Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Hongera sana Mama umeupiga mwingi mnooooo,
Yale maono ya Hayati Magufuli aliyosema Tanzania tunakwenda kua 'Dona Kantri' yanaanza kutimia, nani angedhani siku moja Tanzania yangu ingetoa msaada wa kifedha kwa Nchi kama Turkey? ila leo umetuthibitisha inawezekana,
Piga kazi Mama achana na maneno ya Pinga Pinga Fc
#Tanzaniaiposalamachiniyauongoziwamamasamia#