Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Teh teh teh!
Hio inaitwa ukiskia Paaa! Ujue imempata.

Nimekuwekea wazi Huu utumbo wako Unajifanya Ati Umetunga! Tumbaff wahed.
Unadhani Mipasho hii uliozoe kwenye vijiwe vya bangi?

Shule hujaenda unadai Una kipaji!
Mwenye kipaji asie na Elimu Angejua siasa za Kimarekani bila Copy and paste?

We ndo nyapi kweli kweli.
Bahati mbaya una sura mbovu tu au mlevi Nicholas angebeba mazima.

Teh teh teh

Mkuu usikute huyu mtu kama padre matumbo au gwajima hawamuachi huyu...

Teh teh teh

Si unamuona anavyopenda penda vya bure??

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh

Mkuu usikute huyu mtu kama padre matumbo au gwajima hawamuachi huyu...

Teh teh teh

Si unamuona anavyopenda penda vya bure??

Teh teh teh

Mcheki hapa alivokaa kikulima.!


1429044087249.jpg

Bado anaona Ujanja kupiga picha na WABULUSHI barabarani!

Halafu cheki alichovaa! Kapiga Tshirt na Koti kubwa! Jua KAALI kweli kweli.
Mpita njia kavaa Tshirt tu.

Teh teh teh teh!!!! Yaani chizi kasoro full time.
Anakenua meno km kapiga picha na yesu.

Huyu MUANDISHI wa Mkuu wa chuo Kaaz kweli kweli.
 
Last edited by a moderator:
Halafu kamsogelea Km Mr and Mrs mpaka jamaa KANUNA!

teh teh teh!
Penzi halilazimishwi kiasi hicho YERICKO!
 
Mcheki hapa alivokaa kikulima.!


View attachment 243419

Bado anaona Ujanja kupiga picha na WABULUSHI barabarani!

Halafu cheki alichovaa! Kapiga Tshirt na Koti kubwa! Jua KAALI kweli kweli.
Mpita njia kavaa Tshirt tu.

Teh teh teh teh!!!! Yaani chizi kasoro full time.
Anakenua meno km kapiga picha na yesu.

Huyu MUANDISHI wa Mkuu wa chuo Kaaz kweli kweli.
Huyu Yericko kiazi kweli kavaa koti na Tshirt na huyo mzungu ndiyo father nani maana hawa wazungu wa Vatican nuksi sana.
 
Last edited by a moderator:
Mi nabahatisha hapa.
Huenda ikawa ni Father Jetruda nkwabi wa Kanisa la KKKKKT CDM dayosisi ya kaskazini.

Au nimekosea?
Inawezekana ni mwenyewe father kaamua kuvua koti lake na kumpa kijana wake, Father yeye ana wasiwasi bora yeye asikie baridi kuliko kondoo wake.

Angalia kwa makini mustache wa Father.

Hahahaha
 
Kivava,
Hapa chini ninafanya mahojiano na Al Jazeera.
Sijui kama hawa nao ni wajinga sawa na BBC...

Walikuja nyumbani kwangu mwaka wa 2007 na tukafanya kipindi cha saa nzima:

CIMG1164.JPG

Mzee Mohamed Said, una mambo makubwa sana ya kutuelimisha kuhusu historia ya Tanzania.

Tatizo udini umekuzidi.
 
Mzee Mohamed Said, una mambo makubwa sana ya kutuelimisha kuhusu historia ya Tanzania.

Tatizo udini umekuzidi.

Mohamed Said ni msimulizi mzuri wa historia, ana kipaji cha pekee,

Tatizo kila kizuri hakikosi kasoro, udini umeharibu dhana nzima ya uandishi wake.
 
Last edited by a moderator:
Bill Cosby na Carlos Valderrama

Hamtaki kujifunza mambo mapya magumu na ya ajabu?

Hamtaki kujua nafasi ya ya uislamu nyakati za mwanzo za AA?

Hamtaki kujua marufuku ya udini ndani ya TANU?

Hamtaki kujua kwanini mashehe wengi walioshiriki harakati za uhuru walipewa vifungo vya nyumbani?
 
Last edited by a moderator:
Halafu kamsogelea Km Mr and Mrs mpaka jamaa KANUNA!

teh teh teh!
Penzi halilazimishwi kiasi hicho YERICKO!


Ha ha ha ha

Kwaiyo Mkuu unasema huyu Padre mzungu aliepiga nae picha yericko ndie basha wake anaekula mzgo wa yericko nin??

