Siri ya Pinda kuongezwa kwenye ‘Kikosi Kazi’ ni wajumbe kuelemewa na hoja ya Katiba Mpya

Tuko macho, mbinu hizo ni za kichawi, Katiba iliyopo Ina viraka vya kutosha, na Madaraka ya urais hayawezi kubadilishwa na kikosi KAZI kwenye Tume hiyo ya mchongo.

Tumewavumilia sana, bt kwenye suala la KATIBA mpya HATUTAVUMILIA tena, kama mnadhani wanaotaka Katiba ni CDM pekee mnajidanganya.

Makundi yafuatayo yanawachek Kwa ukaribu.

1.Matching guys.

2.Wanaccm waliotengwa na mfumo wa KULAMBA ASALI., Sukuma gang wakiwemo.

3. Waumini wa Dini mbalimbali ambao huwezi kuwaona majukwaani.

4.Wakulima wanaokandamizwa na mzigo wa Kodi na Bei kubwa za mbolea na vifaa.

5.Wana habari Kwa ujumla wao, n.k.

Kwa ufupi ni kundi dogo sana wanaopinga mchakato wa KATIBA kuanza sasa. Mtashindwa tu na sauti ya HAKI ktk Nchi. Amen
 
Kikozi kazi wanalipwa dola ngapi kwa saa?
 
Chadema wamewashika pabaya alafu pinda eti ndio aende akatulize miito ya katiba
 
Mkuu waandishi wa habari waondoe.
 
Sasa mtu kama Pinda anaushawishi gani huyu kwa jamii?
Haha labda humfahamu pinda vizuri yule bwana ni Kipenyo aliyekubuhu anaeza asiwe front lakini behind the doors anafanya vingi ni hivyo tu hawez chukua credit..
 
Tuongezeee!!!!

Wamachinga jeeeee? Watakuwemo humo humo?

Bodaboda ndiyo kabisa. Mfano yafanyike maandamano ya amani kila mkoa au wilaya kutaka Katiba Mpya, serikali hawataamini huo umati wa watu. Watajua kweli hii nchi wanaendesha kwa ubabe.

Wafanyakazi nao wanakazia Katiba mpya.

Wagongwa mahospital wanapiga magoti kuomba Katiba mpya.

Madalali msiwahesabie hawa ndio watu wao. Hawa wapo kwa kazi maalumu. Ndiyo maana wanajiamini Kama Usalama wa Taifa.

CCM Kama wako vizuri na raia si waruhusu mcakato wa Katiba mpya ya Warioba uendelee ili wananchi wawachague chama zilipendwa?
 
 
Lakini hii wataendelea ku- buy time mpaka lini ?!!!
 
Hawataki KATIBA mpya bt watalazimishwa, Eti wanawaza uchaguzi mkuu, Yaani Kwa uchaguzi Ule MWANANCHI Gani au Chama Gani kinaweza kwenda kwenye uchaguzi na maumivu Yale???

KATIBA mpya kwanza, uchaguzi usubirie mchakato ukamilike, Wanaowaza uchaguzi ni wanufaika wa wizi wa kura na kujipatia madaraka Kwa HILA bila ridhaa ya wananchi. Amen
 
Mchakato ndio ulikuwa umefika ukingoni wakati ulipohujumiwa na mafisadi!! Mpaka leo hawajasema kwanini walihujumu!! Kazi iliyobakia ilikuwa ndogo sana na hapo ndio wanatakiwa wamalizie sio kuanza upya!
Rasimu ile ya Warioba ilibakia kupigiwa kura na wananchi tu !! Ni ufujaji wa kodi za wananchi tu kuanzisha mchakato upya !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…