karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
Hiyo ni katiba ya ccm au katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania???Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni katiba ya ccm au katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania???Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Itakuwa ya kijani! Yaani akishachaguliwa basi anagombea huyo huyo kwa vipindi vyote viwili kwa tiketi ya chama chao!Hiyo ni katiba ya ccm au katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania???
Ooh yeah! Hata Museveni, Nkurunzinza, Kagame walibadili katiba. Usikariri kwamba kila ubadilushapo katiba unapata mabadiliko chanya. Soma fikiria marekebisho hayo yanaleta tija kwa chama au ni faida kwa wachache. Isiwe kila unapokuwa challenged basi wewe utetezi wako kumwangalia mwengine anafanya nini?!Wenzenu wanabadilishia katiba kwenye vikao vya chama, nyie mnabadilishia stationery!!
Kweli maono ni macho, kama una makengeza, hauna maono...
Huwa unatumia internate cafe ku comment .....CCM mkirogwa mkapitisha huo upuuzi mmekwisha. Anajiandalia makao ya milele huyo mtusi
Hapana, sio raha yetu. Ni hatari sana chama kilicho madarakani kikiharibikiwa kwa mtindo unao weza kuleta machafuko.
Hebu fikiria mgogoro kama wa CUF uwe ndani ya ccm! Hakika lazima nchi igeuke kuwa kama Sudan.
Upinzani huwa una furahia Sera za watawala kushindwa sio wao kukunjana. Wakikunjana na kuzipiga ngumi wote tutajikuta katikati ya ugomvi maana ni rahisi hata vyombo vya dola Ku side na makundi hayo
?????Huwa unatumia internate cafe ku comment .....
Sasa kama unauhakika wa kuchaguliwa kwanini uone hofu ya ushindani? Wape wanachama wenzio wanafasi washindane na wewe ukishinda sawa hakuna neno. Nashindwa kuwaelewa kuwa mwanachama (mpenzi) unakuwa addicted. . Maana hata jambo baya linapofanyika unaona zuri. . ghrrrr! Unaona zuri leo hujui kesho atakuja nani kumtoa utataka kumwaga damu. .sasa mbona ni kawaida tuu,hata wakiondoa kuna tatizo gani maana marais karibia wote walioteuliwa walitimiza miaka 10 sasa kwanini uone kwa huyu ni udikteta??
Hahahahaaaa!! Kumbe kuna watusi wenye pua kama yangu [emoji12] [emoji14] [emoji12] [emoji14]CCM mkirogwa mkapitisha huo upuuzi mmekwisha. Anajiandalia makao ya milele huyo mtusi
Kumbe Ni mtusi ?? Twafa.CCM mkirogwa mkapitisha huo upuuzi mmekwisha. Anajiandalia makao ya milele huyo mtusi
Sasa hiki ni kipya? kimsingi hiki kimekuwa kikifanyika japo hakikuwa kwenye katiba.....Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Na ndiyo nchi inapaa sasa, kwako mabadiliko yanakuwa chanya ikiwa gia itabadilishwa ndege ikiwa angani tu, na si vinginevyo!! Na lindege lenyewe bovu likaanguka.Ooh yeah! Hata Museveni, Nkurunzinza, Kagame walibadili katiba. Usikariri kwamba kila ubadilushapo katiba unapata mabadiliko chanya. Soma fikiria marekebisho hayo yanaleta tija kwa chama au ni faida kwa wachache. Isiwe kila unapokuwa challenged basi wewe utetezi wako kumwangalia mwengine anafanya nini?!
Nafikiri elimu yangu ndogo maana sikuelewi. .Na ndiyo nchi inapaa sasa, kwako mabadiliko yanakuwa chanya ikiwa gia itabadilishwa ndege ikiwa angani tu, na si vinginevyo!! Na lindege lenyewe bovu likaanguka.
Saa nyingine ni bora kukariri maana utatumia na akili, japo kidogo, kuliko kukaririshwa, tena na teja mwenye makengeza, aliyekosa maono...
Kwa hoja yako hii yangu siweki!Wenzenu wanabadilishia katiba kwenye vikao vya chama, nyie mnabadilishia stationery!!
Kweli maono ni macho, kama una makengeza, hauna maono...