Teh teh teh

Hawa mapadre nuksi sana hawa.

Na huyu tapeli yericko anavyopenda vya bure sijui kama 0713....yake iko salama...

Huyu Padre mzungu hawezi kumuacha salama bila kumnaniliu huyuu..

Si anaendekeza njaa na utapeli?
 
Bill Cosby na Carlos Valderrama

Hamtaki kujifunza mambo mapya magumu na ya ajabu?

Hamtaki kujua nafasi ya ya uislamu nyakati za mwanzo za AA?

Hamtaki kujua marufuku ya udini ndani ya TANU?

Hamtaki kujua kwanini mashehe wengi walioshiriki harakati za uhuru walipewa vifungo vya nyumbani?

Teh teh teh teh

Muone kwanza chizi fresh.

Huyo Padre mzungu uliemkumbatia kakuacha salama kweli na 0713...yako??

Maana watu kama wale wanakuaga nuksi sana.

Especially kwa watu matapeli na wapenda vya bure kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh!
Mkuu Mshume Kiyate huyu mtoto hio sio tofauti pekee kati yake na Mzee Mohamed.
Ukisema Hivyo Unampa kibri
huyu pimbi zaidi ya yeye kuwa ni Mwanaadamu HANA kingine CHOCHOTE ataweza kujilinganisha na Mzee Mohamed.
Kuanzia Umri, Elimu, Busara, Umaarufu, Uwezo kifedha, na Hata AFYA yake Ni mashaka tu.

Hebu tazama Hii picha, huu sio Utapia mlo?

View attachment 243377

Meno marefu ka Nguruwe pori! Macho Nyanya.
Bangi na njaa vinammaliza huyu mtoto.

Teh teh teh

Then hiyo Flana yake aliyovaaa imeandikwa POLICE ni ya kishamba sana hiyo.

Hizo huwa zinauzwa kwa kumwagwa chini pale kariakoo.

Lakin yeye pimbi kaona kama ni viwalo vya kutokea.

Mimi huwa nanunua na kupelekea wakulima wangu wa korosho kule Tandahimba.

Huyu kenge ana maisha magumu sana.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona watu wanajadili mtu badala ya vitu basi watu hao hamnazo, watamjadili mtu weeeee mwisho wasiku wataanza kujijadili wenyewe
 
Vita ni mapambano/majibizano kwa silaha au lugha ya ukali ya pande mbili zinazo
hasimiana/ mapambano dhidi ya kitu fulani mathalani rushwa, maradhi nk.
Ugaidi ni shambulio la ghafla ambalo huangamiza kila kitu kilicho mzunguka
muhanga wa ugaidi ambacho kipo ndani ya shabaha ya Gaidi.

Vita dhidi ya ugaidi ni mapambano yanayoendelea kati ya makundi yenye msimamo
mkali dhidi ya serikali za mataifa, lakini yakiwa na maadhimio yenye vuguvugu la
mageuzi ya kimtazamo kwa baadhi ya serikali duniani.

Ugaidi ulianza kutajwa mwanzoni mwa miaka ya 1990 mpaka 1994 ambapo mezani
pawanaojita wapinga ugaidi palishajaa mafaili yenye kujuza ugaidi kwa mapana yote,
Kutokeza kwa vita baridi pande za Kisoviet na Amerika na kuenea maeneo mengine
duniani kote kulizaa makundi yenye mitazamo hasi katika baadhi ya maeneo duniani.
Kuna aina nyingi za makundi yenye kutajwa kuwa ya kigaidi katika dunia hii,
Makundi haya yamekuwa na mlengo (philosophy) tofauti tofauti kulingana na aina ya
kundi na litokako. Makundi hayo ni kama vile: Hezbollah (Arabic for “Party of
God”) lililopo Lebanon, Hamas lililopo Palestinian, Muslim Brotherhood lilopo
Misri, Mafia la pale Italia, Tamil Tigers lahuko Sri Lanka, Taliban la Afghanistan, Al
shabab lilopo Sudan, Load Resistance Army la Uganda na mengine mengi yaliyopo
duniani.

