Jimboni zikifika zinajenga shule na hospitali za bei mbaya ambazo wakatoliki mnarudi humu kupiga kelele tena kuwa hamzimudu ni kwa ajili ya matajiri hazisaidii wakatoliki maskini !!!what a paradox!!!Sadaka siyo mali ya padri inakwenda jimboni na kutolewa kwa utaratibu maalum tofaut na walokole sadaka anachukua mchungaji anafanya anavotaka
Nilikuwa najiona kuwa labda nipo peke yangu mwenye ufahamu huu na kujitambua, kumbe tupo wengi. Ukiwaangalia watu wanavyopurukushwa sadaka hadi unawahurumia na kujazwa matango pori vichwani.Tumedanganywa kwa Muda Mrefu sana. Kama Mungu angekuwa Ana Dini Pasingekuwa na Dini Tofauti tofauti zinazotofautiana
Ukiona Hivyo Hakuna Mungu hapo Bali ni Binadamu na Vitu vingine vinachanganya Kichwa chako ili viweze Kukutawala
Hakunq Mungu Mwenye Dini Tofauti tofauti unazoziona Leo hii . HAYUPO
Si ndio hapo sasa, Mungu si Kiumbe sasa Sijui anaongea na Nani.Anaongea akiwa wapi na nani ,
Watanzania wamefikia Hatua. Wanapookolewa kwenye Ajali ya Gari na Binadamu mwenzake ila Wanaenda Kwa Mchungaji kumpa Sadaka za Shukurani na Huyo Mchungaji anaenda Kuzinywea Pombe na Starehe na Kujijenga KiuchumiI wish Ulimwengu mzima ungekuwa na mtazamo huu. Dunia ungekuwa sehemu salama sana. Lakini walio wengi ambao hawajitambui ndio wameshatekwa na makanjanja wachache. Mtu anaamini amnyime jirani yake ambae ni maskini msaada ila ampelekee kanjanja fulani huko kanisani akimuaminisha ataingia uzima wa milele huku huyo anaekwambia hivyo hataki kujishulisha anategemea wewe uende ndio ale na kubadilisha magari. Ujinga hautoisha daima
Ukiona Watu wanatafuta Ukweli kwa Muda Mrefu ujue Hapo hakuna Ukweli.Nilikuwa najiona kuwa labda nipo peke yangu mwenye ufahamu huu na kujitambua, kumbe tupo wengi. Ukiwaangalia watu wanavyopurukushwa sadaka hadi unawahurumia na kujazwa matango pori vichwani.
Nimeshakujibu. Mungu hayupo Hivyo
Mungu haitaji Sadaka yako Yeyote. Ushajiuliza Sadaka Inamsaidiaje Mungu unapoitoa.
Mungu ni Mkamilifu Haitaji sadaka Yako maana Yeye Si Kiumbe Kama Wewe ulivyo. Hizo sadaka na Dhabihu zinaishia Hapa Hapa Duniani kwa Binadamu Wenzako unaowapa kwa Kutokujua kwamba Wameweka Misingi hiyo ili wawatawale Akili zenu.
Maana Hata Kwenye Biblia Sadaka za Agano la Kale si Sadaka za Agano Jipya. Mungu wa Agano la Kale hafanani kitabia na Mungu Wa Agano jipya
Kama unatumia Biblia, unaitumiaje wakati huiamini? Huoni kama wewe ni bonge la confuser?Nimeshakujibu. Mungu hayupo Hivyo
Mungu haitaji Sadaka yako Yeyote. Ushajiuliza Sadaka Inamsaidiaje Mungu unapoitoa.
Mungu ni Mkamilifu Haitaji sadaka Yako maana Yeye Si Kiumbe Kama Wewe ulivyo. Hizo sadaka na Dhabihu zinaishia Hapa Hapa Duniani kwa Binadamu Wenzako unaowapa kwa Kutokujua kwamba Wameweka Misingi hiyo ili wawatawale Akili zenu.
