Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Dah.. Nimechoka baada ya kuona bango la sirjeff akiita watu awafundishe biashara, aisee jamaa aliyeaminisha watu Forex inalipa anapiga promotion ya kufundisha watu tuition kwa 40,000.Ndugu yangu unamwomba ushauri mtu anaeshindia mihogo na Pepsi baridi ππππ. Forex haina hela na waliozama huko washajidanganya na kuanza kuamini katika njia nyingine ni ngumu maana wanaamini ipo siku watatoboa kama mcheza kamari ya Aviator.
Huyu jamaa mwaka jana Dec 2024 alikuwa anatafuta wanafunzi awafundishe forex kwa kupitia Zoom. Alikuwa anatoza 30000 per Session, mwenye hela hana muda wa kukuomba hela ili akufundishe kutafuta hela. Anachoweza kufanya ni kukuita mtafute wote hizo hela ujifunze.Dah.. Nimechoka baada ya kuona bango la sirjeff akiita watu awafundishe biashara, aisee jamaa aliyeaminisha watu Forex inalipa anapiga promotion ya kufundisha watu tuition kwa 40,000.
MTU mwenye hela hana hata huo mda mchafu wa kukuita eti mjifunze wrote, labda uwe ndugu au rafiki wa karibu sana.Huyu jamaa mwaka jana Dec 2024 alikuwa anatafuta wanafunzi awafundishe forex kwa kupitia Zoom. Alikuwa anatoza 30000 per Session, mwenye hela hana muda wa kukuomba hela ili akudfindishe kutafuta hela. Anachoweza kufanya ni kukuita mtafute wote hizo hela ujifunze.
Nakumbuka uliandika uzi wako umesoma Uhuru karibu na mzee hawaya. UnakumbukaNilikuwepo Mzee tazama acc yangu mwaka niliojiunga Mimi nilikuwa ant forex humu
Nina kaukongwe Fulani humu enzi hizo Jf ya moto mpaka usiku wa manane hakuna kulala ' Gen z now days wameshindwa kuichangamsha Jf
Enzi zetu ilikuwa ni balaa Kila jukwaa lilikuwa ni la moto π₯
Kutoboa forex retail trading ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano watu wanapata hela kutoka mifukoni mwa watu sio kutradeSasa kama inawezekana kwa nini jamaa anaomba hela watu wachangie ? Kama Forex ina hela huyo Sirjeff mbona alikimbilia Mafinga ? Huyo jamaa alikuwa anatafuta wanafunzi wa Tshs 30000 kwa Zoom session kupitia twitter Dec 2024. Waliotapeliwa wako wengi na tunajua hela zilienda wapi. Na sio swala la utaalamu. Mara mia ubeti mpira kuliko forex maana na broker ni market makers. Mimi sidai 40% wewe umesema Forex ina hela nimekwambia Leta portfolio nikupatie kazi Frankfurt. Wanataka mtu ambaye ana 40% +ve trades ya portfolio nzima maana itakuwa rahisi wao kutrain. Wala haitoi hata shilingi mia. Watakulipia hadi tiketi ya ndege na hela ya kula njiani. Wana confirm na broker.
Yeah sure Kumbe ulikuwepo kitambo Na wewe ni made in morogoro nini !?Nakumbuka uliandika uzi wako umesoma Uhuru karibu na mzee hawaya. Unakumbuka
Hii ni ngumu mkuu leta hela yako nitrade nikusaidie kuipotezaDuh.! kumbe retail hailipi, sasa bans kipindi kile forex ndio imepamba moto nikawa nimepanga niwekeza dola 10,000, nimesoma vya kutosha, na tahadhari zote na tamaa zote nieshatahadharishwa, nikafungua demo, nikawa sioni kama in rahisi kama tulivyoambiwa nikachana nayo.
Lakini nilivyokuwa nimesoma ni kuwa hiyo wholesale ni inahusisha mabenki makubwa zaidi, yaani kama unapiga retail basi uwe na ile mitaji ya dola milioni 100 huko, wewe unaifanyaje mkuu hiyo?
Hela yangu INA kazi nyingi mkuu, actually napenda passive income lakini iwe low riskHii
Hii ni ngumu mkuu leta hela yako nitrade nikusaidie kuipoteza
Mkuu umenikandia kinoma japo ndo ukweli wenyewe π€£π€£Ndugu yangu unamwomba ushauri mtu anaeshindia mihogo na Pepsi baridi ππππ. Forex haina hela na waliozama huko washajidanganya na kuanza kuamini katika njia nyingine ni ngumu maana wanaamini ipo siku watatoboa kama mcheza kamari ya Aviator.
Sure mkuu kazi ni ngumu ndo maana tunakimbilia kwenye profirms siku hiziHela yangu INA kazi nyingi mkuu, actually napenda passive income lakini iwe low risk
MTU mwenye hela hana hata huo mda mchafu wa kukuita eti mjifunze wrote, labda uwe ndugu au rafiki wa karibu sana.
Alidai Eti ni biashara ambayo Benji hazitaki ujue, kumbe betting ina afadhali
Uliongela ule mti uliosimama km sikosei, miye wa kitambo sana tuu, nikakwambia huo mti wakati unasimama nilienda kushuhudia.Yeah sure Kumbe ulikuwepo kitambo Na wewe ni made in morogoro nini !?
Alitakuwa awe ameshafikishwa mahakamani sasa.Huyu bado ananyea debe?
Nakumbuka mabandiko mengi tu yaliletwa humu jamaa wakilalamika kutapeliwa nae!, sasa ukichanganya hizo mambo za kuinanga Gavaa mwamba kaisha.Kikichomkuta nadhani ni karma...alitapeli watu wengi hapa JF miaka ile, nasikia hata huko X bado anatapeli
XAUUSD - Yaelekea kumbatiza kwa maji ya Betriyaliletwa humu jamaa wakilalamika kutapeliwa nae!,