Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
hateeb10
Unapochukulia maji kwenye beseni kama mfumo, unamaanisha kwamba unazingatia tu kile kinachotokea ndani ya beseni.

Ndani ya mfumo: Kitu chochote kilicho ndani ya maji (kama vile jiwe, samaki mdogo, au barafu) kiko ndani ya mfumo uliofungwa wa maji. Kitu hicho kinaathiriwa na maji na kinaweza kuathiri maji, lakini hakuna kitu kikubwa kinachoingia au kutoka nje ya mfumo huo (kwa mfano, hakuna maji mengine yanayoongezwa au kupungua kwa kiasi kikubwa).

Nje ya mfumo: Kitu kikiondolewa nje ya maji (kwa mfano, ukichukua jiwe kutoka kwenye maji), kinatoka nje ya mfumo uliofungwa wa maji na kinaanza kuathiriwa na mazingira mengine (kwa mfano, hewa, ardhi, au nguvu ya uvutano kwa namna tofauti).

Uhusiano na Dunia kama mfumo uliofungwa (kwa kiasi kikubwa):

Mfano huu unafanana na jinsi tunavyoichukulia Dunia kama mfumo uliofungwa (kwa kiasi kikubwa) kwa habari ya mata (matter):

Ndani ya mfumo wa Dunia: Vitu vyote vilivyo Duniani (ardhi, maji, hewa, viumbe hai) viko ndani ya mfumo huo. Mata huzunguka ndani ya mfumo huu (kwa mfano, mzunguko wa maji, mzunguko wa kaboni), lakini kiasi kikubwa cha mata hakitoki wala kuingia kutoka nje ya Dunia

Nje ya mfumo wa Dunia: Kiasi kidogo sana cha mata huingia Duniani kutoka angani (kama vile vimondo na vumbi la anga) na kiasi kidogo sana hutoka (kama vile gesi nyepesi kama hidrojeni na heliamu). Lakini kiasi hiki ni kidogo sana kulinganisha na mata yote yaliyopo Duniani, ndiyo maana tunasema Dunia ni mfumo uliofungwa kwa kiasi kikubwa kwa habari ya mata.
 
hateeb10
Au nikupe mfano lakin haupo direct sana, chukulia maji kwenye beseni, kitu chochote kilicho kwenye hayo maji(ndani) maana yake kipo kwenye closed system ya hayo maji, kikitoka nje ya hayo maji maana yake kimetoka nje ya system hiyo na kita experience halibya tofaut
Ni kweli mfano wako haupo direct,,. ili tuseme beseni ni closed system inatakiwa hiyo system isiruhusu kiumbe chochote kutoka ndani ya Beseni hilo,.

kwa mfano let's assume Beseni linazunguka,,.. ikitokea kuna viumbe ndani ya Beseni vina uwezo wa kuruka na kutoka nje kabisa ya Beseni hapo tunapata tafsiri zifuatazo 1. Movement ya hivyo viumbe itakua independent ya mzunguko wa beseni 2. Hivyo viumbe hatuwezi tena kusema vina move along na Beseni kwa kuzingatia kwamba beseni lipo open linaruhusu viumbe hivyo kutoka nje ya mfumo wake.

Nadhani tuhitimishe kwamba kusema objects zilizopo juu ya uso wa Dunia zina move pamoja na Dunia ni kitu ambacho sio sahihi,..kwa kuwa Dunia ni open-system,.. atleast object husika ikiwa kwenye earth's surface ukisema hivyo inaleta maana kidogo.
 
hateeb10
Unapochukulia maji kwenye beseni kama mfumo, unamaanisha kwamba unazingatia tu kile kinachotokea ndani ya beseni.

Ndani ya mfumo: Kitu chochote kilicho ndani ya maji (kama vile jiwe, samaki mdogo, au barafu) kiko ndani ya mfumo uliofungwa wa maji. Kitu hicho kinaathiriwa na maji na kinaweza kuathiri maji, lakini hakuna kitu kikubwa kinachoingia au kutoka nje ya mfumo huo (kwa mfano, hakuna maji mengine yanayoongezwa au kupungua kwa kiasi kikubwa).

