Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nyumba ya kuishi kijijini ya nini na una nyumba mjini?Nyumba ya kuishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba ya kuishi kijijini ya nini na una nyumba mjini?Nyumba ya kuishi.
Mbena ndugu zake ni wahehe maana hata lugha hazipishani sana.Wabena na wakinga ni kama hawana utofauti Sana wote wanamiliki uchumi mkubwa na familia bora
Huwezi kumlinganisha mbena na mhehe wabena wanamiliki biashara za Kati mhehe ni mgaya shida achana na wabena waliobakia huko njombeMbena ndugu zake ni wahehe maana hata lugha hazipishani sana.
hao wabena nimekaa nao sana kuanzia kina mwajombe, lugenge, kivambe, n.k.
wabena wenyewe miji yao ya njombe na makambako, mkinga kameza hapo mbena anaangalia tu, kwa wabena labda ni dada zao tu wana sifa ya wife material, kwa biashara hapo ni mkinga.
ni vile tu kwa sasa mkinga kaja kwa kasi kwa hio wabena huwa wana tabia ya kujipendekeza sana kwa wakinga kwamba wao ni ndugu 😂😂.
sawa, tushajua wewe ni mbena 😂😂😂Huwezi kumlinganisha mbena na mhehe wabena wanamiliki biashara za Kati mhehe ni mgaya shida achana na wabena waliobakia huko njombe
Nenda kwao ukaone hali halisiWe utakuwa mchaga hupendi mtu mwingine anayefanya vizuri asifiwe
Mkuu umeongea ukweli mtupuKuna siku natoka zangu Mbezi nimetoka mkoa Alfajiri nikapanda daladala naelekea Home kufika Tabata akapanda Mkinga kalewa full kuropokwa si akatoa burungutu lahela anawaonyesha abiria alafu anacheka Hahahaaa mm ndo mkinga bana sasa ole wake mtu aniibia nashuka Tabata Darajani mm siangaiki nae nakuua alafu nakufanya msukule nakueka kwenye Duka langu la kariakoo pale kazi yako kuita wateja Njoo njooo[emoji23][emoji23].
Wakinga na biashara zao namafanikio yao waacheni km walivyo[emoji38][emoji23][emoji1787]
S kweliWabena na wakinga ni kama hawana utofauti Sana wote wanamiliki uchumi mkubwa na familia bora
Mimi ningeweza kumnyang'anya na asifanye kitu na akijaribu kufanya anaumia yeye vilevile; sema tu kuogopa kesi mahakamani. Si kila mtu anaweza kutishiwa nyau kwa uchawiKuna siku natoka zangu Mbezi nimetoka mkoa Alfajiri nikapanda daladala naelekea Home kufika Tabata akapanda Mkinga kalewa full kuropokwa si akatoa burungutu lahela anawaonyesha abiria alafu anacheka Hahahaaa mm ndo mkinga bana sasa ole wake mtu aniibie nashuka Tabata Darajani mm siangaiki nae nakuua alafu nakufanya msukule nakueka kwenye Duka langu la kariakoo pale kazi yako kuita wateja Njoo njooo[emoji23][emoji23].
Wakinga na biashara zao namafanikio yao waacheni km walivyo[emoji38][emoji23][emoji1787]
Ukikuta sehemu mchagga, mhindi au mwarabu hawapo ujue mahali pale kuna kitu ambacho siyo kizuri kilishwakimbiza. Hawa watu ni symbol ya biashara hapa Tanzania. Mhindi na mwarabu wakati mwingine wao huwa wako selectivekidogo kwa mazingira lazima yawe yale ambayo ni ya mjini; wakati mchagga yeye hata kijijini utamkuta yupo, provided kuna biashara inayoendelea mahali pale.Nimezunguka siku 32 Tanzania nzima kwenye miji mikuu na midogo inayofikika kwa lami kasoro Kigoma na Kagera
Nilikuwa na Kampuni moja hivi ya nje kwenye reaserch flani
Na nikafanya reaserch ya siri mimi nilitaka nione kama ni kweli wachaga wamesambaa Kila mahali na wanafanya vizuri kuliko watu wengine Nikakuta sio kweli
1. Kariakoo. Nilikuta wamekutana na upinzani mkali wamezidiwa na Wakinga
2. Tanga , Lushoto na Handeni ...ni mchanganyiko Kila mtu anapambana
Kama lushoto wenyeji wako moto sana ndio wakulima wakubwa wa Matunda na mboga mboga na wasafirishaji pia.
