Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushavurugwa wewe, Katibu mkuu wako wa chadema anasemaje kuhusu hili?Mohamed Said
Umesoma shule za wazungu hawa washe?
Uimara na uthabiti wa fikra za kibinadamu hupimwa kwa matokeo ya mapokeo ya watu katika mukdhada wa kifikra hizo,
Aghalabu dunia hutawaliwa na kuamuliwa na wenye akili nyingi, Lolote ulijualo katika fikra na mikingamo yako sivyo lililovyo,
Uafrika mbele ya mzungu ni ushenzi, na uzungu mbele ya muafrika ni utukufu.
Ninaamini Afrika haikukamilika uumbaji wake, pengine ni bara la giza, Uzungu ni nusu uungu, sikubaliani na ushenzi wa Mzungu.
Uafrika ni uungu halisi kwa mwafika, msipoteze utu wenu kwakuabudu umagharibi na ubeberu huku mkitukuza dini zilizoletwa kwa mahazi na kuacha UCHAWI ambao ndio dini za mababu zenu na ndio uafrika wenu.
Leo miaka milioni iliyopita, mzungu anawaabudisha nyinyi Waafrika kwa machapisho yake kuwa kuna Mungu wao na miungu yetu ni ushenzi? Miungu ya Afrika iliyotuletea mvua pasipo na mvua, Miungu ya Afrika iliyotushindia palipo na vita, Miungu ya Afrika iliyotupa uzima palipo na magonjwa, Miungu ya Afrika iliyotusimikia watawala palipo na hitaji hilo, Miungu ya Afrika iliyotusafirisha kwa sekunde tu hata tukitaka kwenda bara la Antaktiki.
Miungu ya Afrika yetu ni ushenzi na miungu ya mabeberu ni uungu mkuu? Leo tunauana kisa dini hizo za washenzi wa magharibi??
Aminini katika uafrika wenu, ustaarabu wa mwafirika wa kulogana na ulozi vidumishwe na kuboreshwa, huo ndio ustaarabu mkuu na utukufu wa Mwafrika, Amueni sasa kutotawaliwa mtakuwa huru, Mzungu atawaiga nyinyi badala ya nyinyi kumuiga yeye
Wewe kijana ukikua utabadilika. Bado umechanganyikiwa kwa sasa kwani hujijui umesimama wapi. Inakuweje sasa unajiita Yericko. Unajua chanzo cha hilo jina?...Aminini katika uafrika wenu, ustaarabu wa mwafirika wa kulogana na ulozi vidumishwe na kuboreshwa, huo ndio ustaarabu mkuu na utukufu wa Mwafrika, Amueni sasa kutotawaliwa mtakuwa huru, Mzungu atawaiga nyinyi badala ya nyinyi kumuiga yeye
Ushavurugwa wewe, Katibu mkuu wako wa chadema anasemaje kuhusu hili?
Tukavae magome, anza wewe kupeleka wanao wakatibiwe kwa waganga...pia usisahau kuwapiga chale mwili mzima
Wewe kijana ukikua utabadilika. Bado umechanganyikiwa kwa sasa kwani hujijui umesimama wapi. Inakuweje sasa unajiita Yericko. Unajua chanzo cha hilo jina?
Wewe kweli kituko. Hiyo avatar yako na jina lako linaonyesha ni kiwango gani umeukumbatia huo "umagharibi". Tambua hilo kwanza kabla hujaanza kujikanganya.Usipofushwe na umagharibi mkuu
Wewe kweli kituko. Hiyo avatar yako na jina lako linaonyesha ni kiwango gani umeukumbatia huo "umagharibi". Tambua hilo kwanza kabla hujaanza kujikanganya.
Hayo maneno inafaa ujiambie mwenyewe.Usifuate maisha ya kuhani, fuata neno la kuhani uishi katuka himaya yake iliyonona
Hayo maneno inafaa ujiambie mwenyewe.
Makala au upuuzi? Kumbuka kuna watu humu wa rika la wazazi wako.Umeielewa makala hii?
Haha..uzao wa binamu nyama ya hamu ni shida ..wepesi kujiona wasomi na wastaarabu kabla hawajaweza soma kitabu....KWANI DAKTARI HAKATI MABUSHA YA WATU WA RIKA LA BABA ZAO NA BABU ZAO.AU KUWAKATA WATU WA RIKA BIBI ZAO UVIMBE KTK NYETI ?HATA KUTIBU VICHAA WA RIKA LA BABA,NA BABU NI HIVYO HIVYO..HAPA JF NI MNAPAFANYIA MIZAHA NA KUPOST UPUUZI NA UAHLIFU WA KIDINI ILA NDIPO MNAPOTIBIWA WENDAWAZIMU WETU,AKILI ZA KIGAIDI NA UCHOCHEZI.Makala au upuuzi? Kumbuka kuna watu humu wa rika la wazazi wako.
