The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Nimeelewa logic yako ma ndio maana nimekujibuBasi hiyo challenge haikufai,.utajibu kwa nadharia tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeelewa logic yako ma ndio maana nimekujibuBasi hiyo challenge haikufai,.utajibu kwa nadharia tu.
OkayAkili yako ndogo ndiyo maana unaona hayo maswali ya kijinga,..
Hilo sio swali la kijingaIla ukihadithiwa kwamba kuna mtu aliona apple linaanguka akajiuliza kwanini linaanguka chini,..husemi kwamba kajiuliza swali la kijinga tena unachekelea kabisa kwamba "kweli navutwa chini",..even though tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa....Hahh
La kijinga sana!! Embu lijibu ndo utajua kwann ni la kijingaYaani bila aibu unasema kwamba kujiuliza kwamba Kwanini Mwanamke ndiyo anabeba mimba na sio Mwanaume ni swali la kijinga.
Basi jibu Hilo swali...unasahau kwamba akili yenye afya lazima ijiulize maswali hayo? unasahau kwamba elimu zote unazofundishwa msingi wake mkubwa ni maswali (unayoyaita ya kijinga) watu walianza kwa kujiuliza na kuja na solutions zake?
Basi jifunze unapofundishwaPamoja na kwamba nakuelimisha,..hiyo hainizuii mimi kujifunza kwako pia.
Ondoa shaka.
Sijasema usiulize, ila usiulize swali la kijinga.. nimekuuliza kwann umezaliwa mama ako na sio mama mwingine?? Nipe jibu ndo utajua kwann ni la kijinga!!unasahau kwamba elimu zote unazofundishwa msingi wake mkubwa ni maswali (unayoyaita ya kijinga) watu walianza kwa kujiuliza na kuja na solutions zake?
Hahh yap ulinifundisha kwamba gravity inavuta vitu chini,..kisha ukasema kwamba tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na kitu chochote chini,...Basi jifunze unapofundishwa
Na kukuelewesha zaidi maana akili yako ndogo!!Yaani bila aibu unasema kwamba kujiuliza kwamba Kwanini Mwanamke ndiyo anabeba mimba na sio Mwanaume ni swali la kijinga....
Nimezaliwa na Mama yangu na sio Mama mwingine,..sababu hasa ni Baba yangu kuunganisha/kuweka mbegu iliyobeba taarifa zangu kwenye yai la Mama yangu na sio Mama mwingine,.Sijasema usiulize, ila usiulize swali la kijinga.. nimekuuliza kwann umezaliwa mama ako na sio mama mwingine?? Nipe jibu ndo utajua kwann ni la kijinga!!
Ndo maana nasema ww haupo kujifunza Bali kushindana na kutaka ushinde, Sasa ni hivi hautoshinda mbele ya ukweli kamwe!!!! Na ndio maana umekimbia hoja zangu.Hahh yap ulinifundisha kwamba gravity inavuta vitu chini,..kisha ukasema kwamba tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na kitu chochote chini,...
Hapo nilijifunza kitu kikubwa sana toka kwako.
Still,.sio swali la kijinga ila akili yako ni ndogo haiwezi ku reason beyond Mwanamke kupokea mbegu toka kwa Mwanaume.Na kukuelewesha zaidi maana akili yako ndogo!!
Swali ulilouliza ww ni sawa na uelezewe sababu za mwanamke kupata mimba kuwa mwanamke ndio anapokea mbegu kutoka Kwa mwanaume, halafu ww uulize tena sasa kwann mwanaume ndio asipokee mbegu kutoka Kwa mwanamke?? Huoni kama ni swali la kijinga??
Hahh acha uongo hakuna mfano wa vitu ulivyoweka hapa...labda niwe sijaona vitu hivyo.Ndo maana nasema ww haupo kujifunza Bali kushindana na kutaka ushinde, Sasa ni hivi hautoshinda mbele ya ukweli kamwe!!!! Na ndio maana umekimbia hoja zangu.
Unakumbuka uliwahi kuniomba nikupe mifano ya vitu vingne vinavyovutwa lkn huwezi kuhisi nikakupa?? Unakumbuka ulijibu nn?😃
kwann hizo mbegu(zenye taarifa zako) zilikuwa Kwa baba ako na sio Kwa baba mwingine??Nimezaliwa na Mama yangu na sio Mama mwingine,..sababu hasa ni Baba yangu kuunganisha/kuweka mbegu iliyobeba taarifa zangu kwenye yai la Mama yangu na sio Mama mwingine,.