3. Handeni ..Mchanganyiko kidogo ila nimeona mchaga mmoja ni Mama mwenye duka kubwa la agrovet ndio aliyechangamka pale wengine ni Mchanganyiko
3. Lindi. Kondeboys wanafanya vizuri na wabena ingawa huu mji nao sijakuelewa vizuri
Pamepoa sana.
4.Masasi. Pako vizuri sana. Wafanyabiasha wakubwa hapa ni wabena na Wakinga na Kondeboys kidogo wanajitahidi.
5. Mtwara yote hii Wakinga / Wabena
6. SONGEA. Wakinga/ wabena
Labda huyu mwenye La chazz night club
Sijamjua Challes Hilary ni kabila gani
7. Njombe. Wenyeji wako very active Wakinga / Wabena
Mahotel mazuri, lodges nzuri wanatawala vizuri
8. Makambako . Wahehe/ Wakinga
9. Iringa. Vile vile ila niliingia kwenye bar moja ya mchaga inafanya vizuri
10.Mafinga. Wakinga. Na ndio Fredy vunja bei amekita mzizi kama home na kuweka Chachu kwa vijana wengi
11. Mbeya . Changanyikeni wachaga wapo, wanyakyusa wapo wahehe , wabena, Kila mtu yupo huko
12. Tunduma. Wakinga / Wabena na Mchanganyiko
13. Sumbawanga. Hakuna bingwa biashara kubwa zimeshikwa na waarabu wa Tawakall
Hawa wenye Dew Drop Kampuni ya maji
14. Mpanda. Pamechangamka sana ila hakuna bingwa Kila mtu anagusa kidogo kidogo maendeleo yanakuja
15. Tabora. Mji mkongwe ....sijaona chochote kilichonivutia
16. Nzega. Lodge nyingi tu ..Na vijana wengi kutoka singida wanyaturu na wanyiramba ndio wapambanaji hapa
17. Kahama. Hapa ni amazing. Kila kabila lipo na Kila mchunguli fursa.
Nililala submarine hotel nikafeel kama Niko Arusha uchumi ni kunyang'anyana hakuja shujaa
18.Singida. Wachaga wamevamia kidogo kwa Kasi hata manyoni hapo wapo Nililala Narumu hotel ni ya mchaga
19.Dodoma.
Ngoma droo Kila mtu anazama pango jipya
20.Moro. Changanyikeni
Wacha nipumzuke kidogo nitarudi tumalizie ziwani.
Haha ni kama wapare wanavyopenda kujiweka na wachaga yaani wanatembelea nyota za wachaga kisa tu wanatoka mkoa mmoja wakati tunajua wapare wabahili tu ila kwenye kutafuta pesa hawako vizuri sana. Bora mchaga mbahili ila kutafuta pesa anajua ila mpare mbahili na siyo mtafutaji kivile.Yani mbena utamjua tu kwenye hii mijadala, penye wakinga wanapenda juweka "wakinga / wabena" yani ukimkuta mbena atatumia nguvu kubwa sana ionekane mkinga na mbena ni kitu kimoja [emoji23][emoji23].
wabena waache starehe wafanye kazi aisee.
nipo mbeya huku nawajua wakinga na Dar naowajua ni wakinga, kuna wakunga sio awkinga / wabena [emoji23]
Nimezunguka siku 32 Tanzania nzima kwenye miji mikuu na midogo inayofikika kwa lami kasoro Kigoma na Kagera
Nilikuwa na Kampuni moja hivi ya nje kwenye reaserch flani
Na nikafanya reaserch ya siri mimi nilitaka nione kama ni kweli wachaga wamesambaa Kila mahali na wanafanya vizuri kuliko watu wengine Nikakuta sio kweli
1. Kariakoo. Nilikuta wamekutana na upinzani mkali wamezidiwa na Wakinga
2. Tanga , Lushoto na Handeni ...ni mchanganyiko Kila mtu anapambana
Kama lushoto wenyeji wako moto sana ndio wakulima wakubwa wa Matunda na mboga mboga na wasafirishaji pia.