Ugaidi huu tunaouzungumza leo wenye chembe za chuki dhidi ya maslahi ya
Marekani na wenye shinikizo la kiroho zaidi ulianza kuchipuka katikati ya mgogoro
wa Urusi na Afghanistan hasa baada ya makundi yale yaliyoundwa kipindi cha vita
baridi duniani kujibu wito wa jihadi dhidi ya wakomunisti. Baada ya ukomunisti
kung’olelewa ndani ya ardhi ya Afghanistani makundi haya yalisimamisha kundi lao
maarufu la Taliban kushika dola, hakika yalifanikiwa kwani Afghanistan iliwekwa
chini ya udhibiti wa kundi hilo lenye mlolongo wa maovu ndani na nje ya nchi hiyo.
Vita inakuwa ngumu pale serikali hizi zinapo pambana na makundi yasiyoonekana
hadharani kwani hata yakionekana au kutaka kukamatwa hujilipua na kufa pamoja na
hao askari waliotaka kuwakamata.

Vita dhidi ya ugaidi ni kitabu kinachoelezea chanzo chake na mtiririko wake, kikibashiri hatima ya
vita, na kukupa ukweli halisi jinsi vita hivyo vilivyoendeshwa Iraq na Afghanistan na matukio
muhimu katika vita vya Iraq.

Utapata kujua mipango mizima na vikao muhimu vya Baraza la Usalama la Marekani
vilivyofanyika kabla ya mashambulio ya Sept 11/ 2001 na baada ya mashambulio
hayo hadi kuuawa kwa gaidi mkuu Osama bin Laden nchini Pakistani.
 
Tanganyika as a geographical and political entity did not take shape before the period of High Imperialism; it's name only came into use after GERMAN EAST AFRICA was transferred to Britain as a mandate by the League of Nations in 1920. What is referred to here therefore is the history of the region that was to become Tanganyika.

In 1698 and again in 1725 the Omanis had ousted the Portuguese from the trading ports on East Africa's coast, most notably from Kilwa and Zanzibar. During the 18th century, Zanzibar had emerged as the dominant port of the region. Trade in general had prospered, a chain of coastal trading towns, among them TANGA and BAGAMOYO, had emerged. Bagamoyo means 'throw your heart away'; it was a port from where slaves were shipped.

In 1841, Sultan SAYYID SAID moved his capital from Muscat to Zanzibar; with him came many Arabs who invigorated the economy. In 1856, the Sultanate of Zanzibar was separated from the Sultanate of Oman; to Zanzibar belonged the island of Pemba as well as the coastal lands, including Kilwa. Arab traders established caravan routes into the interior, facilitating trades; the camel provided transportation. Slaves were among the most profitable trading goods.

The port of Zanzibar was visited by Dutch, English and French ships. The British East India Company had a representative on Zanzibar, who acted as an advisor to the sultan. In 1873 a British fleet forced Sultan Barghash to declare slave trade ended. An illegal slave trade continued.

In 1848 the German missionary JOHANNES REBMANN 'discovered' Mount Kilimanjaro; in 1858 BURTON and SPEKE 'discovered' Lake Tanganyika.

In 1877 the first of a series of Belgian expeditions arrived on Zanzibar. In the course of these expeditions, in 1879 a station was founded in KAREMA on the eastern bank of Lake Tanganyika, soon to be followed by the station of MPALA on the opposite western bank. Both stations were founded in the name of the COMITE D'ETUDES DU HAUT CONGO, a predecessor organization of the Congo Free State. The fact that this station had been established and supplied from Zanzibar and Bagamoyo lead to the inclusion of East Africa into the territory of the CONVENTIONAL BASIN OF THE CONGO at the BERLIN CONFERENCE of 1885.

At the conference table in Berlin, contrary to widespread perception, Africa was not partitioned; rather rules were established amongst the colonial powers and prospective colonial powers as how to proceed in the establishment of colonies and protectorates. While the Belgian interest soon concentrated on the Congo River, the British and Germans focussed on Eastern Africa and in 1886 partitioned continental East Africa amongst themselves; the Sultanate of Zanzibar, now reduced to the islands of Zanzibar and Pemba, remained independent, for the moment.

The Congo Free State was eventually to give up it's claim on Karema (it's oldest station in Central Africa) and on any territory to the east of Lake Tanganyika, to Germany.

Source: http://www.ntz.info/gen/b00627.html#id03480
 
Watoto wa zinaa wana sifa mkuu.
Na moja ya sifa za mtoto wa mitaani ni kuropoka ovyo km ufanyavyo wewe.!

Je unahabari mtu wa mwanzo kujitoa Muhanga Na Kuua Wasiohusika Ni SAMSONI Aliyemo kwenye BIBILIA?
Ugaidi Umeanzia KWENYE BIBILIA Jile. Hawa wengine Wanaiga tu.

