Bila picha .... Hapana ni maneno ambayo hata kwenye Khanga yapo.Nina rafiki yangu yupo Arusha ni tour guide, kuna jambo huwa ananiambia kuhusu simu nyingi tunazotumia huku Tanzania.
Aliniambia kwamba simu nyingi tunazonunua kutoka kwenye soko la simu za Ulaya na Marekani ni Used au Refurbished. Na baadhi ya simu tunazoaminishwa kuwa ni Brand New, zikiwa kwenye mabox yanayofanana na ya kiwandani, zimefanyiwa ukarabati, kisha zikafungashwa upya na kuuzwa kama mpya.
Hapa nchini hatuna maduka official ya simu za Google, Iphone, na hata maduka mengine yanayojibranda yananunua simu hizo ulaya wengine huingia tamaa kuuza refurbished au used au kubadili spea kwenye simu mpya.
huwa anakutana na watalii wenye Google Pixel na iPhone zao. aliniambia kwamba picha wanazopiga kwa simu hizo zina quality ya ajabu! 🔥📸 kuanzia Details, sharpness, dynamic range na rangi za picha vinaonekana vizuri sana.
Wiki iliyopita nilikuwa Arusha, nikakutana naye na nikapata nafasi ya kujionea baadhi ya picha ambazo watalii wanamtumia kupitia email (watalii wengi email ) na picha hizo zinapopokelewa katika original quality,
Aisee! Nilipoziona hizo picha, zilikuwa za moto sana, nilibaki na maswali mengi. 😳📸
Kwa bahati mbaya, siwezi kuzishare hizo picha hapa kwa sababu ya privacy ya watu husika. 🙏🏽
Halafu hata ziwe simu used hazijafanyiwa marekebisho, simu used maana yake imeshatumika hata kwa miaka kadhaa. Sensor ya kamera huwa inachoka kadri muda unavyoenda, hasa ikikaa kwenye jua kali au ikitumika sana kurekodi video. Simu original ya mtalii inayotoka duka la Apple au Google inakuwa na sensor mpya kabisa yenye uwezo wa 100% kunasa kila undani wa picha.
Hata hivyo, sisemi kwamba kila simu tunayonunua huku ni refurbished, wala kwamba simu za used haziwezi kutoa picha nzuri. Ubora wa picha unategemea mambo mengi, ikiwemo sensor, lensi, software na hali halisi ya kifaa.
Lakini experience hii imenifanya niamini kwamba tunahitaji kuwa makini zaidi tunaponunua simu, hasa tunapoambiwa ni Brand New.
siwezi kuweka hapa, watu wapo kwenye hoteli za maporini wana enjoy maisha yaoBila picha .... Hapana ni maneno ambayo hata kwenye Khanga yapo.
Hadi nimeanza kufikiria simu yangu ijayo, ikiwezekana ninunue mpya, Brand New kutoka kiwandani.Simu nyingi hapa nchini tunapigwa, chache sana ni original, nimebahatika kupata simu kutoka nje aisee ulimwengu wao ndio naana ni wa kwanza sie hata hapo kwenye ulimwengu wa 3 naona tumependelewa tunatakiwa tukae ulimwengu wa 8 huko, wazungu wapo mbali katika mifumo yao kimaisha mpk tufike huko labda ni miaka 200 mbele
Weka zile ambazo hakuna sura za watu hatiwezi kuwa kesisiwezi kuweka hapa, watu wapo kwenye hoteli za maporini wana enjoy maisha yao
Ila nitafanya jitihada niweke za mtandaoni za kwenye review
simu zinazouzwa Vodacom pamoja na mitandao mingine ni mpya lakini zimepigwa kufuli kutumia laini za kampuni shindani, Hali hii inafanya simu kupata ugumu wa kuuzika mtaani (resale value) na ugumu wa kuhama au kutumia mtandao mwingine.Simu refurb zipo na mpya pia zipo, wapo Authorised dealers wa Apple Tanzania na Samsung, Vivo, Xiaomi pia wapo official.
Unafkiri iPhone wanayouza voda ama Tigo ni refurb?
Huyu naye hatambuliki??iPhone
Kila la heri mkuu, hata km ni huko ulaya hakikisha uinunue ikiwa ndo imetoka hata miezi 2-4 mpya pya unaipata,, andaa kibunda tu ila vitu vyao uhakikaHadi nimeanza kufikiria simu yangu ijayo, ikiwezekana ninunue mpya, Brand New kutoka kiwandani.
Maana hizi simu zilizojaa hata iwe used from UK na haijawahi kubadilishwa chochote, bado kuna vitu vimeshaanza kuchakaa na kupungua ubora kulingana na matumizi ya mmilikiwa wa kwanza na muda.
Ni sawa na magari tunayonunua yakiwa yameshatembea umbali unaolingana na safari 50 za Dar es Salaam hadi Mbeya. 😂🚗 huwezi kulinganisha na chuma kipya 0 kilometre.
Tumezoea sana kutumia vitu vya mtumba, kuanzia nguo za ndani, nguo za nje, mataulo, simu, tv, magari, n.k.
Afrika hakuna duka hata moja rasmi linalomilikiwa na kuendeshwa na kampuni ya Apple (Official Apple Store).Huyu naye hatambuliki??
Tanzania's only Apple Premium Reseller
The iStore offers the complete range of Apple products, including iMac, MacBook and Macbook Pro, Apple Displays and software together with the full range of iPod digital music players and iPod accessoriesstore.istore.co.tz
Ni original ila zilishatumikaSamsung lipo duka lao ila michina imecopy. Zoote zinauzwa kama njugu.
Iphone,ukiikuta refurbed ni chache mno na kutumia itakua ngumu sana.
Google pixel,Sony ndo kabisaa hawana hizo feature hewani.
Iphone hamna hata moja og hapo wanauziwa makopo tu,
Iphone pro Max 17 kwa sasa ipo ni 3000+usd hapo hujaja kwenye buirgnone 18 ni 4000+&.
Sasa masimu yamejazana hapo laki 5+6 kila Aina mnapigwa tu hamna simu hapo.
Ndiyo biashara ilivyoAfrika hakuna duka hata moja rasmi linalomilikiwa na kuendeshwa na kampuni ya Apple (Official Apple Store).
Ila kuna mawakala, ni maduka binafsi yanayojisimamia yenyewe kwenye mauzo na uhuru wa kupanga bei zao
SahihiUkinunua simu jitahidi ununue mpya, tena nenda maduka genuine achana na Kariakoo.
Kisha jitahidi kila mwezi uwe una-update simu yako, hakikisha kila kitu kiko very up to date.
Nakuhakikishia simu yako itakupa first class experience.
View attachment 3697235