Nje ya mfumo: Kitu kikiondolewa nje ya maji (kwa mfano, ukichukua jiwe kutoka kwenye maji), kinatoka nje ya mfumo uliofungwa wa maji na kinaanza kuathiriwa na mazingira mengine (kwa mfano, hewa, ardhi, au nguvu ya uvutano kwa namna tofauti).

Uhusiano na Dunia kama mfumo uliofungwa (kwa kiasi kikubwa):

Mfano huu unafanana na jinsi tunavyoichukulia Dunia kama mfumo uliofungwa (kwa kiasi kikubwa) kwa habari ya mata (matter):

Ndani ya mfumo wa Dunia: Vitu vyote vilivyo Duniani (ardhi, maji, hewa, viumbe hai) viko ndani ya mfumo huo. Mata huzunguka ndani ya mfumo huu (kwa mfano, mzunguko wa maji, mzunguko wa kaboni), lakini kiasi kikubwa cha mata hakitoki wala kuingia kutoka nje ya Dunia

Nje ya mfumo wa Dunia: Kiasi kidogo sana cha mata huingia Duniani kutoka angani (kama vile vimondo na vumbi la anga) na kiasi kidogo sana hutoka (kama vile gesi nyepesi kama hidrojeni na heliamu). Lakini kiasi hiki ni kidogo sana kulinganisha na mata yote yaliyopo Duniani, ndiyo maana tunasema Dunia ni mfumo uliofungwa kwa kiasi kikubwa kwa habari ya mata.
Hapa still ChatGPT haijaelezea vizuri,. ishu ni kwamba object ambayo inaweza ku move away from earth's ground huwezi ukasema object hiyo ina move along with the Earth,...Maana hiyo object ikishajinasua toka kwenye ardhi ya Dunia hakuna namna unaweza kusema still hiyo object ina move together with the Earth.
 
😃😃, kwahy neno uvuto linakukera sanaa?? Haya uwingi wa kitu(mass) unasababishaje msukumo?? Na kumbuka Mass ni scalar quantity
Kadri kiasi (Mass) cha vitu kinavyoongezeka ndiyo uzito unaongezeka kwasababu kila maada ina uzito na uzito unatengeneza force ndani yake,. sasa huo uzito ndiyo unasababisha msukumo ambao utaelekea downward mpaka pale ambapo utakutana na resistance ya object yenye uzito kuliko object husika,... Umeuliza kwanini hiyo movement iwe downward na si pembeni/Juu,.. ipo hivi kiasili Object yoyote Uzito wake upo relative na kitu kilichopo chini yake & that's why ikitokea kitu kilichopo chini kina uzito mdogo compared na object husika utaona Object yenye uzito mkubwa inashuka chini.,.

Kwa mfano unaona vitu vyote vikianguka vikifika chini kwenye ardhi vinatulia,.wewe kwa akili yako utasema gravity ipo kwenye ardhi ndiyo maana ndiyo maana vinatulia,.. kumbe kiuhalisia hivyo vitu vimekutana na object yenye uzito mkubwa zaidi(ardhi) ndiyo maana vinakomea hapo,.. siku Ikishuka Object yenye uzito mkubwa kuliko ardhi ya Dunia itaweza ku move even beyond ardhi ya Dunia au kusambaratisha kabisa Dunia.
 
1. Mtu anaesema Dunia ni tofauti na vile tunavyoona ndiyo anatakiwa alete uthibitisho, Kwani wewe huoni kwamba Dunia ipo flattened & stationary? primarily huwezi ukasema Dunia sio flat wakati hicho ndiyo unachokiona mbele yako......

