Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Jamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Safi sana
 
Aliyefanikiwa hajilinganishi na mtu mwingine zaidi ya yeye mwenyewe alivyokuwa jana.
Sasa ndio unaongea Nini hapo we si umesema kafanikiwa au sio wewe kweli jua Kali 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Evelyn Salt , nifahamishe huyo ni nani? I have never heard of him
 
Jamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Huyu wakitaka wammalize wawakusanye wote waliotapeliwa pale Jangid Plaza. Wajitokeze na ushahidi halafu aamrishwe awalipe.
 
Jamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Ni miongoni mwa wasiojulikana huyu?
 
una hasira nae vp alikuingza mkenge nn?
 
Unamjua sirjeff vizuri wewe?
Wanaomjua tangu akijiita Ontario hawatashangaa jamaa kukamatwa humu jamiiforum ashaliza watu kibao.
We umemjulia x juzi
 
Sema jamaa mjanja sana,Alikuwa na kesi zaidi ya sita alipoona zishapamba moto akaanza kupost no reform no election ili akikamatwa watu waingilie Kati,na kweli Kuna wajinga washaingia kwenye mfumo
Wajinga hawawezi kumuelewa huyo tapeli
 
Jamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Ni baada ya kuunga Mkono NRNE


Mlishindwa mkamata miaka Ile Kwa uhujum Uchumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…