Siri kubwa ya wapemba na wachaga kumpisha Mkinga ni mkinga kuuza kwa faida ndogo, umoja, bidii, kuheshimu wateja na nidhamu ya matumizi ya fedha

Wabena na wakinga ni kama hawana utofauti Sana wote wanamiliki uchumi mkubwa na familia bora
Mbena ndugu zake ni wahehe maana hata lugha hazipishani sana.

hao wabena nimekaa nao sana kuanzia kina mwajombe, lugenge, kivambe, n.k.

wabena wenyewe miji yao ya njombe na makambako, mkinga kameza hapo mbena anaangalia tu, kwa wabena labda ni dada zao tu wana sifa ya wife material, kwa biashara hapo ni mkinga.

ni vile tu kwa sasa mkinga kaja kwa kasi kwa hio wabena huwa wana tabia ya kujipendekeza sana kwa wakinga kwamba wao ni ndugu 😂😂.
 
Huwezi kumlinganisha mbena na mhehe wabena wanamiliki biashara za Kati mhehe ni mgaya shida achana na wabena waliobakia huko njombe
 
Hii issue ni kama chadema na ccm lakini ccm si ndio iliyo tangulia na wameshika dola kwa hiyo chaga ni sawa ni ccm wameshika dola alafu wakinga ni chadema na makabila mengine ndio nccr mageuzi,tadea,uma,cuf,tlp, cc wazalendo n.k .Unapo mlinganisha mchanga na mkinga ujue mchaga ndiye ameshika dola. Kila taasisi ya serikali iwe shule hospital tra ,polisi ,uhamiaji ,jeshini ,bot ,bandarini ,maliasili , na n.k lazima awepo mchaga kwenye nafasi nyeti .
 
Wale ambao wakilewa wanakua malimbukeni ni Wabena au Wakinga?
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu
 
Mimi ningeweza kumnyang'anya na asifanye kitu na akijaribu kufanya anaumia yeye vilevile; sema tu kuogopa kesi mahakamani. Si kila mtu anaweza kutishiwa nyau kwa uchawi
 
Ukikuta sehemu mchagga, mhindi au mwarabu hawapo ujue mahali pale kuna kitu ambacho siyo kizuri kilishwakimbiza. Hawa watu ni symbol ya biashara hapa Tanzania. Mhindi na mwarabu wakati mwingine wao huwa wako selectivekidogo kwa mazingira lazima yawe yale ambayo ni ya mjini; wakati mchagga yeye hata kijijini utamkuta yupo, provided kuna biashara inayoendelea mahali pale.

Ukikuta mahali hawa watatu hawapo wakati sehemu hiyo ni centre ya biashara, jua kuwa mahali hapo kuna kasoro kubwa imepelekea wao kutokuwepo hapo. Mahali ambapo pana bisahara nzuri mchagga huwa hawezi kutokuwepo, na asipokuwepo ujue kuna shida kubwa!

Kwa hiyo mchagga ni indicator nzuri sana ya kukufanya uamue kukaa au kutokukaa sehemu, pale unapokuwa upo kwenye mkakati wa kutafuta sehemu ya kufanya kazi zako
 
Haha ni kama wapare wanavyopenda kujiweka na wachaga yaani wanatembelea nyota za wachaga kisa tu wanatoka mkoa mmoja wakati tunajua wapare wabahili tu ila kwenye kutafuta pesa hawako vizuri sana. Bora mchaga mbahili ila kutafuta pesa anajua ila mpare mbahili na siyo mtafutaji kivile.
 

Utafiti wako mzuri
 

Mbena kwenye ramani ya biashara hayupo Tanzania huyu mbena hata kwa mkurya hagusi top three zangu wapambanaji ni Wachaga, Wakinga, Waha hao naona vinara lakini makabila yote wanapambana siku hizi hakuna alielala kuna Wandali huko mbalizi sio wakuwabeza, halafu na kuna Wanyantuzu wasukuma hawa wa bariadi wako kahama habari yao sio ya kitoto na wanyantuzu ndio wachimbaji wa dhahabu sana
 

Kabisa mpare anatembelea nyota ya mchaga sawa na watu wa singida wanyiramba na wanyituru wanavopenda kutembelea nyota ya watu wa Arusha au kujifanya wachaga tena nje ya singida ukimuita mangi mnyaturu anakupa chochote utachotaka, hii tabia ya kabila fulani kutembelea nyota ya kabila la mkoa mmoja lililofanikiwa naona ni uboya sana
 
Wakinga wanatumia kanuni za Wachina.
WACHINA wanaamini katika
1.Uza bei ya chini uuze mara nyingi upate faida nyingi.
2.Uaminifu na ushirika.
Mchina akipata tenda ugawa kwa Wachina wenzake yupo atakaepewa tenda ya maji, kokoto, vifaa vya ujenzi, tofali, umeme nk.
Wachina wakikuamini umetoboa. Ukiwa mwaminifu ni rahisi kukukopesha. Ukilipa gari moja cash lingine unapewa mkopo.

Mtanzania Katu hawezi endelea sababu hana uaminifu, uwaza kupiga tu ale leo.
 
Mimi ningeweza kumnyang'anya na asifanye kitu na akijaribu kufanya anaumia yeye vilevile; sema tu kuogopa kesi mahakamani. Si kila mtu anaweza kutishiwa nyau kwa uchawi
Mwee mwee acha mambo yako kwahiyo usingeogopa maana watu waliufyata nakubaki kucheka tena around milion au inakaribia anarudi kula bata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…