2. Hapana,.. Ninaposema Dunia ipo flattened namaanisha Dunia nzima na sio sehemu ndogo,.... miongoni mwa vitu vinavyoonyesha wazi kwamba Dunia ni flat ni jinsi Ndege zinavyosafiri horizontally kwenye anga cause Dunia ingekua sio flat hata Ndege zisinge move kwa mtindo huo bali ungeziona ziki move vertically kuelekea destinations tofauti tofauti 🌎 .
Jibu lako la kwanza nitakuuliza swali lingine baadae ( nahifadhi )

2: Umetoa mfano wa ndege kusafiri horizontally, Nielezee How ? Maana mimi ni mtumiaji mzuri wa huo usafiri masafa marefu na mafupi

Sijawahi kushuhudia ndege ikienda horizontally straight hadi tunafika destination husika

Na kwa kumalizia, Una utaalamu wa maswala yanayohusu usafiri wa anga ?
 
kwa mfano let's assume Beseni linazunguka,,.. ikitokea kuna viumbe ndani ya Beseni vina uwezo wa kuruka na kutoka nje kabisa ya Beseni hapo tunapata tafsiri zifuatazo 1. Movement ya hivyo viumbe itakua independent ya mzunguko wa beseni 2. Hivyo viumbe hatuwezi tena kusema vina move along na Beseni kwa kuzingatia kwamba beseni lipo open linaruhusu viumbe hivyo kutoka nje ya mfumo wake.
Vikitoka nje ya beseni vinakuwa nje ya mfumo, huelewi nn??
 
A Great Circle route is the shortest path between two points on earth,.This path is commonly used in air and sea navigation to minimize distance and, as a result, save time and fuel.
Sasa kwenye flat earth unaona hili linawezekana???😃😃
 
Hapa still ChatGPT haijaelezea vizuri,. ishu ni kwamba object ambayo inaweza ku move away from earth's ground huwezi ukasema object hiyo ina move along with the Earth,...Maana hiyo object ikishajinasua toka kwenye ardhi ya Dunia hakuna namna unaweza kusema still hiyo object ina move together with the Earth.
Hivi unaposoma huwa unaelewaa???👇👇
Lakini unatakiwa ujue Dunia ni kama closed system, gravity imeshikilia vitu vyote vilivyo ardhini mpaka kwenye atmosphere yake
 
Kadri kiasi (Mass) cha vitu kinavyoongezeka ndiyo uzito unaongezeka kwasababu kila maada ina uzito na uzito unatengeneza force ndani yake,.
Aina Gani ya force inayotengenezwa ndani ya matter? Na inatengenezwa vipi?
sasa huo uzito ndiyo unasababisha msukumo ambao utaelekea downward mpaka pale ambapo utakutana na resistance ya object yenye uzito kuliko object husika,...
??????
Umeuliza kwanini hiyo movement iwe downward na si pembeni/Juu,..
Yessssss
ipo hivi kiasili Object yoyote Uzito wake upo relative na kitu kilichopo chini yake
Hapo kwenye kiasili huna majibu??
& that's why ikitokea kitu kilichopo chini kina uzito mdogo compared na object husika utaona Object yenye uzito mkubwa inashuka chini.,.
Uongo, nishawahi kukupa mfano fulani ntaurudia tena!!

Chukua maji litre 20, ambayo ni sawa 20kg, yaweke kwenye beseni, the. Chukua shilling 200 ya Tanzania (80g) iweke kwenye hayo maji. Kumbuka hapo maji yana uzito mkubwa(20kg) kuliko shilling(80g) lakini shilling itazama.

Kwahy maelezo yako hapo juu ni uongo....
 
Kwa mfano unaona vitu vyote vikianguka vikifika chini kwenye ardhi vinatulia,.wewe kwa akili yako utasema gravity ipo kwenye ardhi ndiyo maana ndiyo maana vinatulia,.. kumbe kiuhalisia hivyo vitu vimekutana na object yenye uzito mkubwa zaidi(ardhi)
Still una lack of knowledge Kubwa sana, lakini naamini kupitia huu mjadala unaelimika sana, na nipo hapa kukupa elimu.