Maana Hata Kwenye Biblia Sadaka za Agano la Kale si Sadaka za Agano Jipya. Mungu wa Agano la Kale hafanani kitabia na Mungu Wa Agano jipya
Kuna wanaoamini Mungu ni mtu wanaongea naye wengine mizimu wanaongea nayo au wewe ndio unataka uwapangie waongee na Mungu yupi?Si ndio hapo sasa, Mungu si Kiumbe sasa Sijui anaongea na Nani.
Yaani hawa Wanaojiita Manabii wanawadanganya Sana. Eti ameongea na Mungu
Ndio hizo kina St nani Sijui St Nani. Ambazo zimejengwa na Masikini wa Makanisa Husika wanaotoa sadaka na Kupeleka Barua za Xmas na Pasaka n.k n.k. Ambao wanakuja Tena Kuzipongeza Zimefaulisha Vizuri wakati watoto wao hawajawahi hata Kugusa Geti la Shule hizoJimboni zikifika zinajenga shule na hospitali za bei mbaya ambazo wakatoliki mnarudi humu kupiga kelele tena kuwa hamzimudu ni kwa ajiki ya matajiri hazisaidii wakatoliki maskini what a paradox!!!
Kama hata hujui kuna Mungu anayejibu na kuongea, wewe hii mjadala haukufai. Ninaongea na mtu aneyekwenda anayesali kwa Mungu muumba wa mbingu na nchi , lakini pengine kapungukiwa na maarifa ya kumjua huyu Mungu. Lakini wapagani, hapa siyo mahala sahihi kwa level yenu. Unahitaji darasa lingine.Anaongea akiwa wapi na nani ,
Unatakiwa Kujiuliza Kabla ya Biblia Mungu hakuaminiwa!? Au ulikuwa Humuamini Mungu kabla Hujaijua Biblia. Wazee wako walikuwa wanaishije Sasa au wao walikuwa hawajaumbwa na Mungu.. Maana Biblia ni ya Juzi tu na Tanzania imekuja baada ya Wakoloni kujaKama unatumia Biblia, unaitumiaje wakati huiamini? Huoni kama wewe ni bonge la confuser?
Tofauti ipo, huku kwingine na brain wash inatumika sana yaani mawazo ya mtu mmoja tu ndo yatumike Sasa mtu uchukuliwe uchumi unaotafuta kwa jasho kama maagizo ya Mungu bado naakili yako uambiwe isutumike ila utumie akili ya mtu mmoja na pale unajiongeza kutumia akili yako unaambiwa hiyo ni dhambi mfano umeamka Asubuhi unahela kidogo ya mlo mmoja tu unaambiwa uende nayo kanisani ukatoe yote alafu ushinde na njaa na kesho ukose nauli na nguvu ya kwenda kazini usubiri kunguru atakudondoshea hela bila kufanya kazi yoyote ya kuingiza kipato wakati huyo mwingine angeenda kwenye ibada yake masaa machache na asitoe chochote na akiwaeleza Wana wanamuelewa siku hiyo yupo vibaya.Utaratibu maalumu au Siyo!!. Huo Utaratibu ushakusaidia Kitu gani Kama Muumini!?