Ni ujinga, unaweza kujibu?Still,.sio swali la kijinga ila akili yako ni ndogo haiwezi ku reason beyond Mwanamke kupokea mbegu toka kwa Mwanaume.
Sio mwisho wa kufikria, tunachofanya hapo utatengeneza series ya maswali to infinity. Ni sawa na mada ya uumbaji, ukisema binadamu kaumbwa kwasabab hawez kujiumba basi Kuna muumbaji, naww utaulizwa na muumbaji kaumbwa na nan? Unaona sasa?Yaani wewe hapo ndiyo mwisho wako wa kufikiria.
Sio 1000+ ni infinity question yasiyo na muafaka so ni ujingaLakini kumbe hapo tunaweza tukapata maswali 1000+......
Haina shida ntaweka mpk ulivyojibu😃😃😃Hahh acha uongo hakuna mfano wa vitu ulivyoweka hapa...labda niwe sijaona vitu hivyo.
Fanya hivyo sasahvi tuondoe utata.
Kwasababu Baba mwingine sio Baba yangu.,kwann hizo mbegu(zenye taarifa zako) zilikuwa Kwa baba ako na sio Kwa baba mwingine??
Wewe kushindwa kujua kuhusu kitu ndiyo ujinga,..ila kujiuliza swali kuhusu kitu husika haiwezi kuwa ujinga.Ni ujinga, unaweza kujibu?
Sio mwisho wa kufikria, tunachofanya hapo utatengeneza series ya maswali to infinity. Ni sawa na mada ya uumbaji, ukisema binadamu kaumbwa kwasabab hawez kujiumba basi Kuna muumbaji, naww utaulizwa na muumbaji kaumbwa na nan? Unaona sasa?
Sio 1000+ ni infinity question yasiyo na muafaka so ni ujinga
hateeb10 😃😃😃😎Bila shaka,,
1. Wakati gari unakata Kona kwenye curved road huwa Kuna centripetal force ina ACT ambayo huvuta gari kuelekea kwenye centre, lakin huwez kuhisi.
View attachment 3190655
2. Kitu kilichofungwa kwenye kamba na kuzungushwa. Jiwe linavutwa kuelekea katikati.
3. Ukiwa kwenye gari inayomove at constant speed, kimsingi unavutwa/unasukumwa lkn hauhisi hiyo nguvu na unaweza kufanya activities zako kama kawaida bila bughuza, untill the car changes its motion or stops ndo utahisi nguvu ya mvuto au msukumo.
😃😃😃😃😃 Yaani ukaja na mada nyingne kabisaaHamna kitu hapo,....Kauli yako ya mwanzo kwamba hujawahi kuhisi unavutwa na gravity ina mashiko zaidi,. Mimi naona una force tu kuwe kuna hiyo force lakini dalili zote zinaonyesha haipo.
Sawa nasubiri,.Haina shida ntaweka mpk ulivyojibu😃😃😃
hateeb10 😃😃😃😃Bila shaka,,
1. Wakati gari unakata Kona kwenye curved road huwa Kuna centripetal force ina ACT ambayo huvuta gari kuelekea kwenye centre, lakin huwez kuhisi.
View attachment 3190655
2. Kitu kilichofungwa kwenye kamba na kuzungushwa. Jiwe linavutwa kuelekea katikati.
3. Ukiwa kwenye gari inayomove at constant speed, kimsingi unavutwa/unasukumwa lkn hauhisi hiyo nguvu na unaweza kufanya activities zako kama kawaida bila bughuza, untill the car changes its motion or stops ndo utahisi nguvu ya mvuto au msukumo.
Ukahama madaaa😃😃😃. Mimi sio mjingaHamna kitu hapo,....Kauli yako ya mwanzo kwamba hujawahi kuhisi unavutwa na gravity ina mashiko zaidi,. Mimi naona una force tu kuwe kuna hiyo force lakini dalili zote zinaonyesha haipo.
Kwann baba mwingine sio baba yako?Kwasababu Baba mwingine sio Baba yangu.,
Sasa ulichokijibu unaona kinaingia akilini?