FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
Sema Wewe sasa Umefaidika Vipi Na Hizo Sadaka na Michango unayotoa. Au kanisa Linajilimbikizia Mali na Maeneo ya Kuwekeza...Hiv hizo sadaka unazoongea hapa unajua ni sh ngap?
Kanisa zima lina watu zaid ya 1000 sadaka sometime haifik hata 3m au 2m...utasema si wanatoa zaka..michango mingne..jiulize hzo shule hospitali nchi nzima znajengewa matope..hayo makanisa yanayochomoza yanajengewa matope..huduma ya maisha kwa taasis ya kanisa inaendeshwa kwa matope...? Tho kuna hela inapigwa..ila sio kama huo upande wa pil ambako mchungaj ndio kila kitu na wana utajiri binafsi wa kukithiri na waumin wakitazama tu....
Unasema waumin katolik wanafaidika vip...umeonyesha ubinafsi wa hal ya juu hapa..na kanisa la kwel haliko hvyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kanisa Lilishawahi kusema Basi Waumini 500 kila Mwaka Watapata Bima za Afya kwa Mwaka mzima. Maana Mnatoa Pesa Ila Mbona hazirudi kwenye Jamii husika Directly