasa jiulize kwenye Dunia tambarare na Jua likiwa duara linawezaje kufanya hivyo?

Flat_Earth_illustration.jpg
 
The celebrity na hateeb10
Tutawafukuza humu... Kwanini hamumalizi mada yenu....

Kuna mmoja wenu hapo hata mchana ajala lakini kutwa kutoa michoro
Heri watoao watu Ujinga Maana watauona ufalme wa Mbinguni😀😀.
Watu wa Mungu wanapotea Kwa kukosa maalifa. Mfano Kuna jamaa hapa kasema sayansi ni ya shetani kaulizwa swali kwamba hapo amekubali kutumia vifaa vya shetani naona kakimbia 😀😀😀
 
ALAFU huyi hateeb zamani alikua anaenda madrassab kabisa
 
Kwann usiexplain hapa? How refraction inafanya Jua lionekane half? Na Kwa madai ya flat earth mnasema Jua huwa linaenda mbali na ndio maana tunaona limepotea na kunakuwa usiku, sawa; lakini swali la kujiuliza tu kama ni kweli Jua linaenda mbali kwann lisipungue SIZE as we know kitu kikiwa mbali zaidi size yake inapungua lakini upande wa Jua halipungui size Bali linaonekana kinazama kama lilivyo Naomba maelezo hapa kusoma nimeshasoma.

View attachment 3180254
Picha: mfano wa Jua likionekana half

Na naomba majibu ya swali la pili pia.Asante.
Kwani wewe unavyofahamu ni kwamba Jua linazama kweli?

Maana unauliza swali ambalo hata wewe unajua jibu lake,...................
 
Yes you can, but the water plus the ball will be pulled down by gravity to the ground. The water cannot stick on the ball.

Im sure that you're comparing effect of water on a ball with how the water stick onto a ball. But you don't have any idea about GRAVITY(maybe!!🤔). The size(mass) of the ball is very very very very very very<<<<<<<<<< small comparing to the size(mass) of the Earth, So the force of gravity that can pull the water onto the ball is very small and thus negligible.
Though there is SURFACE TENSION but it's not strong enough to make water stick on a ball.

So, Answering your question, yes you can put the water onto a ball but it will never stick on it unless you're not here on the earth.
Well, if you know that water cannot stick to a ball, why do you believe it can stick to a spinning, ball-shaped Earth like this 👉 🌎?
 
Heri watoao watu Ujinga Maana watauona ufalme wa Mbinguni😀😀.
Watu wa Mungu wanapotea Kwa kukosa maalifa. Mfano Kuna jamaa hapa kasema sayansi ni ya shetani kaulizwa swali kwamba hapo amekubali kutumia vifaa vya shetani naona kakimbia 😀😀😀
kama wamekosa maalifa sio mbaya,..ila wakikosa maarifa ndiyo itakua tatizo sasa!

Kwa upande wangu siwezi kusema Sayansi ni ya shetani,.....naheshimu innovation mbalimbali zinazoendelea Duniani,....Ninachotaka mimi ni uthibitisho kwamba :-
1. Dunia ni tufe 🌎⚽

2. Dunia inazunguka.

Siku ukileta uthibitisho,..basi nitakua sina nguvu kabisa ya kupinga ukweli ulio wazi.
 
Hey naomba na mimi leo niingie kwenye hii mada...

Mmeuliza swali hapo kuhusu maji kuto stick kwenye mpila lakini kwenye dunia ni possible....
Mi naona hii ni kwasababu ya Gravity iliyopo ya mwezi na dunia
 
Mkuu leo napokea kijiti sasa naona unawasumbua vijana...

Dunia ni tufe
Kwanini ni tufe ni kwa sababu dunia sio box
Kingine kuna kitu kinaitwa sunrise and sunset.....

Kuhusu dunia kuzunguka ni kweli inazunguka lakini kwa speed ambayo wewe uliopo ndani yake uwezi kuona ndio maana tunapata usiku na mchana
 
Well, if you know that water cannot stick to a ball, why do you believe it can stick to a spinning, ball-shaped Earth like this 👉 🌎?
In order to make water sticks on spinning ball wee need vaccume...
Also we need gravity which act towards the balls....

Kingine ball hass flat area ni tofauti na dunia yenyewe ina mabonde ya kuweza kushikilia hayo maji..

Toboa mpira weka maji alafu uwone kama maji hayata stick 😀😀😀😀😀
 
Hey naomba na mimi leo niingie kwenye hii mada...

Mmeuliza swali hapo kuhusu maji kuto stick kwenye mpila lakini kwenye dunia ni possible....
Mi naona hii ni kwasababu ya Gravity iliyopo ya mwezi na dunia
Kwahiyo hapa unasema Maji yanastick kwenye Dunia tufe 🌎,... kwasababu ya Gravity?

Si ndiyo,..
 
In order to make water sticks on spinning ball wee need vaccume...
Also we need gravity which act towards the balls....

Kingine ball hass flat area ni tofauti na dunia yenyewe ina mabonde ya kuweza kushikilia hayo maji..

Toboa mpira weka maji alafu uwone kama maji hayata stick 😀😀😀😀😀
Mwanzo ulisema gravity ndiyo inafanya maji yawez kustick kwenye Dunia tufe 🌎 linalozunguka.....

Sasa hivi unasema Mabonde ndiyo yanashikilia hayo maji.

Sasa hapo tuchukue lipi sahihi?,... Mabonde au Gravity?
 
Kuhusu dunia kuzunguka ni kweli inazunguka lakini kwa speed ambayo wewe uliopo ndani yake uwezi kuona ndio maana tunapata usiku na mchana
Kama huwezi kuona Ikizunguka,..umejuaje sasa kama inazunguka?

Umetumia kipimo gani kujua kama inazunguka..
 
The first man to ascend to the stratosphere, Swiss scientist Auguste Piccard, shared insights that contributed to the understanding of Earth's shape during his groundbreaking balloon flight in 1931. In this mission, Piccard reached an altitude of about 15.8 kilometers (52,498 feet), observing the Earth from a perspective few had experienced at the time.

Piccard is often cited for describing Earth as looking like "a flat disk with upturned edges" from his vantage point.

The celebrity Poor Brain
 
Mwanzo ulisema gravity ndiyo inafanya maji yawez kustick kwenye Dunia tufe 🌎 linalozunguka.....

Sasa hivi unasema Mabonde ndiyo yanashikilia hayo maji.

Sasa hapo tuchukue lipi sahihi?,... Mabonde au Gravity?
Vyote ni muhimu gravity na mabonde
 
Kama huwezi kuona Ikizunguka,..umejuaje sasa kama inazunguka?

Umetumia kipimo gani kujua kama inazunguka..
Kipimo tunachotumia ni kuangalia kuzama na kuchomoza kwa jua....
Pia naomba nijue kuwa wewe upo wapi kati ya concept ya jua kuzunguka dunia au dunia kuzunguka jua ???
 
Back
Top Bottom