Siri ya Pinda kuongezwa kwenye ‘Kikosi Kazi’ ni wajumbe kuelemewa na hoja ya Katiba Mpya

Siri ya Pinda kuongezwa kwenye ‘Kikosi Kazi’ ni wajumbe kuelemewa na hoja ya Katiba Mpya

Hawa watawala wa Sasa na chama Chao TAWALA,pamoja na wanaofaidika zaidi na hii Katiba Mbovu iliyopo kwa Sasa wanasingizia kwamba muda uliopo mpaka kufika 2025 ati Ni mfupi kutengeneza Katiba mpya.Hawa wanataka ku-Buy time.Na Kama muda hautoshi,Basi Kiundwe kikosi kazi Cha watu MAKINI ambao Sio wanasiasa wafanye marekebisho ya ukweli kwenye tume ya uchaguzi iwe huru.Pia wagombea binafsi waruhusuwe.Pia madaraka ya Rais kwenye Hiyo time huru ya uchaguzi yapunguzwe Ili Yeye asiwe ndio Mwenye final say.Pia wafanyakazi wa tume wasiwe waajiriwa wa Serikali au walioteuliwa na watawala na chama Chao TAWALA Kama walivyofanya kuteua wajumbe wa lile Bunge la Katiba la hayati SITA.Pia vyombo vya ulinzi na usalama wasitumike kuwatetea na kukilinda chama TAWALA wakati wa uchaguzi,Bali vilinde vyama vyote vilivyopo kisheria na WANANCHI na bila KUJALI Itikadi zao.
Tuko macho, mbinu hizo ni za kichawi, Katiba iliyopo Ina viraka vya kutosha, na Madaraka ya urais hayawezi kubadilishwa na kikosi KAZI kwenye Tume hiyo ya mchongo.

Tumewavumilia sana, bt kwenye suala la KATIBA mpya HATUTAVUMILIA tena, kama mnadhani wanaotaka Katiba ni CDM pekee mnajidanganya.

Makundi yafuatayo yanawachek Kwa ukaribu.

1.Matching guys.

2.Wanaccm waliotengwa na mfumo wa KULAMBA ASALI., Sukuma gang wakiwemo.

3. Waumini wa Dini mbalimbali ambao huwezi kuwaona majukwaani.

4.Wakulima wanaokandamizwa na mzigo wa Kodi na Bei kubwa za mbolea na vifaa.

5.Wana habari Kwa ujumla wao, n.k.

Kwa ufupi ni kundi dogo sana wanaopinga mchakato wa KATIBA kuanza sasa. Mtashindwa tu na sauti ya HAKI ktk Nchi. Amen
 
Kazi kubwa ya Kikosi Kazi cha Rais ni kupata maoni kuhusu kudorora kwa Hali ya Demokrasia nchini lkn yenyewe imejikita zaidi kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya.

Baada ya Kikosi Kazi kupendekeza katiba isubiri hadi 2025 wajumbe waligawanyika kuna wanaotaka mchakato uanze sasa na kuna wanaosema usubiri.

Pamoja na hayo maoni mengi ya wadau wanaohojiwa na Kikosi Kazi yanapendekeza kuanza mapema kwa mchakato wa Katiba, wanadai kama hoja ni muda au gharama waendelee ilipoishia Tume ya Warioba, hoja ambayo wanaotaka katiba isubiri wameshindwa kuijibu.

“Kuna wakati Kikosi Kazi huwa kinaelemewa na hoja za wanaokuja kutoka maoni hivyo wanaamini uwepo wake na uzoefu wake utasaidia kuongeza utulivu.” Profesa Rwekaza Mkandara.

Pinda alizima hoja ya Zanzibar ni nchi au siyo nchi, kaletwa kujaribu kuzima hoja ya Katiba mpya ni sasa au isubiri baada ya uchaguzi, je atafanikiwa? yetu macho na masikio.
Kikozi kazi wanalipwa dola ngapi kwa saa?
 
Chadema wamewashika pabaya alafu pinda eti ndio aende akatulize miito ya katiba
 
Tuko macho, mbinu hizo ni za kichawi, Katiba iliyopo Ina viraka vya kutosha, na Madaraka ya urais hayawezi kubadilishwa na kikosi KAZI kwenye Tume hiyo ya mchongo.

Tumewavumilia sana, bt kwenye suala la KATIBA mpya HATUTAVUMILIA tena, kama mnadhani wanaotaka Katiba ni CDM pekee mnajidanganya.

Makundi yafuatayo yanawachek Kwa ukaribu.

1.Matching guys.

2.Wanaccm waliotengwa na mfumo wa KULAMBA ASALI., Sukuma gang wakiwemo.

3. Waumini wa Dini mbalimbali ambao huwezi kuwaona majukwaani.

4.Wakulima wanaokandamizwa na mzigo wa Kodi na Bei kubwa za mbolea na vifaa.

5.Wana habari Kwa ujumla wao, n.k.

Kwa ufupi ni kundi dogo sana wanaopinga mchakato wa KATIBA kuanza sasa. Mtashindwa tu na sauti ya HAKI ktk Nchi. Amen
Mkuu waandishi wa habari waondoe.
 
Sasa mtu kama Pinda anaushawishi gani huyu kwa jamii?
Haha labda humfahamu pinda vizuri yule bwana ni Kipenyo aliyekubuhu anaeza asiwe front lakini behind the doors anafanya vingi ni hivyo tu hawez chukua credit..
 
