Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

Asante kwa maelezo mazuri
Mpaka sasa sijajua ni La kiroho ama La kimwili.kote kote holla.
Sio hospital sio maombezi
 

Usabato the cult kazini
 

Kwa sharia za sabato. Pia tofautisha mzimu na shetani
 
Venus mimi nimefuatilia makala zako sana,
Vitu vilivyonivutia niendelee kukufuatilia ni hivi hapa,
1. Maandiko yako hayafungaman na dini yoyote,
Unajua watu wanachanganya iman na dini, kitu ambacho ni tofaut kabisa, unaweza enda siku kanisani na usikuwe kiiiman,
Mimi ni mtu nayeamin mungu mweusi, najua wachache watanielewa, I mean ukisoma neno utamadan, unahushisha dini pia, mavazi, lifestyle, worship, etc , so Sisi watu weusi tuna utamaduni wetu, naamin pia tuna dini zetu, tofaut na hizi dini za kikoloni zilizokuja zikatutawala na kutufanya watumwa,
Kwa wale wanaoamin Biblia au Quran, nawashauri wakitaka kujua mambo mengi kiiman inabid watoke nje ya hilo box, wakasome vitabu vingine zaid ya hivo Ili waujue ukweli wao na asili zao, na na nguvu zao,
Naomba uendelee na somo lako na asikukatishe mtu tamaa, maana sisi tunataka kujua mambo mengi, hao wanaobisha hawataki kujifunza, mbaya zaid wanabisha bila kuja na evidence zozote kama hicho unachokisema ni uongo, huwa napenda kuwaita Wana akili fupi, maana hawataki kujifunza,
Kuna mzungu mmoja ni best yangu aliwah kuniambia nyie Waafrika kwann mnawatupa ndugu zenu wanapofariki, kwann mnatelekeza makaburi ya ndugu zenu, Baraka mnazitoa wapi?
Akadai wao wanapowazika ndugu zao huwa wapo karibu na makaburu ya ndugu zao, huenda kusali pale na kuongea na ndugu zao,
Mizim si watu wabaya , ni ndugu zoey tuliokuwa tukiishi nao, tukila nao na kulala nao, leo hii unawaitaje wabaya kwako? Hiyo ni akili kweli, leo hii mzazi kafariki kawa mbaya ? Nonesense,
 
Leo ni may 17 Huu Uzi uliishaje?
Kuna wafiq dini wanaleta mapingamizi. Inabidi jamaa awaelimishe ila nimegundua hawataki kuelimika. Tumshauri ndugu yetu huyu awateme wanatupoteza
 
Ndugu Venus Star hebu endelea kutupa madini. Hao jamaa wana lengo la kukosesha watu mambo muhimu usiwajibu
 
Hapa ndipo watu wanashindwa kujua ukweli halisi wa kufunga.Maelekezo ya kufunga yamebainishwa wazi kwenye Biblia na utiisho unatakiwa uufanye Rohoni.
Isaiah 58:5-8
Je! Kufunga namna hii ni saumu niliyoichagua mimi? Je! Ni siku ya mtu kujitaabisha nafsi yake? Ni kuinama kichwa kama unyasi, na kutanda nguo za magunia na majivu chini yake? Je! Utasema ni siku ya kufunga, na ya kukubaliwa na BWANA?

Isaiah 58:6
Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira?........ENDELEA KUSOMA HADI MMSATARI WA 10.

Kuitiisha Roho kutoka kwenye Tamaa au chakula ambacho si cha Kimungu ni Bora zaidi kuliko kushinda njaa.

Tunaupa Mateso ya njaa Mwili ili iwe alama ya kumbukumbu mbele za Mwenyezi Mungu haswa kwa mtu anayetaka kuondoka kwenye changamoto ya kiroho kama uzinzi,ulevi,na vitu vingine vingi.Hivyo kumthibitishia Mwenyezi Mungu kuwa unatoka uko na alama ya uthibitisho mojawapo ni kuutesa Mwili wako.
Mimi kwa asilimia karibu 90 nafunga nikiwa naulisha mwili chakula kama kawaida ,na Majibu yanatokea na namshukuru Mwenyezi Mungu ananipa nafasi ya kunisikiliza.
Mara nyingi nisipopata chochote nakuwa kama mtu ambae naongea na Mgeni wa muhimu sana lakini pembeni kuna Mtoto anapiga kelele au analia kwa njaa.

Si kwamba msifunge kwa kuunyima mwili chakula,ila fungeni kwa kuinyima Roho chakula ambacho si kitakatifu.
 
Kulingana na biblia
Ndoto Ina vyanzo 4
Ayuhu 33:14-17

1.shughuli nyingi...mawazo mengi.....unaipata kwenye mhubiri hapo...
2.kutoka kwa Mungu...check Yusuf,nebkadreza,kuzaliwa Kwa Yesu ....
3.kutoka Kwa shetani....soma kutoka....sikumbuki vzr mistari..ila we msomaji neno najua hitkupa shida...
4.kutokana na hali ya kiroho ya mahali unapolala... check alipokua amelala Yakobo kwenye jiwe pale...
 
Tatizo la wafia dini wao hawaanzishi Mada wanasubiri watu waanzishe Mada wao ndio waje kuleta vimistar vyao kutoka kwenye Bible, SIKILIZENI NYIE WAFIA DINI ANZISHENI THREAD ZENU HUKO ZA KUELIMISHA WATU SUO KUDANDIA NYUZI ZA WATU NA KUHARIBU MANTIKI YAKE.
 
Mm naona wanaokupinga ni wale ambao hawataki watu wajue ukweli juu ya ulimwengu wa roho hatuwezi kuendelea kuendeshwa na mapepo na wachawi Funguo tutazitumia kufunga kila nia ovu ya shetani tutafunga na kuomba Kama Yesu alivyosema mpaka kieleweke .nakuunga mkono katika hili kiongozi
 
A
Umesema Utaweza Kuzungumza na Waliokufa...Sasa mbona Maandiko yanasema hakuana ushirika Kati ya walio hai na Wafu....
Na Ni Jambo gani hasa unazungumza na Wafu...?
Level hiyo huongea na wachawi, misukule, mapepo na majini ktk Ulimwengu wa GIZA, ndomana asema ni Rahisi kuwa mchawi.
 
Mkuu sorry, uzi wako una hang sana. Sijafahamu hata una base kwa Mungu au miungu ufundishapo hapa kuingia katika ulimwengu wa kiroho ili kupata matokeo.
Anaingia kupitia GIZA , Si ktk NURU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…