Wewe mburula ni vyema ukakaa kimya badala ya kutoa ushuzi wako hapa. Sio wote ni uzao wa vichakani kama ulivyo.Haha..uzao wa binamu nyama ya hamu ni shida ..wepesi kujiona wasomi na wastaarabu kabla hawajaweza soma kitabu....KWANI DAKTARI HAKATI MABUSHA YA WATU WA RIKA LA BABA ZAO NA BABU ZAO.AU KUWAKATA WATU WA RIKA BIBI ZAO UVIMBE KTK NYETI ?HATA KUTIBU VICHAA WA RIKA LA BABA,NA BABU NI HIVYO HIVYO..HAPA JF NI MNAPAFANYIA MIZAHA NA KUPOST UPUUZI NA UAHLIFU WA KIDINI ILA NDIPO MNAPOTIBIWA WENDAWAZIMU WETU,AKILI ZA KIGAIDI NA UCHOCHEZI.
HAHA..kwani uzao wa binamu nyama ya hamu wanazaliwa vichakani...hata nabii na raisi huweza zaliwa vichakani km uchungu ulikuja wakiwa njiani.Ila si lazima wawe uzao haramu wa watu wa damu moja,wenye akili ndogo.Wewe mburula ni vyema ukakaa kimya badala ya kutoa ushuzi wako hapa. Sio wote ni uzao wa vichakani kama ulivyo.
Ni vizuri umetambua haraka kwamba wewe ni uzao wa vichakani. Ndio maana unatumia lugha ya mwathirika wa kichaa cha mbwa.HAHA..kwani uzao wa binamu nyama ya hamu wanazaliwa vichakani...hata nabii na raisi huweza zaliwa vichakani km uchungu ulikuja wakiwa njiani.Ila si lazima wawe uzao haramu wa watu wa damu moja,wenye akili ndogo.
Yesu alizaliwa ktk sehemu ya kulishia wanyama..akatuachia dini iliyofanikiwa sana duniani,dini yenye kila kitu kizuri duniani,dini ambayo ina silaha lakini hawazituu kiwendawazimu km upande mwingine.Ila kila mahali palipo na uzao wa Binamu nyama ya hamu, dada na kaka,mjomba na mpwa wana mataahira wengi sana na waharibifu kuliko na balaa kwa dunia kuliko rehema.Ni vizuri umetambua haraka kwamba wewe ni uzao wa vichakani. Ndio maana unatumia lugha ya mwathirika wa kichaa cha mbwa.
Wewe hujui maana ya ukristo kabisa, sasa usitake kujifanya unaijua hii dini sana. Kila mtu anaekuzidi kete unafikiria ni mwislam sio? Shwain weye.Yesu alizaliwa ktk sehemu ya kulishia wanyama..akatuachia dini iliyofanikiwa sana duniani,dini yenye kila kitu kizuri duniani,dini ambayo ina silaha lakini hawazituu kiwendawazimu km upande mwingine.Ila kila mahali palipo na uzao wa Binamu nyama ya hamu, dada na kaka,mjomba na mpwa wana mataahira wengi sana na waharibifu kuliko na balaa kwa dunia kuliko rehema.
Wewe unayejua umekusaidia nini.Kenge kweli kila kitu mnajua nyie halafu dini yenu hamuijui.Haha..mapumbavu yanayoshindwa hoja huwa yanatafuta namna ya kujifanya wapo upande wanaotaka ushambulia wakidhani inawaongezea uzito.Ukristu huwezi jua wewe kipofu wa akili roho inayokuongoza kwenda machinjio imekuwahisha ..km wale kondoo walioingiwa na mdudu kichwani anavyopiga kila kitu eti anakuna ubongo, hauna tofauti na cricket anayeingiliwa na minyoo matakoni na kupata kichaa kinachomfanya ajitupe kujiua ktk maji ili hao minyoo wakazaaneWewe hujui maana ya ukristo kabisa, sasa usitake kujifanya unaijua hii dini sana. Kila mtu anaekuzidi kete unafikiria ni mwislam sio? Shwain weye.
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Nimepekuwa mtandaoni sijaona kuwa Scotland ilikuwa na Malikia "Elizath".
Jee, unamjuwa Ilongo?