Ukiajiriwa Sehemu Mwajiri atleast anakuambia Atakupelekea Michango NSSF,NHIF n.k huko Kanisani Hizo Sadaka Zishakukatia Hata Bima Ya Afya ... bima za Moto. Bima za Maisha. Bima za Ajali n.k
Hakuna Sadaka inayoenda Kwa Mungu hata mara Moja maana Mungu hayupo hivyo. Hizo sadaka zinaenda Kwenye Account za Watu waliojiwekea Organization maalumu ya Kuzicontrol halafu ww unakuja Kutetea Humu wakati hizo sadaka hazikusaidii chochote kile katika Maisha Yako. Ukiugua Hakuna Kanisa wala Padri anachanga Kuugua Kwako zaidi ya Kuja Kukuombea. Wakat wao wakiugua Ww Unachanga Pesa Wakatibiwe
Huo Utaratibu maalumu ungekuwa ni wakuwawezesha Waumini wafaidike na Sadaka zao maana Tunajua Sadaka haziendi kwa Mungu zinaenda Kwenye Account za Kanisa. Mwisho wa siku Sadaka Hazileti matokeo kwa Muumini Husika na Hakuna Muumini Anayepata Faida ya Sadaka zake moja Kwa Moja Zaidi ya Kupigwa pigwa chenga ya Kusema UNAMTOLEA MUNGU
Siyo hiyo tu mkuu, Mimi nina rafiki yangu alisikia kanisa fulani jirani limeanzishwa. Tena wanajitangaza kwenye redio na kuwaita wagonjwa na wenye shida mbalimbali waende wakaombewe na kuponywa bure. Jamaa yangu kusikia hivyo si akaenda. Alipofika aliambiwa Kuna huduma ya mwana wa nabii anaonana na mtu mmoja mmoja, alichoambiwa ni kuwa shetani ameyapiga sana maisha yake, na asipo angalia atapata matatizo makubwa sana kwenye maisha yake kwasababu (huyo muhubiri) ameonyeshwa na Mungu kuwa kuna jirani yake anamroga. Jamaa yangu akamwambia naomba unisaidie mtumishi. Huyo mtumishi akamwambia, "unatakiwa utowe shilingi elfu 86 ili nikuombee na nikupe maji ya baraka na mafuta ya upako." Jamaa akamwambia kwasasa Nina matatizo naomba uniombee, then baadae ntakuketea nikauze kitu changu, au naomba bas nikuachie hata simu yangu kama bondi then nikileta hiyo pesa utanirudishia, alichojibiwa ni kuwa mbona kwa waganga hamuendi bure, hivi ingekuwa ni kwa mganga ungeenda bila pesa, nenda katafute hiyo pesa kwanza ndo nije nikuombee. Ndio Hayo yaliyotokea jamani, dini imekua biasharaSi ndio hapo sasa, Mungu si Kiumbe sasa Sijui anaongea na Nani.
Yaani hawa Wanaojiita Manabii wanawadanganya Sana. Eti ameongea na Mungu
Wewe unaanzisha imani yako isiyoamini katika Maneno ya Biblia? Kama ndiyo sema ndiyo usipindishe pindishe. Nyooshsa maelezo ili tuende pamoja kwa sababu Ukristo huwezi kuupindisha ukaufanya unachotaka wewe kiwe.Unatakiwa Kujiuliza Kabla ya Biblia Mungu hakuaminiwa!? Au ulikuwa Humuamini Mungu kabla Hujaijua Biblia. Wazee wako walikuwa wanaishije Sasa au wao walikuwa hawajaumbwa na Mungu.. Maana Biblia ni ya Juzi tu na Tanzania imekuja baada ya Wakoloni kuja
Biblia Ni Vitabu vilivyoandikwa na Watu na Wengine hata Walikuwa si Watu wa Mungu ila Ni Waandishi tu wa Kawaida
Maji ya Baraka ni lugha ya Warumi, si lugha ya Wakristo.Siyo hiyo tu mkuu, Mimi nina rafiki yangu alisikia kanisa fulani jirani limeanzishwa. Tena wanajitangaza kwenye redio na kuwaita wagonjwa na wenye shida mbalimbali waende wakaombewe na kuponywa bure. Jamaa yangu kusikia hivyo si akaenda. Alipofika aliambiwa Kuna huduma ya mwana wa nabii anaonana na mtu mmoja mmoja, alichoambiwa ni kuwa shetani ameyapiga sana maisha yake, na asipo angalia atapata matatizo makubwa sana kwenye maisha yake kwasababu (huyo muhubiri) ameonyeshwa na Mungu kuwa kuna jirani yake anamroga. Jamaa yangu akamwambia naomba unisaidie mtumishi. Huyo mtumishi akamwambia, "unatakiwa utowe shilingi elfu 86 ili nikuombee na nikupe maji ya baraka na mafuta ya upako."