Na WAKRISTO wanamuimbia Kila siku SAMSONI kwa USHUJAA WAKE wa KUUA wasio Na Hatia.

Msome Hapa Gaidi wa KWANZA ktk HISTORIA kipi Alikifanya kwa Watu wasio na HATIA.

WAAMUZI 16:27-30

27-Basi nyumba ile ilikuwa imejaa watu waume kwa wake; na wakuu wote wa Wafilisti walikuwamo humo, na juu ya dari palikuwa na watu elfu tatu waume kwa wake waliokuwa wakitazama, wakati Samsoni alipocheza.-
28-Samsoni akamwita Bwana, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili.-

29-Kisha Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo nyumba ile ilikaa juu yake, akazitegemea, moja kwa mkono wake wa kuume na moja kwa mkono wake wa kushoto.-

30-Samsoni akasema; Na NIFE pamoja na hawa Wafilisti. Akainama kwa nguvu zake zote; ile nyumba ikawaangukia hao wakuu, na watu wote waliokuwa ndani yake. Basi WALE WATU ALIOWAUA WAKATIA WA KUFA KWAKE walikuwa WENGI KULIKO ALIOWAUA WAKATI WA UHAI WAKE.

Hapa Tunaona kuwa GAIDI SAMSONI ALIUWA WATU WENGI Kuliko Hata Wake WALIOKUFA ktk ZILE TWIN TOWERS huku NEW YORK.

NA Huyu GAIDI aliyafanya Haya MIAKA 2000 Iliopita.

Kwa hivyo basi HAWA MAGAIDI wanachofanya Ni Kurudia tu KILICHOFANYWA NA MAANDIKO YA BIBILIA. manake Hakuna KITABU KINGINE Kinachoonyesha UGAIDI zaidi ya HIKI. na Km Kipo NAOMBA USHAHIDI.

Zile za masheikh changanya na za kwako g'ombe wewe. Unaacha hoja unaongea umea. ACHENI UTUALISHA WATOTO WA MITAANI!!! Unatuletea elimu ya madrasa tena wkt iliisha fail zaidi ya kujenga chuki na kuleta mauaji duniani kote. Eti samsoni alikuwa mkristo wa kwanza kuua na wengine wanaiga tu. Kweli nimeamini ukiwa muislamu zile akili za asili za kutambua mema na mabaya zinaondoka zote zinabaki akili za kuran za kivampire
 
Zile za masheikh changanya na za kwako g'ombe wewe. Unaacha hoja unaongea umea. ACHENI UTUALISHA WATOTO WA MITAANI!!! Unatuletea elimu ya madrasa tena wkt iliisha fail zaidi ya kujenga chuki na kuleta mauaji duniani kote. Eti samsoni alikuwa mkristo wa kwanza kuua na wengine wanaiga tu. Kweli nimeamini ukiwa muislamu zile akili za asili za kutambua mema na mabaya zinaondoka zote zinabaki akili za kuran za kivampire

Sasa hebu jisome hapa.
Mimi nimekupa Andiko wewe unarusha mipasho ka mtoto wa Kopa!
Ajeeb.

Sasa LEO UNAKANA KUWA SAMSONI HAYUMO KWENYE BIBILIA? au SIO MKIRISTO!

Mbona nyie Makafiri mnakuwa hamna Aibu hata kidogo?
We Leo UNAIKANA BIBILIA YAKO?
 
Bill Cosby na Carlos Valderrama

Hamtaki kujifunza mambo mapya magumu na ya ajabu?

Hamtaki kujua nafasi ya ya uislamu nyakati za mwanzo za AA?

Hamtaki kujua marufuku ya udini ndani ya TANU?

Hamtaki kujua kwanini mashehe wengi walioshiriki harakati za uhuru walipewa vifungo vya nyumbani?

Hayo uloyataja hapo juu mtoto km wewe huna uwezo wa Kumfundisha yyt hapa.
Ulaghai na utapeli umetawala maisha yako.
Majigambo ya utajiri na umaarufu yamekutawala wakati we masikini km watanzania wengi tuliopo hapa.

Unajikweza hali huna kitu, unajipa vyeo wakati huna uwezo huo.

Unajiita MTUNZI wakati wewe bado ni tegemezi kwenye majasho ya wengine.

Umeulizwa Swali dogo sana Hapo juu umejitia wendawazimu kukaa kimya.

Nakuuliza tena HICHO KITABU CHAKO Kinapatikana KWENYE MADUKA GANI?

Nipe jibu acha Kutapeli watu wa Kingwendu usie na Soni.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom