Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Akili yako ndogo ndiyo maana unaona hayo maswali ya kijinga,..
Okay
Ila ukihadithiwa kwamba kuna mtu aliona apple linaanguka akajiuliza kwanini linaanguka chini,..husemi kwamba kajiuliza swali la kijinga tena unachekelea kabisa kwamba "kweli navutwa chini",..even though tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa....Hahh
Hilo sio swali la kijinga
Yaani bila aibu unasema kwamba kujiuliza kwamba Kwanini Mwanamke ndiyo anabeba mimba na sio Mwanaume ni swali la kijinga.
La kijinga sana!! Embu lijibu ndo utajua kwann ni la kijinga
...unasahau kwamba akili yenye afya lazima ijiulize maswali hayo? unasahau kwamba elimu zote unazofundishwa msingi wake mkubwa ni maswali (unayoyaita ya kijinga) watu walianza kwa kujiuliza na kuja na solutions zake?
Basi jibu Hilo swali
 
unasahau kwamba elimu zote unazofundishwa msingi wake mkubwa ni maswali (unayoyaita ya kijinga) watu walianza kwa kujiuliza na kuja na solutions zake?
Sijasema usiulize, ila usiulize swali la kijinga.. nimekuuliza kwann umezaliwa mama ako na sio mama mwingine?? Nipe jibu ndo utajua kwann ni la kijinga!!
 
Basi jifunze unapofundishwa
Hahh yap ulinifundisha kwamba gravity inavuta vitu chini,..kisha ukasema kwamba tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na kitu chochote chini,...

Hapo nilijifunza kitu kikubwa sana toka kwako.
 
Yaani bila aibu unasema kwamba kujiuliza kwamba Kwanini Mwanamke ndiyo anabeba mimba na sio Mwanaume ni swali la kijinga....
Na kukuelewesha zaidi maana akili yako ndogo!!

Swali ulilouliza ww ni sawa na uelezewe sababu za mwanamke kupata mimba kuwa mwanamke ndio anapokea mbegu kutoka Kwa mwanaume, halafu ww uulize tena sasa kwann mwanaume ndio asipokee mbegu kutoka Kwa mwanamke?? Huoni kama ni swali la kijinga??
 
Sijasema usiulize, ila usiulize swali la kijinga.. nimekuuliza kwann umezaliwa mama ako na sio mama mwingine?? Nipe jibu ndo utajua kwann ni la kijinga!!
Nimezaliwa na Mama yangu na sio Mama mwingine,..sababu hasa ni Baba yangu kuunganisha/kuweka mbegu iliyobeba taarifa zangu kwenye yai la Mama yangu na sio Mama mwingine,.
 
Hahh yap ulinifundisha kwamba gravity inavuta vitu chini,..kisha ukasema kwamba tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na kitu chochote chini,...

Hapo nilijifunza kitu kikubwa sana toka kwako.
Ndo maana nasema ww haupo kujifunza Bali kushindana na kutaka ushinde, Sasa ni hivi hautoshinda mbele ya ukweli kamwe!!!! Na ndio maana umekimbia hoja zangu.

Unakumbuka uliwahi kuniomba nikupe mifano ya vitu vingne vinavyovutwa lkn huwezi kuhisi nikakupa?? Unakumbuka ulijibu nn?😃
 
Na kukuelewesha zaidi maana akili yako ndogo!!

Swali ulilouliza ww ni sawa na uelezewe sababu za mwanamke kupata mimba kuwa mwanamke ndio anapokea mbegu kutoka Kwa mwanaume, halafu ww uulize tena sasa kwann mwanaume ndio asipokee mbegu kutoka Kwa mwanamke?? Huoni kama ni swali la kijinga??
Still,.sio swali la kijinga ila akili yako ni ndogo haiwezi ku reason beyond Mwanamke kupokea mbegu toka kwa Mwanaume.

Yaani wewe hapo ndiyo mwisho wako wa kufikiria.

Lakini kumbe hapo tunaweza tukapata maswali 1000+......
 
Ndo maana nasema ww haupo kujifunza Bali kushindana na kutaka ushinde, Sasa ni hivi hautoshinda mbele ya ukweli kamwe!!!! Na ndio maana umekimbia hoja zangu.

Unakumbuka uliwahi kuniomba nikupe mifano ya vitu vingne vinavyovutwa lkn huwezi kuhisi nikakupa?? Unakumbuka ulijibu nn?😃
Hahh acha uongo hakuna mfano wa vitu ulivyoweka hapa...labda niwe sijaona vitu hivyo.

Fanya hivyo sasahvi tuondoe utata.
 
Nimezaliwa na Mama yangu na sio Mama mwingine,..sababu hasa ni Baba yangu kuunganisha/kuweka mbegu iliyobeba taarifa zangu kwenye yai la Mama yangu na sio Mama mwingine,.
kwann hizo mbegu(zenye taarifa zako) zilikuwa Kwa baba ako na sio Kwa baba mwingine??
 
Still,.sio swali la kijinga ila akili yako ni ndogo haiwezi ku reason beyond Mwanamke kupokea mbegu toka kwa Mwanaume.
Ni ujinga, unaweza kujibu?
Yaani wewe hapo ndiyo mwisho wako wa kufikiria.
Sio mwisho wa kufikria, tunachofanya hapo utatengeneza series ya maswali to infinity. Ni sawa na mada ya uumbaji, ukisema binadamu kaumbwa kwasabab hawez kujiumba basi Kuna muumbaji, naww utaulizwa na muumbaji kaumbwa na nan? Unaona sasa?
Lakini kumbe hapo tunaweza tukapata maswali 1000+......
Sio 1000+ ni infinity question yasiyo na muafaka so ni ujinga
 
Ni ujinga, unaweza kujibu?

Sio mwisho wa kufikria, tunachofanya hapo utatengeneza series ya maswali to infinity. Ni sawa na mada ya uumbaji, ukisema binadamu kaumbwa kwasabab hawez kujiumba basi Kuna muumbaji, naww utaulizwa na muumbaji kaumbwa na nan? Unaona sasa?

Sio 1000+ ni infinity question yasiyo na muafaka so ni ujinga
Wewe kushindwa kujua kuhusu kitu ndiyo ujinga,..ila kujiuliza swali kuhusu kitu husika haiwezi kuwa ujinga.

Pia wewe kushindwa kujua muafaka wa kitu/jambo fulani haimaanishi kwamba muafaka wa hicho kitu haupo,..bali ni kwamba wewe hujui tu kuhusu muafaka wa kitu/jambo husika...
 
Bila shaka,,
1. Wakati gari unakata Kona kwenye curved road huwa Kuna centripetal force ina ACT ambayo huvuta gari kuelekea kwenye centre, lakin huwez kuhisi.
View attachment 3190655

2. Kitu kilichofungwa kwenye kamba na kuzungushwa. Jiwe linavutwa kuelekea katikati.

3. Ukiwa kwenye gari inayomove at constant speed, kimsingi unavutwa/unasukumwa lkn hauhisi hiyo nguvu na unaweza kufanya activities zako kama kawaida bila bughuza, untill the car changes its motion or stops ndo utahisi nguvu ya mvuto au msukumo.
hateeb10 😃😃😃😎
Na ukajibu hivi 👇
Hamna kitu hapo,....Kauli yako ya mwanzo kwamba hujawahi kuhisi unavutwa na gravity ina mashiko zaidi,. Mimi naona una force tu kuwe kuna hiyo force lakini dalili zote zinaonyesha haipo.
😃😃😃😃😃 Yaani ukaja na mada nyingne kabisaa
 
hateeb10 😃😃😃😃
Na ukanijibu kabisa hivi👇👇
Hamna kitu hapo,....Kauli yako ya mwanzo kwamba hujawahi kuhisi unavutwa na gravity ina mashiko zaidi,. Mimi naona una force tu kuwe kuna hiyo force lakini dalili zote zinaonyesha haipo.
Ukahama madaaa😃😃😃. Mimi sio mjinga
 
hateeb10 😃😃😃😎
Na ukajibu hivi 👇

😃😃😃😃😃 Yaani ukaja na mada nyingne kabisaa
Sasa ulichokijibu unaona kinaingia akilini?

Kwa mfano hii statement yako "Kitu kilichofungwa kwenye kamba na kuzungushwa. Jiwe linavutwa kuelekea katikati.........."

Hoja husika ni kwamba ukivutwa lazima utahisi kuvutwa,...sasa ili statement yako iwe valid Hiyo sehemu ya "JIWE" assume ndiyo upo wewe je hautohisi kama unavutwa kuelekea katikati???????????

Unapenda kweli kujiingiza kwenye mitego migumu.
 
Back
Top Bottom