Sisi hatukupaswa kutoa msaada wa fedha Uturuki, tulitakiwa kutuma kikosi cha uokoaji

Samia ni Kiongozi ,kwanza mswahili, alafu akapata Washauri wabovuuuuu kwelikweli, wengi wa Washauri wa Samia, ni walamba Asali.
Wewe una uzoefu gani wa kumzidi Rais Samia?

pengine tangu uzaliwe hujawahi kuongoza walau kikundi cha watu 10 hata kwny kuokota kuni lakini unajifanya mjuaji wa masuala ya kimataifa!
 
Huna akili kabisa
 
Wangepeleka kikosi mngekuja na ngonjera zingine,watu kama wewe hua hamna jema PINGA PINGA FC

Hata wangepeleka kikosi cha uokoaji si ajabu ungeanzisha mada na kuuliza tumepeleka kikosi gani na tulishindwa kuokoa abiria kwenye ile ajali ya Ndege?
 
Hile hela ukifuatilia utakuta ni namna ya watu kupiga,pale wataalamu wa Money laundering wamepeleka fedha zaidi ya iyo Dola milioni moja na Balozi kaambiwa vijana watakuja kuzichukua!
Tanzania kusaidia Uturuki kifedha kweli???
Kikosi kipi cha uokoaji.... Au wangempeleka Majaliwa...!!
 
Hayo ni maoni yako ya kibinafsi
 
Dunia inaenda kasi sana, leo hii chadema hawaonekani tena kupinga serikali ila sukuma gang ndio wamekuwa wapinzani.
Chadema imeshakufa Kwa hiyo acha upinzani mpya ushike hatamu
 
Wewe una uzoefu gani wa kumzidi Rais Samia?

pengine tangu uzaliwe hujawahi kuongoza walau kikundi cha watu 10 hata kwny kuokota kuni lakini unajifanya mjuaji wa masuala ya kimataifa!
Kashiba githeri yupo hapa kututolea sulphur plus methane gas.
 
Wangepeleka kikosi mngekuja na ngonjera zingine,watu kama wewe hua hamna jema PINGA PINGA FC

Hata wangepeleka kikosi cha uokoaji si ajabu ungeanzisha mada na kuuliza tumepeleka kikosi gani na tulishindwa kuokoa abiria kwenye ile ajali ya Ndege?
Wewe ndio labda umelewa mvinyo ya mfalme ila kiuhalisia umeelewa what I mean
 
Mkuu, msaada unaweza kuwa wa hali, mali ama vyote viwili. Msaada hauna kipimo kwa mtoaji ama mpokeaji, kwani hutolewa kwa kadiri ya mtu anavyojiweza.

Jambo jema limefanyika, na limepokelewa kwa mikono miwili kwa kuwa fedha zilizotolewa zitasaidia kufanyika kwa kitu fulani kwa wahanga. Ingalikuwa ni aibu kwa serikali kujikausha na kutokufanya kitu chochote kile.
 
Swali ni kwanini watu wangapi wangepona au wangeokolewa ikiwa tungetuma kikosi wakati ule ule kuliko kusubiri watu wamekufa shughuli imeisha ndio tunapeleka hela
 
Pesa zetu zenyewe tulizopeleka huko tumezikopa.
 
Sidhani kama tunafikiri sawa sawa.

Yaani limekaa jopo kabisa watu wakaamua pesa dola milioni moja iende uturuki.

Unajua hao jamaa wakikaa huko maofisini mwao mishahara na marupu rupu Huwa inawadumaza akili.

Hawajui taabu wanazopitia wananchi huku mtaani na ni hasira ya namna Gani wanakuwa nazo kuona Kuna fedha zinachezewa namna hii ambazo wao hawana.

Mtakuja tupeleka kwenye machafuko hivi hivi kwa kuchochea hasira ambazo watu walikua wamezificha miaka mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…