Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kuna hitaji moja ni changamoto kwakuwa linagusa kila kiumbe hai na linayumbisha sana maisha1. Kuwa na nidhamu na pesa
Kumwomba Mungu ndio uchawi wenyewe bossHujaweka UCHAWI?
This is common in Africa
Kubeti kunapunguza uwezo na nguvu ya kufikiri.Kubeti kumepewa odds ngapi?
Wewe hutaki huo utajiri?
Sasa hapa tunaweza kuwa marafiki maana changamoto nilionayo Sina marafiki wakunijenga wote nimewaweka kando naitaji kupiga Hatua kubwa zaidi mbele yangu fanya msaada wa namba yako 📥🙏Siri kubwa ya mafanikio katika maisha ni:
1. Kuwa na nidhamu na pesa,
2. Kuwa na marafiki wa kukujenga,
3. Kumuomba Mungu huku ukifanya kazi kwa bidii,
4. Tumia muda wako kufanya kazi; Kama ni biashara hakikisha unatumia muda wako katika biashara hiyo.
Naomba tumalizie hapa hasa sisi vijana:
Kusema kwamba matajiri walianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, ukweli ni kwamba wapambanaji hawakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, wengine walianza na elfu 30 pekee na wengine hata mtaji wa sifuri (0).
nasubiri comments kutoka kwa Mo na Bakhresa, la sivyo huu uzi ni chaiSiri kubwa ya mafanikio katika maisha ni:
1. Kuwa na nidhamu na pesa,
2. Kuwa na marafiki wa kukujenga,
3. Kumuomba Mungu huku ukifanya kazi kwa bidii,
4. Tumia muda wako kufanya kazi; Kama ni biashara hakikisha unatumia muda wako katika biashara hiyo.
Naomba tumalizie hapa hasa sisi vijana:
Kusema kwamba matajiri walianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, ukweli ni kwamba wapambanaji hawakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, wengine walianza na elfu 30 pekee na wengine hata mtaji wa sifuri (0).
ukioa mke ana tako kubwa hutakosa stress, kila mwanaume atataka kuona mpikoBongo demu akiwa na Tako tayari ni tajiri