Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Yani hata kuokoa tu watu kwenye ndege iliyodumbukia ziwani partially wameshindwa ndio hao ulitaka waende uturuki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fisi yenu muuaji ibilisi jiwe mulikuwa naruhusu kumkosoa? Wauaji nyieOk kwahiyo hoja yako ni ipi au ulitakaje? Ulitaka wote tusikosoe serikali tunyamaze?
Ndio kutoka nimoyo nimoyo ola unatoa nini sio kila kitu chakutoa bro uwezi toa moto wakati wewe bado una uwitaji niupungufu wa fikraKUTOA NI MOYO HONGERA SANA SAMIA
Msaada wetu kwa Uturuki umechelewa sana, tunaanza kucheza wakati mziki umeisha!
Sisi hatutakiwi kutoa msaada wa kifedha kwa wale jamaa, bali tulitakiwa kupeleka kikosi cha uokoaji kwenda kusaidia uokozi kwenye majengo yaliyoporomoka na kukalia watu.
Tulikuwa wapi kutoa msaada wa aina hii mapema? Mahitaji makubwa ya Uturuki haikuwa fedha, bali vikosi vya uokozi.
Wewe unafikiri kwa makalioUnafikiria kichwa Cha chini bro
Hayo ni mawazo yako. Si lazima mambo yatendwe kadri ya uonavyo wewe. Halafu unaongelea jambo liliokwishafanyika tayari, hivyo hoja yako haina msaada zaidi ya kuchangamsha kijiwe.Msaada wetu kwa Uturuki umechelewa sana, tunaanza kucheza wakati mziki umeisha!
Sisi hatutakiwi kutoa msaada wa kifedha kwa wale jamaa, bali tulitakiwa kupeleka kikosi cha uokoaji kwenda kusaidia uokozi kwenye majengo yaliyoporomoka na kukalia watu.
Tulikuwa wapi kutoa msaada wa aina hii mapema? Mahitaji makubwa ya Uturuki haikuwa fedha, bali vikosi vya uokozi.
Hapa sawa ila sio wanaopinga Moja kwa Moja..Msaada wetu kwa Uturuki umechelewa sana, tunaanza kucheza wakati mziki umeisha!
Sisi hatutakiwi kutoa msaada wa kifedha kwa wale jamaa, bali tulitakiwa kupeleka kikosi cha uokoaji kwenda kusaidia uokozi kwenye majengo yaliyoporomoka na kukalia watu.
Tulikuwa wapi kutoa msaada wa aina hii mapema? Mahitaji makubwa ya Uturuki haikuwa fedha, bali vikosi vya uokozi.
Jibu ni kuwa waliotuma wakoaji walisaidia kwa hali, hali sisi kifedha tumesaidia kwa mali. Lakini lazima nikupe angalizo tu kuhusu umahiri wa vikosi vyetu vya uokoaji katika majanga yaliyojitokeza hapa nchini hivi karibuni, mathalani tetemeko la ardhi Bukoba, ajali ya Precision Air na MV Bukoba.Swali ni kwanini watu wangapi wangepona au wangeokolewa ikiwa tungetuma kikosi wakati ule ule kuliko kusubiri watu wamekufa shughuli imeisha ndio tunapeleka hela
Non partisan ..tupo kwenye jili yakuwapinga wapumbavu nawajinga kama weweKwa hiyo siku hizo nyie ni chama Gani ?
Waasi SukumaGang ...munataka kumpokya SSH tonge mdoganiHiyo jerous namfanyia nani mbona nyinyi ni weupee tu
Sie nani?Kwa hiyo siku hizi nyie ni ccm?
Hii ndiyo Tanzania, pambafu sana. Ni maafa, yanatugusa na upambafu watu tunatoa msaada. Pia kuna yule pambafu Karume akatugomboa utumwa wa Waarabu. Na Nyerere kawagomboa Msumbiji Angola Zambia Zimbabwe Sychelles na South Afrika wote matajiri kuliko sisi. Ni urithi wa TANU na Afro, very proud. Kama mtakumbuka na Mkapa alitoa $1m/= kwa India kwenye mafuriko yao. ZFZMWCCMMsaada wetu kwa Uturuki umechelewa sana, tunaanza kucheza wakati mziki umeisha!
Sisi hatutakiwi kutoa msaada wa kifedha kwa wale jamaa, bali tulitakiwa kupeleka kikosi cha uokoaji kwenda kusaidia uokozi kwenye majengo yaliyoporomoka na kukalia watu.
Tulikuwa wapi kutoa msaada wa aina hii mapema? Mahitaji makubwa ya Uturuki haikuwa fedha, bali vikosi vya uokozi.
Mawazo ya mleta mada hayatakiwi kupuuzwa hata kidogo.
Kuna mtu binafsi mmoja alichangia U$20 billion.