little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,465
- 4,862
Yah kabisa mfano hicho kisa nilichokupa yule agent kiukweli alikuwa mpole hadi wenzake wakawa wanamtania endelea kutukana wanamcheka yeye kimya kabisa.Siri ya kushinda ni kuwa detached tu
Wengi hudhani kujizana ni kumkomoa kumbe una haribu siku yako na unajishushia point kwa yule unaye Jibizana nae.
You can not even apply what you are delivering, be humble be smartWewe ishi kuliko toka, unajua umeleta negative vibes alaf unajifanya guru! Mpuuzi tu. Sasa kama unayajua haya kwanini ulijibu ushenzi mwanzo? Kwanini ukiweka kejeli?
Yes, wanajua kupoteza energy kwenye ujinga ni kuharibu siku yako. Hata yale unavyotaka kufanya hayasogei kwa sababu umakini unakuwa umepunguaYah kabisa mfano hicho kisa nilichokupa yule agent kiukweli alikuwa mpole hadi wenzake wakawa wanamtania endelea kutukana wanamcheka yeye kimya kabisa.
Noma sana aisee.
I had no right to control it, especially to a decpeticon like you. You knew the impact of your actions but still did it anyway.You can not even apply what you are delivering, be humble be smart
Emotional intelligence is all about controlling negative vibes
Wewe maadam ulimgundua ,unge stick kwenye falsafa yako asikutoe kwenye shape yakoSkia, sijapannic wala nini huyo amkeja na gia ya kujaribu mtu, ni ujinga wa hali ya juu. So alitegemea ni mwache wapite smoothly.
Kuna tofauti kati ya mtu anaye taka kujifunza na mpuuzi analeta drama
Endelea kujitekenya kwa ID fakeHapana nimemwonesha kuwa sio kila anayefanya mjinga huwa a akubali kufanyia upuuzi kila muda. Arudi aliiko tokea
NotedKachambe washamba wenzako, dumbass