DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
Peleka ujinga wako uko. Unaongea pumba tu hapa. Usinipotezee muda wangu. Sina muda kujadili na mtu wa namna kama wewe.Umeenda nje ya swali nililokuuliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka ujinga wako uko. Unaongea pumba tu hapa. Usinipotezee muda wangu. Sina muda kujadili na mtu wa namna kama wewe.Umeenda nje ya swali nililokuuliza
Nimeishi maisha hayo tangu nipo darasa la sita hadi sasa nina 44Katika hili mimi na wewe hatuna utofauti.
#Siendeshwi kiroho
#Siendeshwi kisiasa
#siendeshwi na mila
#siendeshwi na mtu
Nafanya kile nachokiona kwangu nisahihi na siyo kusubiri mtu mwingine aje kuniambia usifanye hiki ni dhambi, sijui nini.
DogmaRejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%
Watoto wake na wewe wanatibiwa kwenye hizo hospital, na kupata elimu nzuri kutoka kwenye hizo shule, hiyo faida ni ndogo??Hata wewe kuna watu unawatajirisha. Kuna mdau (muumini mwenzako) kaleta uzi humu akilalamika vile vilivyopatikana kwa michango na sadaka visivyo wanufaisha nyinyi waumini.
Tueleze hizo shule,vyuo, hospital za kanisa ambazo zimepatikana na sadaka zako zinakunufaisha vipi wewe muumini tofauti na asiye muumini wa hilo kanisa au wewe kusali pamoja na CDF imetosha?
Sasa iweje hao viongozi wa hayo madhehebu mengine wawe wanatembelea magari ya milioni 400 wakati waumini ni maskini? Hawaweze kutembekea IST au Vitz ili wapunguze kuwakamua waumini?Toa Hoja acha Kujificha ficha.... Sema Tofauti iliyopo kati ya RC na Makanisa Mengine. Kote Mnatoa Michango kwenda kwenye Mifuko Ya Watu. Haijalishi hiyo mifuko ina Mfumo maalumu au Inakwenda kwa Mtu. Yote mnafaidisha Upande fulani
Mnachanga Kujenga makanisa. Mnachanga Kununua Magari ya Mapadri na Masista. Mnachanga Kujenga Nyumba za Mapadri. Michango kote ipo Na Inaenda Kwenye Account za Kanisa
Sasa Walokole wanafanya Hivyo hivyo Mnawaona Ni Tofauti na Nyie?
Hebu Tafuta pia Gharama za Magari wanayotembelea Papa.. Kardinali Pengo.. maskofu wa KKKT. Na Huko Kwingine kwenye Madhehebu makubwa makubwaSasa iweje hao viongozi wa hayo madhehebu mengine wawe wanatembelea magari ya milioni 400 wakati waumini ni maskini? Hawaweze kutembekea IST au Vitz ili wapunguze kuwakamua waumini?
Sometimes za Kwako zinaweza zisitoshe Pia[emoji3][emoji3][emoji3] halafu ukazifuata ukapotea mazimaZa kuambiwa changanya na za kwako...
Sasa Makasiriko ya Nini. Najua lazima Ikuume maana Hauna Ukweli ndani yako. Na kama Ungekuwa na Ukweli msingekuwa mnaangaika angaika kila siku kutafuta Wokovu miaka zaidi ya 1000 mnatafuta Wokovu hamuupatiPeleka ujinga wako uko. Unaongea pumba tu hapa. Usinipotezee muda wangu. Sina muda kujadili na mtu wa namna kama wewe.
Kweli ww na kuku hamna tofauti. Akili zako hizo ww ni mtu wa kuhurumia sanaSasa Makasiriko ya Nini. Najua lazima Ikuume maana Hauna Ukweli ndani yako. Na kama Ungekuwa na Ukweli msingekuwa mnaangaika angaika kila siku kutafuta Wokovu miaka zaidi ya 1000 mnatafuta Wokovu hamuupati
Usiamini dini/mtu muamini Yesu. Ishi Kama Yesu, Maisha matakatifu...fuata na kuyaishi maisha ya Yesu.Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%
Faida unayopata wewe muumini tofauti na mimi nisie muumini wa hilo kanisa ni ipi? Kama hakuna basi hamna tofauti na manabii maana na wao wana vitega uchumi (Radio, mashamba, hospital n.k) ambavyo vinawafaidisha watu mbalimbali .Watoto wake na wewe wanatibiwa kwenye hizo hospital, na kupata elimu nzuri kutoka kwenye hizo shule, hiyo faida ni ndogo??
Hivi we jamaa umenielewa kweli??
Hilo prado paroko akistaafu ataondoka nalo??
Hilo prado limeandikwa jina/linamilikiwa na nani??
Hilo prado unalosema huyo paroko hawezi kulitumia kwa matumizi binafsi nje ya yale yalioanishwa na kanisa.
Tatizo lako unataka kuweka usawa mahali pasipo sawa, na kubwa zaidi huijui RC na naamini we si muumini wa RC..
Hizo gari hutumika kufikia vigango mbalimbali vilivyo mbali na parokia ili hao maparoko watoe huduma...
Na unaposema hizo sadaka wanazila wao maparoko bado pia ni sawa kwani wale hwafanyi biashara nyingine zaidi ya kula kunywa na kuzunguka kuhubiri baasi, kila kitu wanahudumiwa na kanisa mavazi,makazi na chakula. Sasa sijui huo ufanano wake na walokole unauwekaje hapo ilhali wao hawana parokia wala jimbo wala watawa wala mapadre na mashemasi, wala masista. Na hao wote hapo wanategemea sadaka yako ili huduma za kiroho ziendelee kutolewa sasa hapo muumini unapigwaje ilhali hao watu ni kweli wapo na wameacha familia zao makwao kuja kuhudumu kanisani tuu maisha yao yote.
Hivi kulikuwa na haja gani ya kumtaja CDF Mabeyo na mkewe? Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kulikomboa Taifa letu dhidi ya fikra za namna hii.Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%
Kuku ni Kiumbe cha Mungu kama Wewe ulivyo na Chenyewe kiliumbwa Kabla Hata Ya Wewe. Wewe ni Kiumbe Cha Mwisho Kuumbwa. Usidharau [emoji215]Kweli ww na kuku hamna tofauti. Akili zako hizo ww ni mtu wa kuhurumia sana
Faida unayopata wewe muumini tofauti na mimi nisie muumini wa hilo kanisa ni ipi? Kama hakuna basi hamna tofauti na manabii maana na wao wana vitega uchumi (Radio, mashamba, hospital n.k) ambavyo vinawafaidisha watu mbalimbali .