3. Handeni ..Mchanganyiko kidogo ila nimeona mchaga mmoja ni Mama mwenye duka kubwa la agrovet ndio aliyechangamka pale wengine ni Mchanganyiko
3. Lindi. Kondeboys wanafanya vizuri na wabena ingawa huu mji nao sijakuelewa vizuri
Pamepoa sana.
4.Masasi. Pako vizuri sana. Wafanyabiasha wakubwa hapa ni wabena na Wakinga na Kondeboys kidogo wanajitahidi.
5. Mtwara yote hii Wakinga / Wabena
6. SONGEA. Wakinga/ wabena
Labda huyu mwenye La chazz night club
Sijamjua Challes Hilary ni kabila gani
7. Njombe. Wenyeji wako very active Wakinga / Wabena
Mahotel mazuri, lodges nzuri wanatawala vizuri
8. Makambako . Wahehe/ Wakinga
9. Iringa. Vile vile ila niliingia kwenye bar moja ya mchaga inafanya vizuri
10.Mafinga. Wakinga. Na ndio Fredy vunja bei amekita mzizi kama home na kuweka Chachu kwa vijana wengi
11. Mbeya . Changanyikeni wachaga wapo, wanyakyusa wapo wahehe , wabena, Kila mtu yupo huko
12. Tunduma. Wakinga / Wabena na Mchanganyiko
13. Sumbawanga. Hakuna bingwa biashara kubwa zimeshikwa na waarabu wa Tawakall
Hawa wenye Dew Drop Kampuni ya maji
14. Mpanda. Pamechangamka sana ila hakuna bingwa Kila mtu anagusa kidogo kidogo maendeleo yanakuja
15. Tabora. Mji mkongwe ....sijaona chochote kilichonivutia
16. Nzega. Lodge nyingi tu ..Na vijana wengi kutoka singida wanyaturu na wanyiramba ndio wapambanaji hapa
17. Kahama. Hapa ni amazing. Kila kabila lipo na Kila mchunguli fursa.
Nililala submarine hotel nikafeel kama Niko Arusha uchumi ni kunyang'anyana hakuja shujaa
18.Singida. Wachaga wamevamia kidogo kwa Kasi hata manyoni hapo wapo Nililala Narumu hotel ni ya mchaga
19.Dodoma.
Ngoma droo Kila mtu anazama pango jipya
20.Moro. Changanyikeni
Wacha nipumzuke kidogo nitarudi tumalizie ziwani.
Yani mbena utamjua tu kwenye hii mijadala, penye wakinga wanapenda juweka "wakinga / wabena" yani ukimkuta mbena atatumia nguvu kubwa sana ionekane mkinga na mbena ni kitu kimoja [emoji23][emoji23].
wabena waache starehe wafanye kazi aisee.
nipo mbeya huku nawajua wakinga na Dar naowajua ni wakinga, kuna wakunga sio awkinga / wabena [emoji23]
Haha ni kama wapare wanavyopenda kujiweka na wachaga yaani wanatembelea nyota za wachaga kisa tu wanatoka mkoa mmoja wakati tunajua wapare wabahili tu ila kwenye kutafuta pesa hawako vizuri sana. Bora mchaga mbahili ila kutafuta pesa anajua ila mpare mbahili na siyo mtafutaji kivile.
Wakinga ni wachawi tangu zamaniIla wakinga ni wachache ila wanakuja na moto wamekuwa fame ivi karibuni na kweli wanateka soko nawasifu coz ni kabila dogo hata Kwa idadi ya watu na kihistoria
Si kweli labda utajiri wa kimasikiniSiri ya utakiri ni ubahili
Mwee mwee acha mambo yako kwahiyo usingeogopa maana watu waliufyata nakubaki kucheka tena around milion au inakaribia anarudi kula bata.Mimi ningeweza kumnyang'anya na asifanye kitu na akijaribu kufanya anaumia yeye vilevile; sema tu kuogopa kesi mahakamani. Si kila mtu anaweza kutishiwa nyau kwa uchawi