Siri ya utajiri: Hizi ndio siri nne zitakazo kufanya uwe tajiri

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Siri kubwa ya mafanikio katika maisha ni:
1. Kuwa na nidhamu na pesa,

2. Kuwa na marafiki wa kukujenga,

3. Kumuomba Mungu huku ukifanya kazi kwa bidii,

4. Tumia muda wako kufanya kazi; Kama ni biashara hakikisha unatumia muda wako katika biashara hiyo.

Naomba tumalizie hapa hasa sisi vijana:
Kusema kwamba matajiri walianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, ukweli ni kwamba wapambanaji hawakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, wengine walianza na elfu 30 pekee na wengine hata mtaji wa sifuri (0).

Onyo usibeti: Kubeti kunapunguza uwezo na nguvu ya kufikiri.
 
Dah hao wadada kwenye avatar yako wanafaa kabisa kuwapigia nyeto, siyo kwa matako hayo [emoji39]
 
Siri kubwa ya mafanikio katika maisha ni:
1. Kuwa na nidhamu na pesa,

2. Kuwa na marafiki wa kukujenga,

3. Kumuomba Mungu huku ukifanya kazi kwa bidii,

4. Tumia muda wako kufanya kazi; Kama ni biashara hakikisha unatumia muda wako katika biashara hiyo.

Naomba tumalizie hapa hasa sisi vijana:
Kusema kwamba matajiri walianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, ukweli ni kwamba wapambanaji hawakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, wengine walianza na elfu 30 pekee na wengine hata mtaji wa sifuri (0).
Sasa hapa tunaweza kuwa marafiki maana changamoto nilionayo Sina marafiki wakunijenga wote nimewaweka kando naitaji kupiga Hatua kubwa zaidi mbele yangu fanya msaada wa namba yako 📥🙏
 
Siri kubwa ya mafanikio katika maisha ni:
1. Kuwa na nidhamu na pesa,

2. Kuwa na marafiki wa kukujenga,

3. Kumuomba Mungu huku ukifanya kazi kwa bidii,

4. Tumia muda wako kufanya kazi; Kama ni biashara hakikisha unatumia muda wako katika biashara hiyo.

Naomba tumalizie hapa hasa sisi vijana:
Kusema kwamba matajiri walianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, ukweli ni kwamba wapambanaji hawakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, wengine walianza na elfu 30 pekee na wengine hata mtaji wa sifuri (0).
nasubiri comments kutoka kwa Mo na Bakhresa, la sivyo huu uzi ni chai
 
Utajiri tena? Tajiri yupi unamjua alianza na hii mitaji ya nyanya akatoboa? yupo(wapo) taja.

Hakuna kanuni iko true kwa kila mtu au katika kila context.Najua lengo ni kukumbushana lakini hizi sababu zako haziko true in every context.

Nimezaliwa nakuona watu wakitia juhudi bado unaona mambo yanagoma,nimeona pia watu wakiweka juhudi kidogo lakini mafanikio debe(maana yangu ni kwamba maisha yetu hapa duniani ni ubatili mtupu)

Kikubwa tu kuomba Mungu(kwa wanao amini) na kuishi tu hii ndio siri ya utajiri
 
Back
Top Bottom