Siri ya vuja posho bunge la katiba,Mwigulu azuia hazina kutoa posho z ya laki 7,fao la jumla ml 5

Siri ya vuja posho bunge la katiba,Mwigulu azuia hazina kutoa posho z ya laki 7,fao la jumla ml 5

serikali iliyofirisika itamlipa nani hata zaidi ya laki tatu hawasemi ukweli Mwigulu ni nani hazina huyu Kikwete anaokoteza vipelelete yaani huyu anajiona zaidi ya Saada sasa kweli vipofu huongoza vipofu wenzao
 
ndugu waongeze kwenye list na wale waroho akina lema, mbowe, sugu, msigwa na halima mdee. Naona mnashindwa kumeza mate, kusikia mwigulu kaweka ngumu.


Kweli kazi bado mnayo! Itabidi hiyo hela ipelekwe kwenye kampeni huko Kalenga ndiyo maana yake. Kwa hiyo kazi yenu magamba ni kuficha hiyo siri!
 
Tema Mate

Mwigulu hawezi kuwa na Busara kwa kiwango hiko.
Nenda kwadanaganye nyumbu wa Lumumba, Hapa umenoaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu anapambana na kamati ya Kina Mbowe inayolazimisha Posho iongezeke. Mungu akubariki Mh. Mwigulu.

Mbowe yupok wenye kamati ya kuongeza posho wakati Katibu Mkuu wa CHADEMA anasema posho zikipanda ataandamana!

Posho zitatugawa.Kama kweli Mwigulu kasimamia hili basi ana haki ya kuvaa bendera ya Taifa shingoni mwake.
 
Rais Kikwete!
Fukuza hao watu wanaotaka malaki ya pesa kwa ajili tu ya kupitia hiyo rasimu kwenye bunge la katiba.
Kuna watanzania (wazalendo) kibao ambao wanaweza wakafanya kazi hiyo kwa ufanisi zaidi huku ukiwalipa TShs 80,000 per day!
Mimi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri asiongeze posho za wabunge hao - wanazolipwa zinatosha. Kama Raisi atakubaliana na matakwa ya wabunge hao ya laki saba, atawaambia nini wafanyakazi na wataalamu wa nchi hii wakiomba nao waongezewe mishahara. Maana hapo kutakuwa hamna sababu ya kusema nchihii ina hali mbaya ya kifedha na haina uwezo wakuwaongezea wafanyakazi malipo sitahiki yanayoendana na kupanda gharama za mahitaji muhimu/maisha. Kama ni kufunga mkanda tufunge sote. Sio walio wengi waambiwe kufunga mkanda maana serikali haina uwezo wa kuwalipa vizuri na wachache wasifunge mkanda wakombe fedha ambazo zingewaletea walio wengi maendeleo. Raisi akiongeza hizo posho hatakuwa na la kuwaambia wafanyakazi na wataalamu na wapiga kura wa nchi hii.
 
Uzuri wa mwigulu hua atafunagi maneno pale anapo amini kinacho taka kufanyika sio sahihi,raisi makini huwasikiliza wananchi wake,pale tu linapo tokea swala la msingi,sasa ngoja tuone,
 
Basi tuambie wewe nani alizuia? Na angepitisha unafikiri zisingepatikana? Wakati mwingine tuache chuki za kisiasa mkuu.

simjui aliyezuia migulu ni naibu waziri kuna waziri wa fedha mwigulu hakuingia kwenye kikao kama mwigulu aliingia kama mwakilishi toka hazina kuna makatibu wakuu na wakurugenzi wa vitengo mbali mbali waziri na manaibu waziri ni viongozi wa kisiasa ukishajua jua hayo ndio utajua naamanisha nini usiwe unakurupuka
 
Kwa waliowahi kudeal na wamachinga hii stratergy ya CCM iko simple sana. target yao ilikuwa kulipana laki 3 kwa siku, which was about 3 times higher than the normal sitting allowance ya wabunge waliokuwa wanalalamikiwa kutwa kucha kuwa wanalipwa sana.

The only way to psychologically let wadanganyika waone wameshinda ni kwa serikali kutangaza/ ku-release rumors kuwa kiwango ni laki 7. ofcourse kila mtu atapanick na kulaani ushenzi huu.Then watai-revise kurudi laki 3, wananchi watawapongeza CCM kwa kuwasikiliza na kushusha kiwango not knowing that they we taken for a ride anyways.

sitashangaa Mwigulu na wenzake wakipongezwa kwa msimamo wao wa kuweka kiwango kuwa laki 3. Taifa la kusadikika tunahitaji inter-galactic intervention.

Halafu machadema yamekaa yakijiita mapinzani, while being toyed around like this by CCM, unless they are part of this whole cahoot.

our stupidity is way past the infinite level expected of Human stupidity.
 
Back
Top Bottom