Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Siri ya Malkia Elizabeth wa Usikochi (UK), Kanisa Katoliki, Nyerere na Uhuru wa Tanganyika

Wanamajlis,
Ikiwa baadhi hamjasoma kitabu hiki kisomeni.

Kuna sura inaitwa, "Stick to Knitting. " Waandishi wanasema ikiwa wewe kazi yako ni kibarua wa fundi muashi fanya juhudi ujue vyema kupiga lipu, kunyoosha koplo na kuchanganya cement na udongo ili fundi wako akupe kazi kila siku.
 
hii sio formular ni mtazamo tu it can work or not
 
Ally Kombo,
Mie nilishampuuza siku nyingi yeye ndiye kashindwa kuwa mbali na mimi.
Naweka post kwa faida ya Wanamajlis pale nionapo kuna tija.

Hili kitabu binafsi kimenisaidia sana hasa sura: "Stick to Knitting."

Wanamajlis,
Najua hapa nyumbani vitabu shida na aghali sana lakini tujitahidini.
 
Ally Kombo,
Mie nilishampuuza siku nyingi yeye ndiye kashindwa kuwa mbali na mimi.

Naweka post kwa faida ya Wanamajlis pale nionapo kuna tija.

Hili kitabu binafsi kimenisaidia sana hasa sura: Stick to Knitting.

Wanamajlis,

Najua hapa nyumbani vitabu shida na aghali sana lakini tujitahidini.

Unampuuza mtu kisha unashinda kwenye mada yake kisha wasema anakufuatafuata, hahaa mzee una IQ ndogo kuliko,uzee wako,

Kauli yako inamaanisha "wewe" tu ndio mwenye leseni ya historia ya Tanganyika, na kwamba wengine wakiisimulia basi hao wanakufuatafuata.

Hahahaaa sitaki kukuita mpumbavu lakini upo kwenye kundi hilo na elewa upumbavu ni kipaji maalumu.
 
Mohamed Said ni msimuliz mzuri, tatizo katika historia bila kuweka udini haamini kuwa anaaminiwa.

haiwezekani dunia ya leo watu wote kua islam au kristian,hivyo hoja zijengwe kupitia dini zote ilikupata muongozo,ukiegemea upande wowote wa dini ni umefeli,hapa ndio panamshinda bwana mohamed
 
Last edited by a moderator:
haiwezekani dunia ya leo watu wote kua islam au kristian,hivyo hoja zijengwe kupitia dini zote ilikupata muongozo,ukiegemea upande wowote wa dini ni umefeli,hapa ndio panamshinda bwana mohamed

Kibaya zaidi hawa kina Ally Kombo, Ritz, nk wanamuona ni Ayatolllah wao
 
Last edited by a moderator:
Muanzisha topic amepewa heshima ati ni verified user, what stupidity is this?
 
Muanzisha topic amepewa heshima ati ni verified user, what stupidity is this?

We ni mpumbavu wa kiwango cha juu sana, hivi kuwa verified ni kupewa heshima au nikuwa unatumia jina lako halisi na unafahamika?
 
Muanzisha topic amepewa heshima ati ni verified user, what stupidity is this?

Ally Kombo, Ritz na Wanamajlis,
Jamaa wengi wametaka kujua nini kilitokea baada ya safari ya Nyerere UNO.
Kwa heshima yao naongeza kitu kidogo ili kukamilisha historia hii muhimu ingawa mimi naamini somo limeeleweka. Hapa chini ndipo nilipomalizia safari ya Nyerere UNO 1955:

“Siku iliyofuata ilikuwa Jumapili. TANU ilifanya mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja ambao ulihudhuriwa na umati ambao kamwe haukupata kuonekana Dar es Salaam. Inakisiwa zaidi ya watu 40,000 walikuja kutoka kila upande wa mji kumsikiliza Nyerere. Hakuna mtu aliyekuwa na raha ya kuandika kuhusu mkutano ule na safari ya kihistoria ya Nyerere kwenda Umoja wa Mataifa kuliko Mashado Plantan katika gazeti lake “Zuhra.” Mtambo wa gazeti wa Mashado Plantan uliokuwa Mtaa wa Ndanda, Mission Quarters ulichapisha nakala za ziada za gazeti hilo na toleo lote liliuzika."