Tena kanisa lenyewe lipo Tabora mjini maeneo ya Ipuli, wanajiita Wana wa nabii Elisha Muliri. Watu wengi wametapeliwa hapo,
Sasa Wao wanaifananisha Na Mungu muumba wa Vitu Vyote aliyekataza unayosema wewe. Wao ndio wanasema wameongea nayeKuna wanaoamini Mungu ni mtu wanaongea naye wengine mizimu wanaongea nayo au wewe ndio unataka uwapangie waongee na Mungu yupi?
Mungu aliposema usiabudu miungu wengine alijua wapo sasa wewe unaposema wanaongea na Mungu yupi hujui kuwa IPO miungu mingi?
Sasa hapo sikuwajulisha tu watu kwa Upendo watoe hela kwaajili ya hizo huduma zinazofanya wapate sehemu ya kukusanyika na kuwa pamoja kwenye shida na raha na siyo kuwaambia wanampa Mungu hivi Kuna mtu anaweza kumpa Mungu sadaka za pesa? Alafu aanze tena kumuomba Mungu Pesa? Maana yake Mungu ni mwenye uwezo wa Kila kitu anachohitaji ni Imani ya mtu tu kumwamini kama yupo na mambo ya sadaka za pesa ni mambo yetu wanadamu na ndo maana Kuna watu wakisema Leo sinahiyo pesa ya kutoa huyo aliyekuwa anategemea hiyo pesa ananuna na kuchukia kwa matarajio yake kukwama.Unafanya vyema. Kanisani kwenu mna raslimali zozote za kanisa labda? Kanisani kwenu pia kuna wajane na yatima? Huwa mnawahudumiaje?
Kanisalni kwenu mna vyombo vya kuhubiria? Mnavipataje na mnavitunzaje?
Kanisani kwenu kuna watu mmeajiri mfano walinzi, wafanya usafi, watu wanaokaa kanisani kwa masuala ya utawala labda. Hao watu huwa mnawahudumia namna gani kama wapo?
Sijajua kanisa unaloshiriki. Ningependa pia kujua mna makanisa mangapi ya aina hiyo na huwa mnayaanzisha namna gani?
Unajua kushirikishana ni kuongezeana maarifa. Naomba unisaidie.
Sijapindisha Kitu nimekuuliza Kabla Ya Biblia wewe Ulikuwa Kiumbe cha Nani!? Maana Biblia nayo ina Errors nyingi tu za Kimaandishi.Wewe unaanzisha imani yako isiyoamini katika Maneno ya Biblia? Kama ndiyo sema ndiyo usipindishe pindishe. Nyooshsa maelezo ili tuende pamoja kwa sababu Ukristo huwezi kuupindisha ukaufanya unachotaka wewe kiwe.
Una Akili TimamuSasa hapo sikuwajulisha tu watu kwa Upendo watoe hela kwaajili ya hizo huduma zinazofanya wapate sehemu ya kukusanyika na kuwa pamoja kwenye shida na raha na siyo kuwaambia wanampa Mungu hivi Kuna mtu anaweza kumpa Mungu sadaka za pesa? Alafu aanze tena kumuomba Mungu Pesa? Maana yake Mungu ni mwenye uwezo wa Kila kitu anachohitaji ni Imani ya mtu tu kumwamini kama yupo na mambo ya sadaka za pesa ni mambo yetu wanadamu na ndo maana Kuna watu wakisema Leo sinahiyo pesa ya kutoa huyo aliyekuwa anategemea hiyo pesa ananuna na kuchukia kwa matarajio yake kukwama.