Sisi ambao hatutekwi na Wahubiri Waongo wa Miujiza ndiyo hatuna Akili au waliotekwa nao ndiyo hawana kabisa Akili?

Sisi ambao hatutekwi na Wahubiri Waongo wa Miujiza ndiyo hatuna Akili au waliotekwa nao ndiyo hawana kabisa Akili?

Katika hili mimi na wewe hatuna utofauti.
#Siendeshwi kiroho
#Siendeshwi kisiasa
#siendeshwi na mila
#siendeshwi na mtu

Nafanya kile nachokiona kwangu nisahihi na siyo kusubiri mtu mwingine aje kuniambia usifanye hiki ni dhambi, sijui nini.
Nimeishi maisha hayo tangu nipo darasa la sita hadi sasa nina 44
 
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.

Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.

Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )

Najivunia kuwa Roman Catholic 100%
Dogma
 
Mkuu pata muda usome sana vitabu vinavyoelezea historia na dini za kale utakuja kugundua kwamba karibia dini zote zinazofuata muongozo wa Abraham zinafanana katika mambo kadhaa ya msingi hata zile ambazo hazifuati muongozo wa Abraham i.e hindu etcs.

Waprotestant kabla ya kuanzisha madhehebu yao walikua RC ila baada ya lile andiko la Martin Luther lenye hoja 95 za kwanini anajitoa RC ndiko kukaibuka madhehebu mengine ya kikristo.

Ni mpaka hivi majuzi tu ambako kulifanyika kongamano baina ya Papa na viongozi wa madhebu mengine ya kikristo ambapo walisaini makubaliano ya kuafiki hoja 15 za Martin Luther katika zile 95 alizozitoa hii ni baada ya RC kuona namna inavyozidi kupunguza wafuasi.

Kimsingi hoja yangu hapa ni kutaka kuonesha kwamba Dini sio tiketi ya uhalali wa kuingia mbinguni bali jambo la msingi ni kumfahamu Mungu na kuwatendea binadamu wenzetu mema.
 
Hata wewe kuna watu unawatajirisha. Kuna mdau (muumini mwenzako) kaleta uzi humu akilalamika vile vilivyopatikana kwa michango na sadaka visivyo wanufaisha nyinyi waumini.

Tueleze hizo shule,vyuo, hospital za kanisa ambazo zimepatikana na sadaka zako zinakunufaisha vipi wewe muumini tofauti na asiye muumini wa hilo kanisa au wewe kusali pamoja na CDF imetosha?
Watoto wake na wewe wanatibiwa kwenye hizo hospital, na kupata elimu nzuri kutoka kwenye hizo shule, hiyo faida ni ndogo??
 
Toa Hoja acha Kujificha ficha.... Sema Tofauti iliyopo kati ya RC na Makanisa Mengine. Kote Mnatoa Michango kwenda kwenye Mifuko Ya Watu. Haijalishi hiyo mifuko ina Mfumo maalumu au Inakwenda kwa Mtu. Yote mnafaidisha Upande fulani

Mnachanga Kujenga makanisa. Mnachanga Kununua Magari ya Mapadri na Masista. Mnachanga Kujenga Nyumba za Mapadri. Michango kote ipo Na Inaenda Kwenye Account za Kanisa

Sasa Walokole wanafanya Hivyo hivyo Mnawaona Ni Tofauti na Nyie?
Sasa iweje hao viongozi wa hayo madhehebu mengine wawe wanatembelea magari ya milioni 400 wakati waumini ni maskini? Hawaweze kutembekea IST au Vitz ili wapunguze kuwakamua waumini?
 
Huwa nawafanisha walokole wa leo na wale walimu wale mafarisayo na masadukayo walikuwa wakimpinga Yesu Kristo enzi zile,
 
Sasa iweje hao viongozi wa hayo madhehebu mengine wawe wanatembelea magari ya milioni 400 wakati waumini ni maskini? Hawaweze kutembekea IST au Vitz ili wapunguze kuwakamua waumini?
Hebu Tafuta pia Gharama za Magari wanayotembelea Papa.. Kardinali Pengo.. maskofu wa KKKT. Na Huko Kwingine kwenye Madhehebu makubwa makubwa

Unajua Tusiwape Lawama sana Walokole tukasahau hata Viongozi wetu Hawa Wanatumia Magari ya Gharama Pia Kubwa na Ulinzi mkubwa Kuwalinda Ambao hata Hao walokole hawawezi Fikia Gharama wanazotumia
 
Peleka ujinga wako uko. Unaongea pumba tu hapa. Usinipotezee muda wangu. Sina muda kujadili na mtu wa namna kama wewe.
Sasa Makasiriko ya Nini. Najua lazima Ikuume maana Hauna Ukweli ndani yako. Na kama Ungekuwa na Ukweli msingekuwa mnaangaika angaika kila siku kutafuta Wokovu miaka zaidi ya 1000 mnatafuta Wokovu hamuupati
 
Kweli ww na kuku hamna tofauti. Akili zako hizo ww ni mtu wa kuhurumia sana
 
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.

Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.

Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )

Najivunia kuwa Roman Catholic 100%
Usiamini dini/mtu muamini Yesu. Ishi Kama Yesu, Maisha matakatifu...fuata na kuyaishi maisha ya Yesu.
Dini haitampeleka Mtu mbinguni. Wokovu katika Yesu Kristo ndio utampeleka mtu
 
Watoto wake na wewe wanatibiwa kwenye hizo hospital, na kupata elimu nzuri kutoka kwenye hizo shule, hiyo faida ni ndogo??
Faida unayopata wewe muumini tofauti na mimi nisie muumini wa hilo kanisa ni ipi? Kama hakuna basi hamna tofauti na manabii maana na wao wana vitega uchumi (Radio, mashamba, hospital n.k) ambavyo vinawafaidisha watu mbalimbali .
 
Hivi we jamaa umenielewa kweli??
Hilo prado paroko akistaafu ataondoka nalo??
Hilo prado limeandikwa jina/linamilikiwa na nani??
Hilo prado unalosema huyo paroko hawezi kulitumia kwa matumizi binafsi nje ya yale yalioanishwa na kanisa.

Kwahiyo kwa vile Paroko aondoki na Hilo Gari basi Moyo wako umesuuzika Kwa sadaka zako Kutumiwa Kununulia Binadamu mwenzako Usafiri. Ila Wewe ukipatwa na Matatizo Unaombewa na Kupewa Sala zaidi ya 20 kwenda Kusali asubuhi nq Jioni..Sasa Inakuuma Nini Walokole wakinunua Magari ya Wachungaji Wao

Tatizo lako unataka kuweka usawa mahali pasipo sawa, na kubwa zaidi huijui RC na naamini we si muumini wa RC..

Usiongee usichojua, mi naijua RC, Na siku zote Usiweke akili kwamba Kisa Mtu yupo Tofauti na Ww basi si Wa Sehmu ulipo...Ila Sioni Tofauti kubwa Na Mnaowasema ni Walokole vibaya wakati Hao mnawaita Walokole ni Tawi la RC sasa Wao waliamua Wachungaji Kuoa na Kuwa na Familia Na Kwenda Kuanzisha Makanisa Yao.. Kumbuka Mtu akitoka Kwako hawezi akawa na Mifumo kama Yako. Ingawa ana akili kama Yako. RC wao walijiunga na Serikali mbalimbali za Dunia na Kuweka Mabalozi huko ila Kumbuka Wanachuma kwa Waumini kama Walokole wanavyochuma kwa Waumini. RC wanamichango Kibao tu ambayo Sidhani kama Walokole wana hiyo Michango kuizidi RC. Ingawa hata Walokole watafika Huko kuwa na Michango kibao tu

Hizo gari hutumika kufikia vigango mbalimbali vilivyo mbali na parokia ili hao maparoko watoe huduma...

Hapa Hatuzungumzii Matumizi ya Gari alilonunuliwa. Maana Hilo gari Linaweza Pia Kukutwa Sehemu ambapo si Kigango wala Parokia wala Jumuia likakutwa Sehemu Nyingine tu

Na unaposema hizo sadaka wanazila wao maparoko bado pia ni sawa kwani wale hwafanyi biashara nyingine zaidi ya kula kunywa na kuzunguka kuhubiri baasi, kila kitu wanahudumiwa na kanisa mavazi,makazi na chakula. Sasa sijui huo ufanano wake na walokole unauwekaje hapo ilhali wao hawana parokia wala jimbo wala watawa wala mapadre na mashemasi, wala masista. Na hao wote hapo wanategemea sadaka yako ili huduma za kiroho ziendelee kutolewa sasa hapo muumini unapigwaje ilhali hao watu ni kweli wapo na wameacha familia zao makwao kuja kuhudumu kanisani tuu maisha yao yote.

Ndio maana Nasema Tumepumbazwa sana. Sasa Kwanini Ukiona Walokole wanakula Kama Hao Mapadri unasumbuliwa moyoni. Ukiona Mchungaji wa kilokole anatembelea magari na Walinzi unasumbuliwa moyoni. Wakati kitu hicho hicho unaweza Kukiona Pia kwa Papa. Au umesahau kulikuwa na Mapapa Waovu wanaochezea mali za Kanisa na Wanawake na Kula Pombe na Uovu kibao kipindi cha Nyuma

Halafu unasema hawana Majimbo sijui Parokia. Hujawahi kuona Makanisa yao Mikoani wewe na Majimbo yao Mikoani. Mfano mzuri kuna Askofu mkubwa tu hapo Dar ana matawi kibao Mikoani Ya FGBF.

Siku hizi Mapadri Na Masista hao hao wanasoma Na Kupata Ajira mbalimbali na Wanalipwa Mishahara. Usijidanganye Eti Sadaka zako ndio zinawalisha. Sema Sadaka zangu zinawasomesha na hujawahi Kupata Chochote Kutoka Kwao kutokana Na Wewe kuwasomesha zaidi ya Kila Siku Kutoa Michango
 
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.

Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.

Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )

Najivunia kuwa Roman Catholic 100%
Hivi kulikuwa na haja gani ya kumtaja CDF Mabeyo na mkewe? Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kulikomboa Taifa letu dhidi ya fikra za namna hii.
 
Kweli ww na kuku hamna tofauti. Akili zako hizo ww ni mtu wa kuhurumia sana
Kuku ni Kiumbe cha Mungu kama Wewe ulivyo na Chenyewe kiliumbwa Kabla Hata Ya Wewe. Wewe ni Kiumbe Cha Mwisho Kuumbwa. Usidharau [emoji215]

Kikubwa ww Umepewa kitu tofauti na Yeye tu ambacho ni Akili ingawa si Binadamu wote Wana Akili Timamu
 
Back
Top Bottom