Sisi ambao hatutekwi na Wahubiri Waongo wa Miujiza ndiyo hatuna Akili au waliotekwa nao ndiyo hawana kabisa Akili?

Sema Wewe sasa Umefaidika Vipi Na Hizo Sadaka na Michango unayotoa. Au kanisa Linajilimbikizia Mali na Maeneo ya Kuwekeza...

Je kanisa Lilishawahi kusema Basi Waumini 500 kila Mwaka Watapata Bima za Afya kwa Mwaka mzima. Maana Mnatoa Pesa Ila Mbona hazirudi kwenye Jamii husika Directly
 
Hivi siku hizi Wakatoliki wanagawiwa mali au pesa wakienda kanisani? Au katoliki hakuna sadaka mbalimbali?

Maana naona imetajwa kama wale wapenda kelele wao wana hasara sababu hata wakitoka kanisani, hukosa hadi nauli vile wamedondosha mapene kwa sadaka...
 
Kiukwel kanisa la sasa limeingiwa na ushetan..kuna upigaj wa waz na usio wa waz..well...huku kwenye ukatolik kufaidika na sadaka zako physicaly kiukwel hakuna huo mfumo na haujawai tokea..labda ndo ujadiliwe...na kama ndo hvyo sasa kama usemavyo..manake ishu ya sadaka is wrong fro the begining of this new church..tofaut na mantik ya sadaka aliyoagiza mungu..yaan tumeanza kupigwa mda mref sana kama ndo hvyo kwamba lazima sadaka imfaidishe muumin..ila kama sivyo ..basi sjui nin kifanyike...ila sasa kwa wenzetu ni soo direct sana..yaan tunaziona sadaka nje nje zikinunua ma hammer na ma vx na mitume na manabii kujigamba..ila huku kwwnye ukaatolik..atleast tunaona shule. Hospital etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unanitafutia BAN,Maana unanijua vzuri.Nimewahi kukaa nje ya JF kwa mda wa wiki nzma (niliona kama mwaka)kwa sababu yako.Saivi ngoja nikae kmya kwanza
 
Ndio kitu cha kujiuliza kwa sasa. Upigaji umekuwa mkubwa na haumnufaishi muumini. Ukiacha Sadaka kuna michango mikubwa mikubwa zaidi ya Sadaka na Hairudi hata Asilimia 5 kwa Muumini wanajilimbikizia Mali na Utajiri kwa migongo ya Kusema Zinaenda kwa Mungu

Wakati tunajua Mungu ni Mkamilifu Haitaji Hayo
 
Basi Ingekuwa Vyema. Kanisa Katoliki lishakuwa na Mizizi mikubwa Lina Miradi mikubwa Basi Waumini wake wangepewa Faida Zinazotoka Huko

Kanisa Lingekuwa linatoa Misaada Kwa Waumini wake hata Wazee Waliozeeka Wangepewa Kiinua Mgongo cha Kuwa Waumini mpka Wamezeeka Wakiwa Bado ni Wakatoliki. Ila Wapi wanaacha Mpaka Wanakufa Wanakuja Mapadri wanawazika Huku Wakiwa Masikini na Walilitumikia Kanisa Mpka Umauti umewakuta
 
Swali la msingi Sana.
 
Kuna Kanisa kila Wiki ya Jumapili tunatoa Mil 2,3 mpka 4 kama Sadaka hapo Achana Na Sadaka za Shukrani na Bahasha

Pembeni kuna Shule Wamejenga na Pembeni kuna Hospitali pia. Sasa Jipeleke Sema Mimi ni Muumini naomba Basi hata Katika Matibabu haya Nipate punguzo la Asilimia 10 ya Kumuona Daktari au Hata Asilimia 10 katika Ada. Hupewi halafu Kanisani wanakuambia Unampa Mungu

Tumepumbazwa Sana
 
Naona unanitafutia BAN,Maana unanijua vzuri.Nimewahi kukaa nje ya JF kwa mda wa wiki nzma (niliona kama mwaka)kwa sababu yako.Saivi ngoja nikae kmya kwanza
Sindano imeshapenya Mfupani Kwako!!!
 
Na saa nyingne wanagoma kuwazika sabab hawajaenda kwenye jumuia au kutoa zaka..hahaha..dini hizi aisee..sikuhiz kama hutoi zaka au kwenda kwenye jumuia huzikw na ibada wala padre haj na pia hufung ndoa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimwcheka sana, khaaah
 
Wewe how do you log in na hii ID? 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…