Tuko macho, mbinu hizo ni za kichawi, Katiba iliyopo Ina viraka vya kutosha, na Madaraka ya urais hayawezi kubadilishwa na kikosi KAZI kwenye Tume hiyo ya mchongo.

Tumewavumilia sana, bt kwenye suala la KATIBA mpya HATUTAVUMILIA tena, kama mnadhani wanaotaka Katiba ni CDM pekee mnajidanganya.

Makundi yafuatayo yanawachek Kwa ukaribu.

1.Matching guys.

2.Wanaccm waliotengwa na mfumo wa KULAMBA ASALI., Sukuma gang wakiwemo.

3. Waumini wa Dini mbalimbali ambao huwezi kuwaona majukwaani.

4.Wakulima wanaokandamizwa na mzigo wa Kodi na Bei kubwa za mbolea na vifaa.

5.Wana habari Kwa ujumla wao, n.k.

Kwa ufupi ni kundi dogo sana wanaopinga mchakato wa KATIBA kuanza sasa. Mtashindwa tu na sauti ya HAKI ktk Nchi. Amen
Tuongezeee!!!!

Wamachinga jeeeee? Watakuwemo humo humo?

Bodaboda ndiyo kabisa. Mfano yafanyike maandamano ya amani kila mkoa au wilaya kutaka Katiba Mpya, serikali hawataamini huo umati wa watu. Watajua kweli hii nchi wanaendesha kwa ubabe.

Wafanyakazi nao wanakazia Katiba mpya.

Wagongwa mahospital wanapiga magoti kuomba Katiba mpya.

Madalali msiwahesabie hawa ndio watu wao. Hawa wapo kwa kazi maalumu. Ndiyo maana wanajiamini Kama Usalama wa Taifa.

CCM Kama wako vizuri na raia si waruhusu mcakato wa Katiba mpya ya Warioba uendelee ili wananchi wawachague chama zilipendwa?
 
kazi ipo bora ingekuwa kibarua tungelipwa kutwa lakini kazi lazima ukopwe nguvu zako mpaka mwisho wa mwezi!
binafsi nawahurumia vijana kiufupi watawala hawawapendi na hawako tayari kuwaandaa kushika nchi bali wamejipanga kuendelea kuwapa nchi watoto wao na vizazi vyao hata kama damu itamwagika huo ndio ukweli.
na kwa kufanya hivyo wameamua kuwafanya vijana wengi wawe wajinga kwa kuhakikisha wanawajibu maswali magumu kwa majibu rahisi.
  • hebu fikiria kama biashara za umachinga zinalipa kwanini watoto wao hawazifanyi
  • kama boda boda inalipa kwanini watoto wao hawafanyi
  • na kama mziki unalipa ushawahi kuwaona na watoto wao wakiwa wanamuziki
  • zindukeni vijana shauri zenu mkizubaa ukubwani mtakosa hekima na mtatawaliwa milele na umaskini hautaondoka kwenu.
 
Hawawezi kuwaweka watu ambao ni free thinkers. Makamu wa Kwanza wa Rais ZNZ alikuwa Attorney General wa SMZ wakati wa mchakato wa Katiba Mpya ya Warioba, aliwaumbua SMZ kwenye Bunge la Katiba mpaka akafukuzwa na kazi! Wanajua, ukiweka radicals utapata radical ideas.
Lakini hii wataendelea ku- buy time mpaka lini ?!!!
 
Tuongezeee!!!!

Wamachinga jeeeee? Watakuwemo humo humo?

Bodaboda ndiyo kabisa. Mfano yafanyike maandamano ya amani kila mkoa au wilaya kutaka Katiba Mpya, serikali hawataamini huo umati wa watu. Watajua kweli hii nchi wanaendesha kwa ubabe.

Wafanyakazi nao wanakazia Katiba mpya.

Wagongwa mahospital wanapiga magoti kuomba Katiba mpya.

Madalali msiwahesabie hawa ndio watu wao. Hawa wapo kwa kazi maalumu. Ndiyo maana wanajiamini Kama Usalama wa Taifa.

CCM Kama wako vizuri na raia si waruhusu mcakato wa Katiba mpya ya Warioba uendelee ili wananchi wawachague chama zilipendwa?
Hawataki KATIBA mpya bt watalazimishwa, Eti wanawaza uchaguzi mkuu, Yaani Kwa uchaguzi Ule MWANANCHI Gani au Chama Gani kinaweza kwenda kwenye uchaguzi na maumivu Yale???

KATIBA mpya kwanza, uchaguzi usubirie mchakato ukamilike, Wanaowaza uchaguzi ni wanufaika wa wizi wa kura na kujipatia madaraka Kwa HILA bila ridhaa ya wananchi. Amen
 
Mchakato ndio ulikuwa umefika ukingoni wakati ulipohujumiwa na mafisadi!! Mpaka leo hawajasema kwanini walihujumu!! Kazi iliyobakia ilikuwa ndogo sana na hapo ndio wanatakiwa wamalizie sio kuanza upya!
Rasimu ile ya Warioba ilibakia kupigiwa kura na wananchi tu !! Ni ufujaji wa kodi za wananchi tu kuanzisha mchakato upya !!
 
Back
Top Bottom