1. Kwanza Gravity inavuta vitu vyote kuelekea kwenye center of the earth sio ardhini kama unavyodai.

2. Ardhi ni physical obstacle ukichimba shimbo object itaendelea kufall kupita hiyo outer surface ya earth.

3. Hapo kwenye uzito mkubwa Bado pia unadhihirisha unaufinyu wa kufikiri kama nilivyotoa mfano wa maji na shilling hapo juu
ndiyo maana vinakomea hapo,.. siku Ikishuka Object yenye uzito mkubwa kuliko ardhi ya Dunia itaweza ku move even beyond ardhi ya Dunia au kusambaratisha kabisa Dunia.
 
A Great Circle route is the shortest path between two points on earth,.This path is commonly used in air and sea navigation to minimize distance and, as a result, save time and fuel.
So how the shortest path between two points can be attaining on a flat earth?
 
PERSPECTIVE
Katika matumizi ya kawaida Perspective Refers to a point of VIEW or a way of looking things.

Basic Rules of Perspective
•Perspective is how three-dimensional scenes are represented on a two-dimension surface and seen by the human eye.

•Closer objects appear larger than more distant objects.

•Parallel lines appear to converge into the distance

main-qimg-33cc230e0a97da66f734233135dffc3a-pjlq.jpeg

Mfano picha hapo juu👆, concept ya perspective ni kwamba vitu vinavyozodi kuwa mbali na tulipo vinazidi kupungua size until vinameet na Horizon.

Ukiangalia mfano hapo juu msitari wenye rangi nyekundu umeenda kumeet na horizon, lakini kamwe hautashuka chini ya ya horizon hiyo, kitakachotokea hiyo object itaendelea kudiminish untill itavanish.

main-qimg-0b906976cf66be4a5ee8c30ec934e6e9-pjlq.jpeg

(Angalia hiyo mistari ya rangi nyekundu kwenye hizo Kona za ukuta, zote zinalingana lakini due to respective utaona line ya mbali fupi)
VIPI KUHUSU JUA?
Katika mazingira ya kawaida huwa tuna observe wakati Jua 'linazama'wakati wa jioni au 'kuchomoza' wakati wa asubuhi.
Je huwa tunaona Jua likiwa na size ndogo?
main-qimg-1f7412e9f9428b4808debd5d0729bb4a-pjlq.jpeg

Jibu ni hapana!!!! Tunaona Jua likichomoza likiwa na size Kubwa(Ile ile) kitu ambacho hakiendani na dhana nzima ya perspective kama FLAT EARTHERS wengi wanavyodai.

Tazama "Time Lapse" photo ikionesha sun setting. Flat Earth model inadai kwamba hii ni ILLUSION.
sunset.jpg

Tazama picha ya pili hii👇, ikionesha taa za barabarani; unaonesha jinsi ILLUSION inasababishwa na PERSPECTIVE in the same way na unaona jinsi taa zinavyokaribia Horizon kadri zinavyoenda mbali zaidi.
perspective-streetlights.jpg

Hapa tunaona Kuna tatizo!!!!!😎🤔
Taa za barabarani tunaona zinapungua size kadri zinavyokuwa mbali na tulipo kama tu jinsi PERSPECTIVE inafanya kazi.

Kwa upande mwingne tunaona Jua halipungui size yake, linabaki vile vile popote liwapo kwenye anga.

So, If the sunset was caused by perspective the Sun would gradually appear smaller until it became too small to see at or near the horizon. Instead you can see that its size remains constant until it moves below the horizon bottom first.

HOPE YOU ALL UNDERSTAND!!!!!!!!!!!!!!

hateeb10 Chosen Rich Poor Brain
 
SHIP VISIBILITY
HiI observation mara nyingi tunaweza kuiona tunapoenda ufukweni mwa bahari.
Utaobserve Meli iki disappear from the bottom baadae inapotea yote.

FLAT EARTHERS CLAIMS!!
Kwa mujibu wa flat Earthers ni kwamba tunaona vile Kwa sababu ya ukomo wa tunavyoweza kuona. Kwa maana kwamba Kuna distance inafikia hatuwezi kuona tena.

