Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Ask yourself among the registered voters how many of them are ccm members?
mie mwenyewe nilishangaa, manake siku ya kura unguja ilikuwa kiiimya ka usiku wa manane, hakuna movements, na jua lilikuwa kali sana, hizi kura zimepatikana vipi, nilijiuliza maswali mengi na kila ukiwapigia jamaa vituoni wanakwambia kuko shwari hakuna watu kabisa, watu walijifungia ndani wakiangalia zanzibar cable na series za kikoreaHilo linajulikana hakuna wapiga kura laki 2 waliojitokeza kupiga kura za maigizo zanzibar
Mimi hiyo nai support 100% na ni Halali kabisa. Kuanzia leo kwa Waumini wa kiislamu wapenda haki akiingia msikitini Shein basi watu watoke hata kama itakuwa watu washafunga sala. Ni haki kwa sababu, yeye anaingia msikitini kama ni raisi wa nchi na sio kama muumini, na ndio maana akija anaekewa nafasi yake maalumu hata kama atakuwa kachelewa anasubiriwa. Muumini hasubiriwi kwenye ibada, ni imamu tu ndiye anayesubiriwa. Kama anaingia kama ni raisi na ukweli sote tunaujuwa, tukibaki msikitini kusali nae tutakuwa ni wanafiki. Hili litamu effect sana kisaikolojia na itampelekea kukubali matakwa ya wananchi!Hivi la kukimbia nyumba ya ibada kisa aliyewasili si mwenzao likoje?
Kama ndivyo ilivyo nawashauri wasitumie vitabu vitakatifu katika kuapa wala wasitumie jina la MUNGU kuapa kwa Mungu ni mtakatifu na Amri kumi za Mungu moja wapo inasema 'tusilitaje jina la Mungu bure' yaani Mungu asihusishwe katika mambo maovu.Hii ndio tabia ya kumshirikisha shetani ktk mambo ya haki! Shetani lazima atakuaibisha tu! Ila kwa kitambo sasa ccm imemkumbatia sana shetani baada ya kuachana na Mola wao. Dhambi hizi lazima akina shein na Jecha wake wawaze kuwa hawako dunia hii milele! wataonja mauti na huko ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno!
si washaanza sema, anaona fahari kuongea na dr. sh.. na kupanga matokeo,Kila mtu anajua walipika data ngoja ipo siku wataumbuka wao wenyewe
siku gani tena mkuu ? ndiyo tayari wameumbuka hivi .Kila mtu anajua walipika data ngoja ipo siku wataumbuka wao wenyewe
Hakuna mwanaccm atakayeiona pepo , kama nadanganya nife sasa hivi kabla ya kumaliza kuandika .Kama ndivyo ilivyo nawashauri wasitumie vitabu vitakatifu katika kuapa wala wasitumie jina la MUNGU kuapa kwa Mungu ni mtakatifu na Amri kumi za Mungu moja wapo inasema 'tusilitaje jina la Mungu bure' yaani Mungu asihusishwe katika mambo maovu.
Mkuu mambo ya aibu haya usipime. Watu wa red cross walkuwa wanahojiwa wanasema toka wamefika hawakufanya kazi yoyote maana vituo vilikuwa vitupu na hakuna mtu wa kuanguka tofauti na uchaguzi wa oct ambapo zaid ya watu 100 walianguka nakupata huduma ya kwanza. Walikuwa wkihojiwa na Zenj FM hadi mtangazaji akatania kwamba kama hamjafanya kazi yoyote basi hamlipwi. Kwa hiyo kuna ushahidi mwingi sana kuthibitisha kuwa watu walioenda kupiga kura ni hardly 10%.hivi list ya matokeo ya kila kituo ikoje na hao watu laki 3 walioenda kupiga kura walipita njia gani ...mbona palikuwa kimya kutwa nzima ....KAILIMA RAMADHANI Alikuwa anahojiwa bila aibu anawaambia waandishi msione mlikuwa mnaenda vituoni mnakuta kimya ..kuna vituo vingi kufikia saa sita kura wengi walishapiga
Weka ushahidi hapa!