Gesi yenyewe toka walipoa anza kutuadi utafikiri sisi walisha tuweka ni watoto.Upo wa gas ya mtwara mkuu usihofu mambo poa kabisa,hapa kazi tu.
Uzalendo bila wao kuwajibika inabidi ikiwezekana tupitishe sheria ya viboko kwa viongoziAlafu wanakwambia uwe mzalendo pesa wale wengine mzigo tubebeshwe watanzania maskini huwezi kua mzalendo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nchi hii ni ya kitapeli sana.Gesi yenyewe toka walipoa anza kutuadi utafikiri sisi walisha tuweka ni watoto.
Hadi ikafika wakati nikawaza hii nchi hatuna viongozi tunaongozwa Na madalali.
Saizi hamna kiongozi anaye aminika unakuta swala moja kila mtu anaongea anavyo jua yeye.Nchi hii ni ya kitapeli sana.
Mwananchi amekuwa kama punda, kila mzigo ni wake na ni lazima aubebe, atake asitake , ni lazima ufike ukate tamaa usikate tamaa is up to you, lakini yale mambo wanayo yataka wao lazima yatimie hata kama utakufa.Ndipo tulipo fikia.Saizi hamna kiongozi anaye aminika unakuta swala moja kila mtu anaongea anavyo jua yeye.
Inamaana hapo hata wao wenyewe inaonyesha wemeanza kutoaminiana.
hvi magu huku tinesiko amekufumbia macho
Tupo kwenye wakati mgumu kupita kawaida wanasema ni bora punda afe ila mzigo ufike.Mwananchi amekuwa kama punda, kila mzigo ni wake na ni lazima aubebe, atake asitake , ni lazima ufike ukate tamaa usikate tamaa is up to you, lakini yale mambo wanayo yataka wao lazima yatimie hata kama utakufa.Ndipo tulipo fikia.
Haki ikipotea Taifa huanguka.Tupo kwenye wakati mgumu kupita kawaida wanasema ni bora punda afe ila mzigo ufike.
Hilo mkuu linaweza likawa ni kweli hata kama sio leo.Haki ikipotea Taifa huanguka.
Siyo leo ndiyo, lakini huko mbele nakuhakikishia watu hawatasubiri wala kuvumilia maana mambo yatakuwa tight sana hapatakuwa na namna.Kutakuwa na shida sana mkuu,mtu ataona bora afe kuliko kusikiliza usanii na story kama hizi zilizopo ambazo ndizo zimekuwa wimbo wa miaka nenda rudi.Chuki itaongozeka watu hawatasikiliza tena huu upuuzi.Hilo mkuu linaweza likawa ni kweli hata kama sio leo.
Hilo ndo sehemu yao iliyobaki ya kuvuna,hawawezi.Hivi hakuna uwezekano wa kuwa na mashirika mengi ya umeme kama yalivyo makampuni ya mitandao ya simu?
Mwananchi amekuwa kama punda, kila mzigo ni wake na ni lazima aubebe, atake asitake , ni lazima ufike ukate tamaa usikate tamaa is up to you, lakini yale mambo wanayo yataka wao lazima yatimie hata kama utakufa.Ndipo tulipo fikia.
Mkuu tatizo ni kuwa Tanesco wako na vitu visivyoamishika mfano Majengo yanaweza taifiswa na mahakama alafu yakaripa madeni wafanyakazi wa Tanesco nchi mzima wakaanza kupangaWanajamvi amani iwe kwenu
Kwa maoni yangu kutokana na Tanesco kukabwa koo kisheria na standard charted bank ya Hong kong juu ya IPTL kuhusu malipo ambayo ni mzigo mkubwa mno kwa wananchi wanyonge hivyo ili kukwepa hilo, Serikali iitangaze mufilisi jina la Tanesco kwa hisa zote 100% na kuanzisha taasisi ya uzalishaji nguvu za umeme Tanzania kwa share mpya na kuchonganisha ushindani hilo linaweza kusaidia kisheria kuwepa limzigo likubwa mno na kusaidia wananchi, maana sasa Tanesco inabanwa sana na wale wa kule mbali kwa mikataba ilioingia bila kustukia harufu ya baadae