Okay!!😎
Just observe this👇
,
main-qimg-e649e4af9a7acf849d3e2da7a6bcc7e2-pjlq.jpeg

Hapo unaweza kuona Meli iliyokaribu unaonekana vizuri ukilinnganisha na meli iliyombali.

Kimsingi meli iliyombali inainekana only at the top side, na sio bottom side. Ukirejea maelezo ya Flat earth kuwa ni ukomo wa macho kuona, Sasa kwanini meli yote isipotee kutokana na ukomo wa macho badala yake inaonekana juu tu?????????

hateeb10 Chosen Rich Poor Brain
 
PERSPECTIVE
Katika matumizi ya kawaida Perspective Refers to a point of VIEW or a way of looking things.
•Parallel lines appear to converge into the distance

hateeb10 Chosen Rich Poor Brain
Hiyo statement niliyo bold hapo juu,..umeielewaje? Ifafanue kwa kuzingatia kwamba ni scenario inayokua observed Jua linapokua umbali mrefu mpaka linapofika ile point tunayo term kwamba linazama/kuchomoza.
 
GREAT CIRCLE ROUTES
Is the shortest course between two points on the surface of a sphere.
Yaani hii ni route fupi zaidi kwenye uso wa tufe.
Great-Circle-NewYork-Madrid-678x552.png

Kwa mfano angalia picha chini👇, route kutoka Madrid mpaka New York.
download (1)~2.jpeg

Utaona Kwa kawaida kwenye map route fupi itakuwa ni ya msitari mnyoofu, lkn kiuhalisia hiyo line nyingine iliyocurve ndio route fupi zaidi. Why? Kwenye sphere hiyo ndio route fupi zaidi lkn kwenye flat surface,(map) huonekana kama ndefu.

main-qimg-28e87700e5f89083bad026cf0a8d59c0-lq.jpeg

👆👆 Hii juu ni route fupi zaidi inayotumiwa na ndege kuliko hii👇👇
main-qimg-ac0d22dae2048ef8c2da44f7bc2d27f8-lq.jpeg

Mercator_Map.jpg

Hii piaa👆👆 na sio hii👇👇
OAG_Mapper.jpg
 
Hiyo statement niliyo bold hapo juu,..umeielewaje? Ifafanue kwa kuzingatia kwamba ni scenario inayokua observed Jua linapokua umbali mrefu mpaka linapofika ile point tunayo term kwamba linazama/kuchomoza.
Parallel line: two or more lines that are always the same distance apart and never intersect, even if they are extended infinitely in both directions.
images (1).png

Converge: (of lines) tend to meet at a point.

Kwahy hii inamaana kwamba mistari iliyosambamba hukutana at some distance.

download (2).jpeg

Nadhani nimejibu part A.

Tukija kwenye Jua, nadhani soma nilichoandika vzr utanielewa, hiyo ni rule Moja je umesoma na nyingine? Je zina apply kwenye Jua kuzama???
 
Hiyo statement niliyo bold hapo juu,..umeielewaje?

Ifafanue kwa kuzingatia kwamba ni scenario inayokua observed Jua linapokua umbali mrefu mpaka linapofika ile point tunayo term kwamba linazama/kuchomoza.
Uwe unasoma👇👇
VIPI KUHUSU JUA?
Katika mazingira ya kawaida huwa tuna observe wakati Jua 'linazama'wakati wa jioni au 'kuchomoza' wakati wa asubuhi.
Je huwa tunaona Jua likiwa na size ndogo?
👇👇

Jibu ni hapana!!!! Tunaona Jua likichomoza likiwa na size Kubwa(Ile ile) kitu ambacho hakiendani na dhana nzima ya perspective kama FLAT EARTHERS wengi wanavyodai.
👇👇

Perspective is how three-dimensional scenes are represented on a two-dimension surface and seen by the human eye.

Closer objects appear larger than more distant objects.

•Parallel lines appear to converge into the distance
 
Back
Top Bottom