Kwa waliowahi kudeal na wamachinga hii stratergy ya CCM iko simple sana. target yao ilikuwa kulipana laki 3 kwa siku, which was about 3 times higher than the normal sitting allowance ya wabunge waliokuwa wanalalamikiwa kutwa kucha kuwa wanalipwa sana.
The only way to psychologically let wadanganyika waone wameshinda ni kwa serikali kutangaza/ ku-release rumors kuwa kiwango ni laki 7. ofcourse kila mtu atapanick na kulaani ushenzi huu.Then watai-revise kurudi laki 3, wananchi watawapongeza CCM kwa kuwasikiliza na kushusha kiwango not knowing that they we taken for a ride anyways.
sitashangaa Mwigulu na wenzake wakipongezwa kwa msimamo wao wa kuweka kiwango kuwa laki 3. Taifa la kusadikika tunahitaji inter-galactic intervention.
Halafu machadema yamekaa yakijiita mapinzani, while being toyed around like this by CCM, unless they are part of this whole cahoot.
our stupidity is way past the infinite level expected of Human stupidity.