Mashado Plantan inaaminika ndiyo mwandishi wa kwanza kumwandika Nyerere katika gazeti
lake la Zuhra akimtambulisha kwa wananchi kama ndiyo kiongozi mkuu wa TANU. Hii ilikuwa Agosti 1954 baada ya mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnautoglo Hall. (Nakala za gazeti hili zinapatikana Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, East Africana).

Baada ya mapokezi yale ya Nyerere na mwamko mpya uliogubika Tanganyika, Waingereza walijua kuwa siku zao zilikuwa zinahesabika. Father Walsh alimwambia Nyerere achague siasa au kazi ya ualimu. Kwa muda mrefu Abdul Sykes alikuwa akimwambia Nyerere ajiuzulu kazi na ashughulike na TANU lakini Nyerere alikuwa bado hajaamua.

Baada ya kuelezwa hivyo na kuandikiwa barua rasmi Nyerere aliichukua barua ile hadi kwa Mzee Mtamila ambae ndiye alikuwa rais wa TANU na Mzee Mtamila akaitisha mkutano wa Halmashauri Kuu na ile barua ikasomwa mbele yao.

Uamuzi uliofikiwa ulikuwa Nyerere na ajiuzulu na TANU itakuwa nyuma yake kwa hali na mali. Kati ya wajumbe wa Halmashauri Kuu walikuwa John Rupia, Bi Titi Mohamed na Bi. Tatu biti Mzee. Mkutano huu muhimu katika historia ya Nyerere ulifanyika nyumbani kwa Mzee Mtamila Mtaa wa Kipata na Sikukuu. Nyumba hii ilikuwa kwenye kona. Hivi sasa nyumba ile haipo tena imejengwa ghorofa.

Nyerere alijiuzulu ualimu na siku alipokuja mjini kutoka Pugu na basi la “Majigo” (basi hili lilipewa jina “Majigo” kwa kuwa mwenye basi lile alikuwa Muhindi ambae abiria akipanda anamnadia kwa kusema, “Majigo juu, majigo juu.” Yaani mzigo juu, mzigo juu) Nyerere moja kwa moja alikwenda ofisini kwa Abdul Sykes Kariakoo Market si mwalimu tena. Kituo cha basi la Majigo kilikuwa Mtaa wa Msimbazi na Agrrey. Nyerere alikaa nyumbani kwa Abdul Sykes na mkewe Bi. Mwamvua Mtaa wa Aggrey na Sikukuu kwa muda hadi TANU ilipompatia nyumba Magomeni.

Hapa ndipo katika nyumba ile miaka michache nyuma Abdul alijitahidi sana kumshawishi Chief David Kidaha Makwaia ajitoe alikokuwa aje TAA wamchague kuwa rais na kisha waunde TANU na yeye atakuwa rais wadai uhuru na ukipatikana yeye Chief Kidaha atakuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika.

Hii ndiyo historia ya TANU niijuayo mimi na nimeiandika katika kitabu cha Abdul Sykes (1998) kwa ajili ya kizazi kijacho.
Naamini ni baada ya kuandika historia hii ndipo katika kumbukumbu ya miaka 50 ya uhuru viongozi wetu waliamua kumtunuku Abdul Sykes medali pamoja na mdogo wake Ally.
 
We ni mpumbavu wa kiwango cha juu sana, hivi kuwa verified ni kupewa heshima au nikuwa unatumia jina lako halisi na unafahamika?

Sasa wewe mwerevu unapoleta pumba na uko verified itakuwaje kwa wale ambao sio verified? Unless there is something very seriously wrong.
 
Hivi mnajua kuea kuongea na mwanaharamu unapoteza muda wakoo

Huyu mwanaharamuu anadanganya watuu

Sijui katokea kijiji ganiii
 
Back
Top Bottom