Thrombocytes
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 401
- 30
Nina zake mwigulu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugu waongeze kwenye list na wale waroho akina lema, mbowe, sugu, msigwa na halima mdee. Naona mnashindwa kumeza mate, kusikia mwigulu kaweka ngumu.
Mwigulu anapambana na kamati ya Kina Mbowe inayolazimisha Posho iongezeke. Mungu akubariki Mh. Mwigulu.
Mimi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri asiongeze posho za wabunge hao - wanazolipwa zinatosha. Kama Raisi atakubaliana na matakwa ya wabunge hao ya laki saba, atawaambia nini wafanyakazi na wataalamu wa nchi hii wakiomba nao waongezewe mishahara. Maana hapo kutakuwa hamna sababu ya kusema nchihii ina hali mbaya ya kifedha na haina uwezo wakuwaongezea wafanyakazi malipo sitahiki yanayoendana na kupanda gharama za mahitaji muhimu/maisha. Kama ni kufunga mkanda tufunge sote. Sio walio wengi waambiwe kufunga mkanda maana serikali haina uwezo wa kuwalipa vizuri na wachache wasifunge mkanda wakombe fedha ambazo zingewaletea walio wengi maendeleo. Raisi akiongeza hizo posho hatakuwa na la kuwaambia wafanyakazi na wataalamu na wapiga kura wa nchi hii.Rais Kikwete!
Fukuza hao watu wanaotaka malaki ya pesa kwa ajili tu ya kupitia hiyo rasimu kwenye bunge la katiba.
Kuna watanzania (wazalendo) kibao ambao wanaweza wakafanya kazi hiyo kwa ufanisi zaidi huku ukiwalipa TShs 80,000 per day!
Basi tuambie wewe nani alizuia? Na angepitisha unafikiri zisingepatikana? Wakati mwingine tuache chuki za kisiasa mkuu.
Attention seeker. Publicity stunt za ajabu kweli kweli hizi.
Wivu tu,akiharibu hamtaki akifanya jema hamtaki!mizee Ya fujo bwana khaaa!
tanzania filamu haziishi inatoka hii inaingia hii
Halafu zote mwisho wake haeleweki