Tetesi: Siri ya Matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar yaja juu

Tetesi: Siri ya Matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar yaja juu

Ask yourself among the registered voters how many of them are ccm members?

According to you:
Total voters registered 503,580
Those who voted for Shein 299,982
Those who did not vote for Shein 28,345
Those who did not vote all 161,715
 
Hilo linajulikana hakuna wapiga kura laki 2 waliojitokeza kupiga kura za maigizo zanzibar
mie mwenyewe nilishangaa, manake siku ya kura unguja ilikuwa kiiimya ka usiku wa manane, hakuna movements, na jua lilikuwa kali sana, hizi kura zimepatikana vipi, nilijiuliza maswali mengi na kila ukiwapigia jamaa vituoni wanakwambia kuko shwari hakuna watu kabisa, watu walijifungia ndani wakiangalia zanzibar cable na series za kikorea
 
CCM wanajisumbua pale Zanzibar tena kwa hali hii ndiyo inajichimbia kaburi kabisaa.
 
ndo ishatoka hiyoooo......ngoja kesho aapishwe halafu uje tena uweke uzi kama huu...
 
Mungu yupo and one day , iko siku inakuja haina jina ambapo yote yatawekwa hadharani!!
 
maelezo mazuri.
kusikia kuzuri. ila habari kama hizi hatpaswi kukurupuka nazo. tuzipe jaribu la Muda.
ukweli haujawahi kufichwa. muda na mazingira yatatupa kila kitu.

kwa sasa habari hii itabaki kuwa tetesi au mtazamo wa mleta uzi, hadi pale facts za msingi zitakapodhihirika.
 
Hivi la kukimbia nyumba ya ibada kisa aliyewasili si mwenzao likoje?
Mimi hiyo nai support 100% na ni Halali kabisa. Kuanzia leo kwa Waumini wa kiislamu wapenda haki akiingia msikitini Shein basi watu watoke hata kama itakuwa watu washafunga sala. Ni haki kwa sababu, yeye anaingia msikitini kama ni raisi wa nchi na sio kama muumini, na ndio maana akija anaekewa nafasi yake maalumu hata kama atakuwa kachelewa anasubiriwa. Muumini hasubiriwi kwenye ibada, ni imamu tu ndiye anayesubiriwa. Kama anaingia kama ni raisi na ukweli sote tunaujuwa, tukibaki msikitini kusali nae tutakuwa ni wanafiki. Hili litamu effect sana kisaikolojia na itampelekea kukubali matakwa ya wananchi!
 
Umbea huu.... unaleta thread ya Copy and Paste duh
 
Tulimuona January Makamba huko nafikiri amechangia kwa asilimia kubwa matokeo hayo kufanywa hivyo kwani hats 25/10/2015 yeye ndiye aliyeongoza kumchakachua Lowasa hadi akajisahau jimboni kwake akafanya kituko juu ya kura za urais na ubunge
 
Hii ndio tabia ya kumshirikisha shetani ktk mambo ya haki! Shetani lazima atakuaibisha tu! Ila kwa kitambo sasa ccm imemkumbatia sana shetani baada ya kuachana na Mola wao. Dhambi hizi lazima akina shein na Jecha wake wawaze kuwa hawako dunia hii milele! wataonja mauti na huko ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno!
Kama ndivyo ilivyo nawashauri wasitumie vitabu vitakatifu katika kuapa wala wasitumie jina la MUNGU kuapa kwa Mungu ni mtakatifu na Amri kumi za Mungu moja wapo inasema 'tusilitaje jina la Mungu bure' yaani Mungu asihusishwe katika mambo maovu.
 
Kama ndivyo ilivyo nawashauri wasitumie vitabu vitakatifu katika kuapa wala wasitumie jina la MUNGU kuapa kwa Mungu ni mtakatifu na Amri kumi za Mungu moja wapo inasema 'tusilitaje jina la Mungu bure' yaani Mungu asihusishwe katika mambo maovu.
Hakuna mwanaccm atakayeiona pepo , kama nadanganya nife sasa hivi kabla ya kumaliza kuandika .
 
hivi list ya matokeo ya kila kituo ikoje na hao watu laki 3 walioenda kupiga kura walipita njia gani ...mbona palikuwa kimya kutwa nzima ....KAILIMA RAMADHANI Alikuwa anahojiwa bila aibu anawaambia waandishi msione mlikuwa mnaenda vituoni mnakuta kimya ..kuna vituo vingi kufikia saa sita kura wengi walishapiga
Mkuu mambo ya aibu haya usipime. Watu wa red cross walkuwa wanahojiwa wanasema toka wamefika hawakufanya kazi yoyote maana vituo vilikuwa vitupu na hakuna mtu wa kuanguka tofauti na uchaguzi wa oct ambapo zaid ya watu 100 walianguka nakupata huduma ya kwanza. Walikuwa wkihojiwa na Zenj FM hadi mtangazaji akatania kwamba kama hamjafanya kazi yoyote basi hamlipwi. Kwa hiyo kuna ushahidi mwingi sana kuthibitisha kuwa watu walioenda kupiga kura ni hardly 10%.
 
Weka ushahidi hapa!





Unatokea mbingu ipi wewe kiwavi wa Lumumba?
Dunia nzima haijawahi kushuhudia matokeo ya jumla ya urais yakitangazwa kwa pamoja.Utaratibu wa utangazaji wa matokeo ya urais duniani kote ni kuyatangaza kadri yanavyopokelewa toka majimboni,hata 25 Oktoba huyo bedui anayeiongoza zec alitangaza matokeo ya kila jimbo kabla ya kukurupuka na kuufuta uchaguzi baada ya kujikuta amekalia kitu chenye ncha Kali toka kwa Mh.Seif.Iweje huu wa juzi matokeo yatolewe jumla?

Akili zilizoathiriwa na viwavijeshi hukosa fursa ya kuchanganua mambo,muapisheni tu huyo Sheitwan wenu akatawale viwiliwili vya Wazanzibar,lakini Ukweli mioyo ya Wazanzibar haipo pamoja na utawala dharimu uliosimikwa kwa nguvu za Dora.
 
Shein anaonekana mcha Mungu kumbe Dictator! Kwa mtindo huu haya magamba ilikuwa yaue yeyote wakujitokeza barabarani kuyapinga.
 
Tunachagua cha kuamini na kusikia ili tupate faraja ya moyo.
 
Back
Top Bottom