Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Siri kubwa ya mafanikio katika maisha ni:
1. Kuwa na nidhamu na pesa,
2. Kuwa na marafiki wa kukujenga,
3. Kumuomba Mungu huku ukifanya kazi kwa bidii,
4. Tumia muda wako kufanya kazi; Kama ni biashara hakikisha unatumia muda wako katika biashara hiyo.
Naomba tumalizie hapa hasa sisi vijana:
Kusema kwamba matajiri walianza na mtaji wa mamilioni kadhaa unajidanganya, ukweli ni kwamba wapambanaji hawakuanza na mtaji wa milioni, laki moja wala elfu 50, wengine walianza na elfu 30 pekee na wengine hata mtaji wa sifuri (0).
Onyo usibeti: Kubeti kunapunguza uwezo na nguvu ya kufikiri.